Kaka ningependa usome kwa utuo uelewe nini nakusudia,au wacha nikuweke sawa.Twende taratibu
Unasema China hategemei soko la US na ulaya kuuza bidhaa zake, si ndio?
Unaweza ukaleta hapa Balanc of Trade baina ya US na China? Pia tutazame BoT ya China na Ulaya?
Naomba tuongee kwa facts ili sasa tujue ni nani muongo.
Kiufupi nachomaanisha USA sio soko pekee la China ingekua ni soko pekee kipindi Trump anawaongezea ushuru China ingechutama ila nayo ilidinda na USA ndio ikawafiki.