Tazama misaada inayotoka US na washirika wake, tutaifananisha na China na Russia?Boss,Humu ndani wote ni Watanzania, hakuna mmarekani wala mrusi wala mchina au muiran, kama wapo basi ni wa kuhesabu. Hakuna sababu ya kuwa na uzalendo kwa nchi isiyokutambua kwa kiwango cha kupika uongo kuitetea, tukiweka uzalendo wa nchi za watu pembeni tukaongelea facts USA ana ushawishi kiuchumi kuliko nchi nyingine na uchumi ni silaha bora ya ushawishi wa kidiplomasia. Data zipo wazi, kama kuna mtu ana maelezo tofauti atupe hiyo elimu.
Tena huyo Russia ndo kabisaaa, hata Nyerere alitutia kwenye umaskini sababu ya kimawazo ya kijamaa ya wachina na urusi, angekuwa kwa mabeberu walau na sisi tungekuwa na mifumo bora ya uongozi.