Ni kwanini unasema hivyo mkuuMarekani ni kama maji usipo yanywa utayaoga..karibu sana usa a land of opportunities.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F u sing JamiiForums mobile app
Suala la U.S.A kuanguka sio suala la muda mfupi [miaka 5- 10 ijayo] ni suala la [miaka 50- 100 ijayo ] lakini dalili za kutikisika kwa dola la kimarekani zinaonekana hasa hasa katika kutikisika kwa dola na kupungua kwa nguvu ya ushawishi kwa baadhi ya mataifa . haya mambo ya kuanguka dola huanza taratibu taratibu inayochukua miaka na miaka mpaka kuanguka kabisa.Hill liko wazi ila je kuna viashiria vinavyoonesha kuwa itadondoka ndani ya muda mfupi ujao kama wadau wengi wanavyodai au bado sana ..kwa wewe unavyoona
Mrithi unamuona nani? Binafsi simuoni Russia wala China...Suala la U.S.A kuanguka sio suala la muda mfupi [miaka 5- 10 ijayo] ni suala la [miaka 50- 100 ijayo ] lakini dalili za kutikisika kwa dola la kimarekani zinaonekana hasa hasa katika kutikisika kwa dola na kupungua kwa nguvu ya ushawishi kwa baadhi ya mataifa . haya mambo ya kuanguka dola huanza taratibu taratibu inayochukua miaka na miaka mpaka kuanguka kabisa.
Ha ha ha ha ha ha umemaliza mkuuMarekani ushawishi wake upo kwenye hela yake tu, kile china na urusi wanachokifanya walitaka kufanya marais kadhaa wakaambulia kitanzi. Marais hao ambao walijaribu nikiwa na akili timamu ni ghadafi maana alitaka kuanzisha golden ruby, saddam hussein alitaka kuanzisha kuuza mafuta kwa pesa yake kilichofuata ni wote hatunao kwa sasa.
Hii sasa akiponyoka kwa mrusi nitakuwa sina matumaini tena ya yeye kuanguka. Kwa sasa china na mrusi wana swift ya kwao. Marekani dola yake anamimashine inaprint usiku na mchana. Jaribu nchi ingine ujinga huo utaona kitakachotokea. Alijaribu mwamba mmoja zimbabwe huko, ilibidi atumie hela ya southafrica kujinasua.
Siipendi marekani kutoka moyoni japo natamani kuishi marekani
Hicho kitu ndio kinatokea kaka,na China ndio nchi inayopora ushawishi wa USA kiuchumi na kisiasa.Habari wakuu,
Kulingana na upepo unavyoenda sasa inasemekana ushawishi wa Marekani kisiasa na kiuchumi unakwenda kuanguka kwa kasi. Binafsi sio mtaalam wa siasa za kimataifa hivyo nilikua naomba wadau wenye uelewa wa haya mambo wanisaidie kama hii inshu ni kweli au ni porojo tu za vijiwe vya kahawa.
NB: Tafadhali wakuu naomba tuweke ushabiki pembeni tujadili facts.
Karibuni wakuu
Shukrani mkuu nasubiriHicho kitu ndio kinatokea kaka,na China ndio nchi inayopora ushawishi wa USA kiuchumi na kisiasa.
Tukianza na kiuchumi,taktiban mataifa 138 ulimwenguni yamekua yakipata financial aid ikiwemo mikopo na ruzuku kutoka China,kuna ripoti itokayo IMF ilijadiliwa 2020 ikionesha kuwa taifa lililokopesha mataifa mengi ulimwenguni ni China hususan mataifa ya Africa,Asia,south and Central America ambako world population ndipo ilipoelemea,kiviwanda China anachangia 64% ya bidhaa za viwandani mengine kaka yanajulikana.
Kisiasa kaka ntarudi kuelezea navyojua mm kwa upeo wangu.
Mrithi hatabirikagi kirahisi boss alafu ata kipindi marekani anaanza kupanda juu mataifa mengine hayakuisi ata atakuja kuwa super power ivi mbinu alizotumia Marekani kuwa juu ndyo izoizo China anazitumia siku Marekani akija kujiingiza kwenye vita kubwa ndyo utakuwa mwisho wake atabaki kuwa mropokaji kama uingereza ndyo maana ata yeye hataki kujiingiza kwenye vita na mataifa makubwa kama yeyeMrithi unamuona nani? Binafsi simuoni Russia wala China...
Inaweza ikatikisika na ikaja kukaa vyema tena. Nakubaliana na wewe kuwa kudondoka kwa US sio suala la leo wala kesho.Suala la U.S.A kuanguka sio suala la muda mfupi [miaka 5- 10 ijayo] ni suala la [miaka 50- 100 ijayo ] lakini dalili za kutikisika kwa dola la kimarekani zinaonekana hasa hasa katika kutikisika kwa dola na kupungua kwa nguvu ya ushawishi kwa baadhi ya mataifa . haya mambo ya kuanguka dola huanza taratibu taratibu inayochukua miaka na miaka mpaka kuanguka kabisa.
tukirudi hapo hapo kwenye uchumi watu watakwambia China anategemea soko la USA ili auze bidhaa zake huo ni uongo,China anaendelea kwa uwekezaji wa makampuni ya USA huo ni uongo.Habari wakuu,
Kulingana na upepo unavyoenda sasa inasemekana ushawishi wa Marekani kisiasa na kiuchumi unakwenda kuanguka kwa kasi. Binafsi sio mtaalam wa siasa za kimataifa hivyo nilikua naomba wadau wenye uelewa wa haya mambo wanisaidie kama hii inshu ni kweli au ni porojo tu za vijiwe vya kahawa.
NB: Tafadhali wakuu naomba tuweke ushabiki pembeni tujadili facts.
Karibuni wakuu
Sawa mkuu...unaiona China ikiipiku US ndani ya miongo kadhaa ijayo?tukirudi hapo hapo kwenye uchumi watu watakwambia China anategemea soko la USA ili auze bidhaa zake huo ni uongo,China anaendelea kwa uwekezaji wa makampuni ya USA huo ni uongo.
China takriban asilimia 70 ya viwanda ni vya wazawa na vina mikono ya serikali,pia China ndio jamii yenye top skilled labours duniani hiivyo ht USA aseme anaondoa uwekezaji CHINA haitoumia wala kuathirika kwasababu asilimia 70 ya viwanda vya wazawa,1992 China ikiwa inatangazwa kuwa taifa linalokua kwa kasi kiuchumi ilikua ishajenga viwanda takriban 45000 ambavyo vyote vya kizawa,hivyo uwekezaji waUSA China hauna nguvu.
kisoko China yenyewe ni soko,maana ina watu wanaokadiriwa kuwa ni robo ya dunia idadi yake pia Africa,Asia,South Ametrica ikiwemo na mataifa ya Ulaya kote China ana soko lake.Hivyo USA akigoma China kuuza bidhaa kwake wala halina athari kubwa kama watu wadhaniavyo.
Fuatilia ule mkasa wa trade war 2018 pindi Trump alipoipandishia China ushuru nayo China ikajibu kwa kupandisha mara tatu yake USA weakarudi mezani kuyamaliza.WATU PIA TUNASAHAU KUWA China ana treasury bill ya zaidi ya $3 trillions kwa USA pia tunasahau kuwa China ina reserve ya dollar inayoshindana na USA mwenye dollar yake.
Hizo nchi zote ulizotaja ambazo zina ushawishi kutoka China ni za kawaida na nyingi ni masikini. Umewahi kuuliza kama China soko lake lingekuwa kwa hizo nchi angekuwa na utajiri huu wa sasa?Hicho kitu ndio kinatokea kaka,na China ndio nchi inayopora ushawishi wa USA kiuchumi na kisiasa.
Tukianza na kiuchumi,taktiban mataifa 138 ulimwenguni yamekua yakipata financial aid ikiwemo mikopo na ruzuku kutoka China,kuna ripoti itokayo IMF ilijadiliwa 2020 ikionesha kuwa taifa lililokopesha mataifa mengi ulimwenguni ni China hususan mataifa ya Africa,Asia,south and Central America ambako world population ndipo ilipoelemea,kiviwanda China anachangia 64% ya bidhaa za viwandani mengine kaka yanajulikana.
Kisiasa kaka ntarudi kuelezea navyojua mm kwa upeo wangu.
Kama itaendelea na hii kasi yake basi itaipiku ila ni ngumu maana USA ni taifa linalochukua tahadhari dhidi ya mahasimu wake kwa kiasi kikubwa sana kaka,hivyo China inatakiwa kujiangalia kiundani.Sawa mkuu...unaiona China ikiipiku US ndani ya miongo kadhaa ijayo?
Twende taratibutukirudi hapo hapo kwenye uchumi watu watakwambia China anategemea soko la USA ili auze bidhaa zake huo ni uongo,China anaendelea kwa uwekezaji wa makampuni ya USA huo ni uongo.
China takriban asilimia 70 ya viwanda ni vya wazawa na vina mikono ya serikali,pia China ndio jamii yenye top skilled labours duniani hiivyo ht USA aseme anaondoa uwekezaji CHINA haitoumia wala kuathirika kwasababu asilimia 70 ya viwanda vya wazawa,1992 China ikiwa inatangazwa kuwa taifa linalokua kwa kasi kiuchumi ilikua ishajenga viwanda takriban 45000 ambavyo vyote vya kizawa,hivyo uwekezaji waUSA China hauna nguvu.
kisoko China yenyewe ni soko,maana ina watu wanaokadiriwa kuwa ni robo ya dunia idadi yake pia Africa,Asia,South Ametrica ikiwemo na mataifa ya Ulaya kote China ana soko lake.Hivyo USA akigoma China kuuza bidhaa kwake wala halina athari kubwa kama watu wadhaniavyo.
Fuatilia ule mkasa wa trade war 2018 pindi Trump alipoipandishia China ushuru nayo China ikajibu kwa kupandisha mara tatu yake USA weakarudi mezani kuyamaliza.WATU PIA TUNASAHAU KUWA China ana treasury bill ya zaidi ya $3 trillions kwa USA pia tunasahau kuwa China ina reserve ya dollar inayoshindana na USA mwenye dollar yake.
Mkuu haitaji rocket science kujua hili,ajaribu tu kufikiria kwenye ukoo yule mwenye utajili wakutisha na yule wakawaida ni nani mwenye ushawishi?.Sasa sijui mtu anakuaje na uchumi mkubwa afu asiwe na ushawishi!Uchumi makubwa ndiyo sauti ya Mmarekani. Unadhani huo ushawishi ulikuja tu. Uwezo wa Marekani kiuchumi ulisababisha uwezo kijeshi na kisiasa duniani.
Bila uchumi mkubwa na imara ushawishi ungetoka wapi.
Jaribuni kuchambua hoja kikomavu.
Ha ha ha ha upo sahihi, mwenye pesa ndie mwenye kauli kaka.Mkuu haitaji rocket science kujua hili,ajaribu tu kufikiria kwenye ukoo yule mwenye utajili wakutisha na yule wakawaida ni nani mwenye ushawishi?.Sasa sijui mtu anakuaje na uchumi mkubwa afu asiwe na ushawishi!
Kwa kiasi fulani hujakosea ila wacha nikukumbushe kitu kaka,UCHUMI WA CHINA UMEKUA BAADA YA KUPANUA WIGO WAKE WA KIBIASHARA TAMBUA HILO,NA KUUZA KWAKE BIDHAA ULAYA SIYO KWA HURUMA BALI KWA UBORA WA TEKNOLOJIA ALONAYO,kipindi USA na hayo mataifa unayoyataja yakiinyanyapaa Afrika mwenzako China aliikumbatia Africa kwa kuleta bidhaa zinazoendana na uchumi wa watu wa Africa,pia umesahau kama construction companies zinazoijenga asilimia zaidi 60 ya dunia ni Chinese construction companies,reli,injini za treni,madaraja n.k mataifa mengi hukimbilia Chinese construction companies hilo pia huongeza pato la nchi usisahau hilo.Hizo nchi zote ulizotaja ambazo zina ushawishi kutoka China ni za kawaida na nyingi ni masikini. Umewahi kuuliza kama China soko lake lingekuwa kwa hizo nchi angekuwa na utajiri huu wa sasa?
Umewahi kujiuliza hivyo viwanda vya china vilivyopo, ni makampuni mangapi makubwa ni ya wachina wenyewe?
Nachotaka nikukumbushe ni kuwa, China uchumi wake anategemea mno kuuza bidhaa zake Ulaya na US, huko ndiko anakoingizia pesa. Makampuni makubwa yanayofanya china isifike ya viwanda na wao kupata ruzuku na makodi makubwa zinamilikiwa na mabeberu wa Ulaya na America.
Hivyo vitaifa ulivyovisemea haviwezi kumfanya mchina kuwa na impact kubwa ktk uchumi wake. Sasa mtazame US. US ameikamata Ulaya yooote, hapa unamzungumzia UK, FRANCE, GERMAN na ITALY. Hizi ni nchi zenye pesa haswa, nchi moja inaweza ikalipiku bara zima la Afrika kiuchumi au ikafikia nusu ya bara zima.
US uko Asia ana ushirika mkubwa mno na huyo Mchina, bado ana ushirika na TURKEY n.k nchi zenye nguvu kubwa ya kiuchumi karibia zote yeye amezishika mkononi, hapo sijakutajia Japan wala Korea Kusini au Canada.
US bado yupo sana, pengine tuanze kusema miaka 2100 huko ila sio hii 2020 au 2050.
Sidhani kama ni rahisi hivyo Kwa nchi zinazosaidiwa mpaka net za mbuMarekani hakuwa na ushawishi wowote,Ila alikuwa anaogopwa kwa sababu ya propaganda zake.Lakini vita ya Ukraine imemvua nguo.Si unaona SADC juzi walivyomdindia!.