Ni kweli USA supremacy ina collapse?

Ni kweli USA supremacy ina collapse?

Walioanzisha usa hawakua wajinga..walijua nini kiliangusha falme na mataifa makubwa zamani..hivyo ndio mana walikuja na kitu kinaitwa i God we trust.

Na kuweka freedom ya kila mtu kuishi na kuamini kile anachokiamini chamsingi asivunje sheria za nchi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unafahamu kuwa dola la Kirumi lilishikisha na kanisa la Kirumi [ R.C ] , dola la kiottoman lilishikisha na dini ya kiislamu mbona hizi dola zote zilianguka licha ya kuwa zilijishikisha na dini [ Kristo & Kiislamu ] dini zinazo muani Mungu ambaye huyo huyo U.S.A amejishikisha kupitia dini ya kikristo ?
 
Mpaka USA kapata status ya superpower ni kwa sababu masupa pawa kabla yake walitwangana hivyo kudondoka kiuchumi...kwa dunia inavyoenda IPO siku USA,China,Russia,UK,germany kitawaka na hapo ndipo mrithi wa USA atapatikana...AFRICA...huo ni mtizamo wangu binafsi kwa kuzingatia historian za nyuma..,.naweza kukosolewa
 
Mrithi wa U.S.A atatoka Afrika? Nchi gani hiyo ?
 
Show me the world
Vladimir-Putin-with-a-gas-pipeline_trans_NvBQzQNjv4BqNUHzxaamNmHDqK-YksWRz2o-yMLyYquKCawpyDOW254.jpg
 
Congress shall make no law respecting an establishment of religion, or prohibiting the free exercise thereof; or abridging the freedom of speech, or of the press; or the right of the people peaceably to assemble, and to petition the Government for a redress of grievances.
-US constitution, first ammendment.
Unafahamu kuwa dola la Kirumi lilishikisha na kanisa la Kirumi [ R.C ] , dola la kiottoman lilishikisha na dini ya kiislamu mbona hizi dola zote zilianguka licha ya kuwa zilijishikisha na dini [ Kristo & Kiislamu ] dini zinazo muani Mungu ambaye huyo huyo U.S.A amejishikisha kupitia dini ya kikristo ?
 
Marekani sasa hivi ipo busy kupambana na njaa inayohatarisha maisha ya mamilioni ya wamarekani

Marekani sasa hivi ipo busy kupambana na njaa inayohatarisha maisha ya mamilioni ya wamarekani

Hivi urusi njaa hakuna?
 
Marekani hakuwa na ushawishi wowote,Ila alikuwa anaogopwa kwa sababu ya propaganda zake.Lakini vita ya Ukraine imemvua nguo.Si unaona SADC juzi walivyomdindia!.
Sielewi ulitaka kusema nn.Unaongea tu kinachokujia kichwani mwako hata km hujui kitu kuhusu Vita ya Ukraine .

Siyo Lazima kuchangia, unaweza kusoma tu komenti za wengine.
 
Marekani ushawishi wake upo kwenye hela yake tu, kile china na urusi wanachokifanya walitaka kufanya marais kadhaa wakaambulia kitanzi. Marais hao ambao walijaribu nikiwa na akili timamu ni ghadafi maana alitaka kuanzisha golden ruby, saddam hussein alitaka kuanzisha kuuza mafuta kwa pesa yake kilichofuata ni wote hatunao kwa sasa.
Hii sasa akiponyoka kwa mrusi nitakuwa sina matumaini tena ya yeye kuanguka. Kwa sasa china na mrusi wana swift ya kwao. Marekani dola yake anamimashine inaprint usiku na mchana. Jaribu nchi ingine ujinga huo utaona kitakachotokea. Alijaribu mwamba mmoja zimbabwe huko, ilibidi atumie hela ya southafrica kujinasua.
Siipendi marekani kutoka moyoni japo natamani kuishi marekani
 
Kama uelewi kwanni umetoa hitimisho, wewe Kama comment yangu hukuielewa ungeachana naona wewe kuijua vita ya Ukraine imekuongezea kipato au ndio huko vizuri upstairs?hovyo kabisa.
Sielewi ulitaka kusema nn.Unaongea tu kinachokujia kichwani mwako hata km hujui kitu kuhusu Vita ya Ukraine .

Siyo Lazima kuchangia, unaweza kusoma tu komenti za wengine.
 
Unafahamu kuwa dola la Kirumi lilishikisha na kanisa la Kirumi [ R.C ] , dola la kiottoman lilishikisha na dini ya kiislamu mbona hizi dola zote zilianguka licha ya kuwa zilijishikisha na dini [ Kristo & Kiislamu ] dini zinazo muani Mungu ambaye huyo huyo U.S.A amejishikisha kupitia dini ya kikristo ?
Utofauti wa usa na hizo tawala..yeye kaweka freedom for everything..sio taifa la kidini mana katika hili aliweka freedom of religion..hatakama usa lina mlengo wa kikristo lakini hutasikia linamzuia mwenye imani yoyote kuishi nchini humo na kuamini anacho kiamini..ndiomana usa imekua ni kimbilio la wengi waliokuwa wakiteshwa na kuonewa katika mataifa mbalimbali kwa milengo yao ya kiimani..kirangi ama kiitikadi.

Hii ndio power kubwa na msingi mkubwa wa usa..na hao raia wa usa hawawezi katu ruhusu usa ianguke mana usa ndio taifa linalomkaribisha kila mtu ulimwenguni kuishi kwa amani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom