Ni kweli RAS wa Lindi ametoa kauli picha za Magufuli ziondolewe ofisini?

Wewe babako akifariki yaani hata hamjazika ndugu yenu mmoja aseme jamani toeni kila kitu cha marehemu nje toeni na picha yake ukutani na viatu na kila kitu utajisikiaje?hapo bado hamjazika...acha ushabiki maandazi
wewe ndie una ushabiki maandazi wa kijinga kabisa, kwani picha zake zikiachwa kutolewa kabla hajazikwa ndipo atafufuka?
 
Nimejikuta nampenda tu mama samia wekeni picha yake ukutani toeni ya magufuli
 
Hata mimi asubuhi sana nimetoa maelekezo hizo picha zishushwe upesi tunasubiri picha za Mama kama Mama yaani.
 
ndio sheria inavotaka na ndio maana hata baada ya kuapishwa tu kwa raisi mpya, Bendera ya raisi ilishushwa na kupandishwa nyingine kushilia ukomo wa madaraka ya raisi aliyepita.
 
Ipo kanuni ya utundikaji wa picha za Rais kwenye ofisi za umma picha zinazotakiwa kutundikwa ni picha ya Rais aliyepo madarakani na picha ya Baba wa Taifa Baada ya Rais mpya kuapishwa inapaswa picha ya mtangulizi wake iondolewe bad ala yake itundikwe picha ya Rais mpya na kama picha ya Rais mpya haijapatikana patabaki wazi mpaka hapo picha itakapopatikana RAS wa Lindi alikuwa sahihi pia ni wajibu wake kusimamia sheria kanuni na taratibu za serikali zinafuatwa katika mkoa wake
 
Habari hii nimeikuta mahali. Kwamba RAS wa mkoa wa Lindi ametoa tamko kwamba picha za Magufuli ziondolewe kwenye ofisi zote za serikali mkoani Lindi.. Mwisho wa enzi unapo fika.

# lesson to catch: every thing under the sun is just temporaly., including wewe unae soma uzi huu. So ukiwa na afya njema na nafasi hakikisha unatumia muda wako kula bata na kufurahi kwa kadri uwezavyo kabla wakati wako haujafika.

Agizo hilo lilitekelezwa mara 1
 
Maisha gani ya kiofisi yataendelea wakati mna msiba mkubwa mzee hata kuzikwa mtu ajazikwa na wageni wamekuja hata kuondoka bado zinatoka kauli za kitura kama hizo unaona sawa...
Watu leo wameenda kazini, kesho pia wanaenda, maisha ni lazima yaende..Magufuli kaikuta Tanzania, amekufa ameiacha na lazima isonge
 
Back
Top Bottom