Ni kweli RAS wa Lindi ametoa kauli picha za Magufuli ziondolewe ofisini?

Hivi mnashangaa nini? Ndio sasa Rais ni Samia na ameshaapa! Kwani kuna binadamu gani alifikiri Magu ataishi au kutawala milele? Just know kila regime ina yake na sasa kuna new regime na itakuja na yake. Hakuna jipya ...
 
Agizo hilo linatakiwa liwe la nchi nzima na litekelezwe mara moja kwani wewe unataka picha ya marehemu iendelee kubaki ukutani ya kazi gani?
Huenda Bwana Gwajima akamfufua siku yoyote kuanzia leo, tunataka Gwaji atuoneshe upako wake
 
Habari hii nimeikuta mahali. Kwamba RAS wa mkoa wa Lindi ametoa tamko kwamba picha za Magufuli ziondolewe kwenye ofisi zote za serikali mkoani Lindi.. Mwisho wa enzi unapo fika.

# lesson to catch: every thing under the sun is just temporaly., including wewe unae soma uzi huu. So ukiwa na afya njema na nafasi hakikisha unatumia muda wako kula bata na kufurahi kwa kadri uwezavyo kabla wakati wako haujafika.

Lindi wana nongwa sana!
 
Back
Top Bottom