Ni kweli RAS wa Lindi ametoa kauli picha za Magufuli ziondolewe ofisini?

Yupo sahihi otherwise basi ofisini kungekuwa na mapicha kibao ya maraisi 6 au na JK asingetolewa picha yake je ya JPM ingekaa wapi? MATAGA inabidi mkubali tu CHUMA kimeenda msitafute mchawi.
 
Habari hii nimeikuta mahali. Kwamba RAS wa mkoa wa Lindi ametoa tamko kwamba picha za Magufuli ziondolewe kwenye ofisi zote za serikali mkoani Lindi.. Mwisho wa enzi unapo fika.

# lesson to catch: every thing under the sun is just temporaly., including wewe unae soma uzi huu. So ukiwa na afya njema na nafasi hakikisha unatumia muda wako kula bata na kufurahi kwa kadri uwezavyo kabla wakati wako haujafika.

Ni wakati wao sasa
JamiiForums1311613119.jpg
 
Picha ziondolewe Nchi mzima Mataga wakitaka wamchongee sanamu huko Chato
Yaani MATAGA kama wamepigwa ganzi yaani hawaamini kabisa kama Chuma kimeenda ,wanataka Picha zake ziendelee tu kukaa ofisini sasa sijui ya SSH itakaa wapi? Kama vipi wachonge sanamu yake waweke nchi nzima(Tena sio kama ile ya kigwangalla na JKN bali iwe ya wax).

PdiddyWax.jpg
 
mbona za baba wa taifa zipo kwenye kuta au yeye siyo marehemu?
Tumia akili yako vizuri aisee! Baba wa Taifa utamlinganisha na kikaragosi gani tena? Yaani huo ndio mwisho wa picha za Magufuli kwenye kuta za ofisi zetu!
 
Bongo kuna vituko tuliposema teuzi nyingi zilikua za hovyo ona sasa matamko yanayotolewa kipindi cha msiba hata hatujazika wanazungumzia picha kweli...
 
Hapo kwenye lesson to catch pamenifanya niagize vodka kwa mangi
... Maisha yenyewe mafupi haya, ukipata muda wa kuinjoi haina haja ya kujibanabana kifala
.....
 
Agizo hilo linatakiwa liwe la nchi nzima na litekelezwe mara moja kwani wewe unataka picha ya marehemu iendelee kubaki ukutani ya kazi gani?
Wewe babako akifariki yaani hata hamjazika ndugu yenu mmoja aseme jamani toeni kila kitu cha marehemu nje toeni na picha yake ukutani na viatu na kila kitu utajisikiaje?hapo bado hamjazika...acha ushabiki maandazi
 
Back
Top Bottom