sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Mkuu acha kukatisha tamaaaKumsomesha mchumba mwisho wake ni kujinyonga!
Mkuu acha kukatisha tamaaaKumsomesha mchumba mwisho wake ni kujinyonga!
Mi hata angenizalia mmoja, nasomesha. Haina kwere. Ishu inakuwa kwamba hamna ukumbusho wowote then anakumwaga mbaya, ndo hapo mnaanza kutafuta sumu za panya zilipoLABDA UWE UMEMZALISHA WATOTO WA 3 NDO UKIMSOMESHA HATOLETA USHENZI KWAKUWA ANA MITOTO TAYARI
Mchumba asomeshwi atakama hana wazazi.SIO WOTE WANAKUJA KUOTA MAPEMBE...SASA KWA MFANO KAMA SINA WAZAZI TANGU UDOGONI NASAIDIWA TU THEN NIMEKOSA ADA YA KUJIUNGA CHUO JAPO NKAPATA KADIPLOMA,NAKUTANA NA MWANAUME ANANIHITAJI KIMAHUSIANO SERIOUS NA NAMWAMBIA UKWELI NNA SHIDA NA NAPENDA KUTIMIZA NDOTO ZANGU NAOMBA UWE SEHEMU YA MSAADA KWANGU...HALAF YE ANANIJIBU "POLE BBY,MUNGU ATAKUSAIDIA...BASI JITAHIDI KUTAFUTA MSAADA HIVOHIVO UENDE CHUO..BLAH BLAH BLAH!!!
HIVI MNAELEWA MAANA YA NENO NAKUPENDA AU MNALITAMKA TU?WHY MNAGERALIZE ISHU YA MMOJA KUWA WOTE WAKO HIVO?
hata mke hasomeshwi, anatunzwa....msomeshe amalize then apate kazi kukuzidi kdg tuu utaziona mbilinge....somesha wadogo zako mkuu....Mbona mnachukua majukumu ya ndugu au wazazi wake?mbona ndugu zake wanashirikiana kuchanga michango ya harusi why wasimsomeshe?somesha mke sio mchumba.
Me wangu nimemsomesha mwenyewe na hivi sasa tuna watoto 3 ana kazi nzuri na maisha yanaenda fureeesh.....natafuta mchepuko nao niupekeke shule, kama pesa iko hata ikikuacha haina shida si umemtengenezea life yake? Tenda wema kimbia.
si kweli mbona mie nasomeshwa na mchumba'ngu na sina mawazo ya kumuacha labda kama ulikuwa unapenda msaada wake na si mwenyewe
Siyo za uongo hizi story, ni kweli kabisa.Kuna kabinti nakasomesha jamani.. Nikiona story kama hizi napatwa na wasiwasi kweli..Bora ziwe za uongo aisee
Mkuu mimi nilijipa moyo kama wewe lakini leo nakumbuka maneno niliyoyaona kuwa ni kejeli toka kwa wadau humu JF nikasinga kuhudumia dem wangu aliyekuwa ccp na nikaenda mbali zaidi kwa kumpeleka mdogo wake shule baada ya kuona kashindwa kutokana na familia yake kukosa pesa. Mkuu katafute uzi huu humu JF "MCHUMBA KAENDA CCP" halafu upitie taratibu then nitafute nitakupa somo hata kwa simu mimi nitakupigia tu nikueleza kijana mwenzangu.
NEVER TAKE A GIRL TO SCHOOL NOR COLLEGE FOR THE SAKE OF MARRIAGE.
Ahsante mkuu!Pole sana mkuu
Haya mambo sema vijana hatusikii na kuelewa stori ni nyingi na za kweli ila hatuelewi kabisa kama Thomaso wa Yesu.kuna rafiki wa kaka yangu, alikuwa anafanya kazi pale VICFISH Mwanza.miaka hiyo day ilikuwa 1000.,bro aka date na msichana ambaye yeye elimu yake form four ya ualimu ila hakufanikiwa kwa sababu ya maisha pale kwao. bro wakakubaliana kusomeshana. kwa vile bro alikuwa la 7. wakakubaliana ampeleke kwanza ualumu halafu waje waoane ili yeye akipata kazi naye ampeleke elimu ya watu wazima, enzi hizo ndio cm zimetoka na zina bei ,bro akamnunulia Shem moja ili asishawishiwe ila yeye akitaka kumpiga hadi aende kuomba kwa jirani... bro akanunua na cherehani ili pindi anasubiri ajira awe amejishikiza.(na uchumba waliufanya wa kitakatifu,hadi ndoa ndio waanze kudyyuu)
siku mchumba anafanya mahafari..akamuita bro Chuo...kitu alichomwambia..NASHUKURU KWA KUNISOMESHA NA NINATAMBUA MSAADA WAKO ILA CHA KUKUSAIDIA PIGA GHARAMA ZAKO ZOTE ULIZOTUMIA NIPE MIEZI SITA NITAKURUDISHIA NA ASINITAMBUE...
Bro aliondoka bila kujibu..akachumbia tena bila kutegemea...wiki ya harusi alihimisi yake jumamosi presha ikapanda ghafla kama tumbo kuuma,peleka bugando na kufaliki...inasemekana hakuamini kama kweli anayemua ni mwingine
zipo nyigi ila hiyo ni moja..we somesha ujitahidi lakini pia ajiandae kwa lolote..
Hahahahahahhahaa.... Lakini ni vema kufanya hili out of love without so much expectations ..... ili Hata kama ikija kutokea kama ambavyo chochote chaweza kutokea usihuzunike saaaaana .....!!!! Just do it for L.O.V.E.Napanga kuwaletea mrejesho wa nguvu kuhusu haya mambo ila bado naumia kwanza nikipoa nitawaletea. Ila kwa kifupi "usithubutu kumsonesha mchumba ving uitinevyo ufanye hivyo kwa moyo mweupe kama unachangia kapu la kanisa na utabarikiwa mbali na hapo utakuja kufa kwa presha siku huyo mchumba atakapokupiga chini na kukuambia piga gharama zako ulizonipa nitakulipa"
si mnaoaga ELIMU / KAZI!!!!! mwacheni amtengeneze mchumba wake ili akidhi hiyo ELIMU anayo ioa.