Ni kweli mchumba hasomeshwi?

Indeed I've learnt from my previous mistake na nimejisalimisha kwa mama yangu nakumweleza juu ya kosa kubwa nililofanya ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya pesa ambazo zingeweza hata kuwalisha ndugu au rafiki zangu pasipo na mategemeo ya reward yoyote kama ilivyokuwa kwa Kwezi mchumba wangu aliyenipiga chini na kuniambia, "piga gharama zako unadai shilingi ngapi nikulipe mbele ya boya wake" nilihisi kuchanganyikiwa kwa kweli. Saivi sitarudia ujinga kama huu.
Mademu si wa kuamiani hata kidogo, they are the same na akili zao ni za mizuka ukimpanda anakupiga chini pasipokujali how much you love her na umemfanyia nini na unampenda kwa upendo gani.
Kitngine usimpe tena second chance imenitokea juzi tu hapa.aiseee usimwamini mwanamke
 
Kitngine usimpe tena second chance imenitokea juzi tu hapa.aiseee usimwamini mwanamke
Siwezi mpatia hata siku moja kwani ameonesha udhaifu wa hali ya sana just in 9 months akiwa chuoni Anatolewa huku akiongea nami karibia kila siku na kuniaminisha tena kwa kimtaja mungu kuwa anajitambua na hawezi nisaliti wakati uo huo nukimpa kila kitu alichohitaji yaani akibipu tu na kusema ana shida simu yangu ilikuwa haishiwi salio la kupiga na hela mpesa angalau 55000/- yote kwa ajili yake na nimpatia hela bila kuchelewa vivyo hivyo kwa dada zake na kaka yake bila kumwacha mama yake wakilia tu shem nahitaji sojui 20, 000/- mimi nilikuwa nauliza tu ni ya haraka au hata wiki ijayo mtu anasema ni ya haraka shem basi namtumia muda uo huo maana mpesa ilikuwa kwa ajili yao kama hamna mpesa navuta toka CRDB kwa Sim banking halafu ndo siku moja tu ndo najionea mwenyewe kuwa demu ni mshenzi na ni malaya iliniuma sana aisee na sitaki kabisa aje kwangu kwa namna yoyote.
 
Kuna kabinti nakasomesha jamani.. Nikiona story kama hizi napatwa na wasiwasi kweli..Bora ziwe za uongo aisee
Kuna watu mnapenda kuvaa mabomu dah!..Kama unampenda si ufunge naye ndoa? Wakati mwingine kuzaa mitoto kama huyu jamaa ni hasara, huenda wazazi wake wanashida lakin huyu jamaa anapaka Rangi upepo...kusomesha mwanamke ni kumfukuza, Atakuona kama mzazi na si mpenz tena: sasa unashangaa nini kuachwa? ...mtoto atamwacha baba na mama yake ataandamana na mmewe.....shuleni hukohuko atachukuliwa
 
Watu wanatoa gari, wanahonga nyumba na hawalii. Naamini hivi vitu ni gharama zaidi kuliko kusomesha. Ila ukisomeshwa hata certificate tu ya mwaka mmoja halafu iwe ndivyo sivyo mwanaume atasononeka, atatafuta huruma kupita maelezo.
Gari,nyumba havina thamani ya elimu ndo maana watu wanalia
 
Siwezi mpatia hata siku moja kwani ameonesha udhaifu wa hali ya sana just in 9 months akiwa chuoni Anatolewa huku akiongea nami karibia kila siku na kuniaminisha tena kwa kimtaja mungu kuwa anajitambua na hawezi nisaliti wakati uo huo nukimpa kila kitu alichohitaji yaani akibipu tu na kusema ana shida simu yangu ilikuwa haishiwi salio la kupiga na hela mpesa angalau 55000/- yote kwa ajili yake na nimpatia hela bila kuchelewa vivyo hivyo kwa dada zake na kaka yake bila kumwacha mama yake wakilia tu shem nahitaji sojui 20, 000/- mimi nilikuwa nauliza tu ni ya haraka au hata wiki ijayo mtu anasema ni ya haraka shem basi namtumia muda uo huo maana mpesa ilikuwa kwa ajili yao kama hamna mpesa navuta toka CRDB kwa Sim banking halafu ndo siku moja tu ndo najionea mwenyewe kuwa demu ni mshenzi na ni malaya iliniuma sana aisee na sitaki kabisa aje kwangu kwa namna yoyote.
Fall fast and learn quickly. Don't commit a mistake twice. Lakini ni vizuri ukafahamu. Binadamu wote ni dhaifu. Wote tunamapungufu. Japo najua huwezi ukasema lakini evaluate your self. Wewe ulikuwa unakosea wapi? Nini ulikuwa unafanya yeye hakupenda? What was your reaction? What was her reaction? Usipite bila kujifunza kitu.
 
Historia inaonesha kwamba kila akiyemsomesha mwanamke aliishia kupata majibu yafuatayo

Naomba usinisumbue piga gharama zako zote nikurudishie,

Nimepata mwingine asante kwa kunisomesha

Mi nawe hatuendani

Kwahiyo mawazo ya kipuuzi ya kuwasomesha wapenzi wenu yafute

Uzi huu utakumbukwa milele
 
Mkuu yamekukuta?
 
Huu ni mmoja ya upumbavu bao mwanaume anawe kuufanya na aka juta.
 
anasomeshwa na wazazi wake//// hata mke uwe makini sana.....angalau mumejaaliwa watoto.....angalau ntamfikiria.....
 
Mama angu anamsomesha demu wa mdogo angu wa kiume..nawazaga tu siku atakapoghaili kua na mdogo angu itakuaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom