Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,241
- 4,441
Ukweli ni kwamba mchumba hasomeshwi watu wamelia sana mimi kama shuhuda kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi ya taxdriver pale Airport Mwanza miaka 5 iliyopita alikuwa anasomesha mchumba UALIMU mmhh hatar sana ndugu zangu huwezi amin siku ya sherehe dem akamwambia jamaa apige gharama zote alizotumia na nyongeza kama anataka arudishiwe jamaa alizima pale pale tukakimbiza hospitalin alizinduka kesho yake.
Aiseeeeeee sio mchezo....