cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
watuwacheeeeeeee miaka 2000, watuwacheeeeeee tupumuweeeee........!! mualike siku moja viwanja vyetu auone mnanda wetu!!Club gani hizo?
huwa unafanya roll-call?
kwani wake za watu siyo warembo?
kwa taarifa yako huwa tunajazana sana tu. siku hizi kujikalisha kizee kunahu? watu wapo kwenye ndoa miaka zaidi ya kumi na wana watoto wa kumwaga na ukiwaona ni ngoma droo na mabinti.
cc. King'asti, snowhite, cacico, gfsonwin, Kaunga, mwaJ, Nivea, Ablessed, Nyamayao, Kipipi, dada white BADILI TABIA.....