Ni kweli kuhusu hawa wanawake?

Ni kweli kuhusu hawa wanawake?

anazungumzia wale warembo wao wa malace wig, kubandika kucha/kope,mwanaume wa ukweli/kueleweka/kujiamini lazima uoe kitu roho imependa,kitu mrembo/kipusa/kishunaa na anajiamini/ringia mkewe sana, sasa hao wanaosema wanawake wazuri hawaolewi sijui wanazungumzia uzuri upi, kama ndio mawazo yao mbona wengine tungedoda? ndio kwanza burudani linaongezeka kwenye game.
ha haaa, urembo huo mwenzangu ulitushinda, kitu naturale, lol!
msukuma wako kila akikucheck unapotoka anatamani kukufunga tracer, ha haaaaa na uzee huu
 
ha haaa, mtu keshakata tamaa.....
mbona mimi mzuri na nimeolewa na nimedumu kwenye ndoa miaka kibao?
au tuulize unazungumzia uzuri gani?
cc. Kongosho
Kweli dear tupo wengi tu wazuri na tupo kwenye ndoa miaka kibao na ukituona kama tumeolewa juzi. Hata hivyo uzuri una definitions nyingi sana nachelea kusema kua kila mtu ni mzuri sema tunatofautiana mitazamo tu. Cha kushangaza waweza sema huyu lol mbona mbaya kumbe kuna mwingine huyo ndio miss world wake and vice versa. Kwa mtazamo wangu naona ni makundi yote ya wanawake yanaoleka na pia hayaoleki inategemea muoaji anatazama nini na muolewaji pia. Unajua suala la kuolewa lina mengi sana ndani yake inategemea msimamo wa mtu.
 
we ngoja siku tukae vizuri.....
aje halafu atuambie kati yetu nani ana alama kuwa ni mke wa mtu tena mama wa watoto...
cc. Tutor B
Unajua mambo ya club yanaenda NA Interest ya mtu. Bwana asiangalie club aje na maeneo mengine atawakuta wamama warembo mpaka basi . Unajua mwandishi amepoint eneo moja tu la club mbona vipo viwanja vya aina nyingi tu. Urembo/uzuri ni fumbo kubwa kila mtu ana jibu lake we acha tu
 
Una uhakika wewe ni mzuri? Uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu sio watu.

Lakini mbona kuna wale ambao wote tunakubali kwamba daaah huyu aisee ni mzuri kwa kweli mf..nancy sumari 2005 miss world africa almost wote tulikubali kwamba ni muzuri eeennhh hata kama saiv kachuja nin
 


ha haaa, hawa ndugu wa kiume hata hawaeleweki......
tuwaache tu kama walivyo, maana kujitahidi kuwaelewa uta-go crazy......
wanasema wanachagua wabaya ndo wanatuweka ndani, ili wasiibiwe.....
cha ajabu tunawazalia watoto warembo wanazurura nao mitaani na kuweka picha wa watoto wao kila sehemu.....
ukiwakuta club wanasema wanakumbushiana na warembo wa zamani ( Tutor B) sababu mke ambaye unamwona si mrembo anakuwa yupo home kalala...... ukitoka kwa mrembo huko chumbani unarudi home kwa mamsap unaendelea na kazi......
hapa panaeleweka kweli rafiki?
 
Last edited by a moderator:
Muziki uko kwenye damu



sikujua ukienda club lazima ucheze kiajabu ajabu........
mimi najua wengi tu wake za watu na tunaenda club, with/without waume zetu. tunacheza muziki then tunarudi home kulala.
 
Last edited by a moderator:
naona wabaya wanapigiwa chapuo
ila uzuri nao unaficha mengi
 
Nikwambie kitu Kaunga,

Katika dunia hii hakuna mtu (mwanamume/mwanamke) mbaya....

Hizo hadithi nyingine ni burudani za vijiweni..

Kama kuna mtu anabisha, anitafute kwa muda wake...


Babu DC!!

i know, ndio maana nimepinga kwa nguvu zote hiyo dhana ya wanawake wazuri kutoolewa.
 
i know, ndio maana nimepinga kwa nguvu zote hiyo dhana ya wanawake wazuri kutoolewa.


Halafu hayo maneno ya wanawake "wabaya" na sijui "wazuri" nayachukia sana....

I almost married a lady who was not that cute after I found out she was worth the entire treasure of mine....!!

Basi tu.....mambo hayakwenda vizuri...!!

Babu DC!!
 
we ngoja siku tukae vizuri.....
aje halafu atuambie kati yetu nani ana alama kuwa ni mke wa mtu tena mama wa watoto...
cc. Tutor B
UMEONA EEEEEEEEE??? WATU TWAWEZA OLEWA HATA MATA 5 MBELE KUANZIA SASA!! atuwacheeeeeeeee........!!
 
Back
Top Bottom