ha haaa, hawa ndugu wa kiume hata hawaeleweki......
tuwaache tu kama walivyo, maana kujitahidi kuwaelewa uta-go crazy......
wanasema wanachagua wabaya ndo wanatuweka ndani, ili wasiibiwe.....
cha ajabu tunawazalia watoto warembo wanazurura nao mitaani na kuweka picha wa watoto wao kila sehemu.....
ukiwakuta club wanasema wanakumbushiana na warembo wa zamani (
Tutor B) sababu mke ambaye unamwona si mrembo anakuwa yupo home kalala...... ukitoka kwa mrembo huko chumbani unarudi home kwa mamsap unaendelea na kazi......
hapa panaeleweka kweli rafiki?