Ni kweli kuhusu hawa wanawake?

Ni kweli kuhusu hawa wanawake?

Halafu hayo neno ya wanawake "wabaya" na sijui "wazuri" nayachukia sana....

I amost married a lady who was not that cute after I found out she was worth the entire treasure of mine....!!

Basi tu.....mambo hayakwenda vizuri...!!

Babu DC!!

kwakweli breed yenu haipo tena. imagine unamuita mtu ambaye Mungu alipoteza muda na nguvu zake kumuumba; ilhali weye huwezi kuumba hata unywele mmoja wa kwake. Ni dhambi aisee!
 
Lakini mbona kuna wale ambao wote tunakubali kwamba daaah huyu aisee ni mzuri kwa kweli mf..nancy sumari 2005 miss world africa almost wote tulikubali kwamba ni muzuri eeennhh hata kama saiv kachuja nin
Mkuu Lyamber nadhani uzuri unaoongelea ni ule wa sura, kama ndiyo huo Nancy alitisha, lakini uzuri/urembo wa mwanamke ni mpana mno, kwa mfano mimi hakunishtua kwa kuwa wakati huo anakuwa Miss alikuwa mwembamba sana, ila kwa wakati huu baada ya kujifungua nilipomuona kidogo anaweza kushawishi.

Hii ina maana kwamba kama ni muonekano wa nje tu, basi hakuna mzuri wa kudumu na vile vile hakuna mbaya wa kudumu. Vyote hivyo vinaweza kubadilika wakati wowote aidha kwa ajali ama uzuri wa dukani.
 
Back
Top Bottom