Nancy herman
Member
- Apr 29, 2013
- 35
- 8
Wana Jf,
Mie ni mgeni hapa. Naomba nitumie nafasi hii kwa malengo mawili makubwa. Moja ni kubisha hodi ili wenyeji mnipokee na kunionyesha njia. Pili ni kuwakilisha mada inayohusu hicho kichwa cha habari kama ifuatavyo.
Kuna imani kubwa katika jamii na ni mara nyingi nimekuwa nikisikia watu wakiongea kwa wakati na mahali mbali mbali kuwa asilia kubwa ya wanawake wazuri hawaolewi.
Mie sielewi kama ni kweli ama ni uongo. Nawasilisha kwenu wadau mnipe mawazo yenu kama mnakubaliana ama kukataliana na hili.
Nawapenda nyote,
Asanteni.