Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
nami nilitendwa na handsome mmoja hivi! Lol
ya ukweli hayo kweli ???? Ndo ukaamua kuzaa na midume minne?? Nimekuaminia kwa hilo! Ukiamua kila mtoto kumuita jina la baba yake si ndo poa?
nami nilitendwa na handsome mmoja hivi! Lol
sikujua ukienda club lazima ucheze kiajabu ajabu........We hacha hizo; mwanaume gani amruhusu mke wake wa ndoa kwenda stage kufanya mambo ya ajabu ajabu (Achana na wale wasanii maarufu). Hapa naongelea wale ... wale ... si na wewe unawajua.
Niko mjini mda mrefu; story za town nazijua; wale ma-miss wa miaka ya 2002 kwenda 2008 kawatafute uone utakapowakuta kama sio mitaani tu bila wenza; ukijaribu kuwauliza utasikia ... "We maisha ya ndoa siyawezi mie, niko mwenyewe na watoto wangu na msichana wa kazi" ukimuuliza na baba wa watoto aliko .... maneno kachumbali ...
ya ukweli hayo kweli ???? Ndo ukaamua kuzaa na midume minne?? Nimekuaminia kwa hilo! Ukiamua kila mtoto kumuita jina la baba yake si ndo poa?
hatakama lakini sio wote.. Ingekuwa wanaume wanaoa wanawake wabaya, je kungekuwa na haja ya wanawake kujibadili maumbo yao kwaajili ya wanaume?
Ni kweli kabisa;
Na wakiolewa huwa hawadumu kwenye ndoa;
Na wakidumu ujue kuna madawa ya kufa m2.
ha haaa, mtu keshakata tamaa.....
mbona mimi mzuri na nimeolewa na nimedumu kwenye ndoa miaka kibao?
au tuulize unazungumzia uzuri gani?
cc. Kongosho
ah wapi...wapo wazuri wameolewa bwana...kama wee mzuri ebu tutafutane tena una jina zuri weye lol
sikujua ukienda club lazima ucheze kiajabu ajabu........
mimi najua wengi tu wake za watu na tunaenda club, with/without waume zetu. tunacheza muziki then tunarudi home kulala.
some of us are not only fertile but tuna allergy na ndom pia; so hao 4 nafikiri sperm count zao ziko vizuri; mbona ningenkuwa na watoto 8 kwa baba 8.
Baba 8 kwa kipindi gani?
Mbona unatisha??? Mi katika maisha yangu; kwa wale nilowahi kugegedana nao hawafikii namba hiyo!
Acheni hizoo banaaa.. Kwa hyo unataka niambia mie ni mbaya???
Akuuuuu, BTW uzuri wa mtu uko kwa macho ya mtazamaji. Kila mtu ana flavour yake lolz.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hii thread nimeirudia kuisoma mara2 lakini nikawa sielewi, hivi uzuri wa mwanamke ni nini? kwa mfano mke wangu ni mrefu mweusi alaafu ni mpoole sana, binfsi namuona ni mzuri sana na nimedumu naye mwaka wa Sita huu alafu nahisi siwezi kumuacha leo wala kesho labda yeye ndo anipige chini na atakuwa ameniumiza sana.
shemeji yanguMkuu huo utata, yaani mpaka watoto wake unawafahamu? Bila shaka utakuwa mdau wake siku nyingi.
sijahesabu hit and run ujue!
ndo maana na sisi tukamwuliza atuambie uzuri ndo nini......Hii thread nimeirudia kuisoma mara2 lakini nikawa sielewi, hivi uzuri wa mwanamke ni nini? kwa mfano mke wangu ni mrefu mweusi alaafu ni mpoole sana, binfsi namuona ni mzuri sana na nimedumu naye mwaka wa Sita huu alafu nahisi siwezi kumuacha leo wala kesho labda yeye ndo anipige chini na atakuwa ameniumiza sana.
naomba tuishie hapa.....Danganya watoto wewe; niko kwenye game la life kitambo. Starehe nimefanya; nimeona mengi na ninachokiandika hapa ni kile ambacho hata ukimuuliza yeyote anayekuzidi umri atakueleza hichohicho.
Wanafanya hivyo ili kujiongezea soko mtaani na si kwa ajili ya kuolewa.
Hivi kuna ufahari gani kuingia na Mrs wako sehemu mimacho ya watu wote ikaamia mezani kwenu? Kubali usikubali mwanamke mrembo / mzuri kwenye ndoa ni kero.