Ni kweli kuhusu hawa wanawake?

Ni kweli kuhusu hawa wanawake?

Wengi wao hawaolewi, wanatumiwa tu wanatemwa.
Wanavimba mibichwa sana kwakujiona wazuri, hapo ndi tatizo huanzia bila kujijua.
Mwanaume anaependa Ndoa anapenda Tabia njema sio uzuri na Tabia mbaya.
 
Kuhusu hilo la kupiga hodi,karibu sana jisikie upo kwako !!
Pili nikupe tahadhari huku bwana kuna akina mzabuzabu wazee wa migegedo, so usijaribu kutoa namba unaweza kugegedwa wireleslly !!
 
ha haaa, mtu keshakata tamaa.....
mbona mimi mzuri na nimeolewa na nimedumu kwenye ndoa miaka kibao?
au tuulize unazungumzia uzuri gani?
cc. Kongosho
Waambie @FP.Mie ngoja niendelee kupekuwa kitabu hiki:
943573_10151571061608794_1900669788_n.jpg
 
nipo shosti......
namshauri mrembo hapa asikate tamaa.
warembo wenzie hapa tumeolewa na tunaishi na noa zetu kwa miaka mingi tu.
Ila sasa kuna tatizo moja, hajatufafanulia huo uzuri ana maana gani
duh! siku hizi tumekuwa noa tena? au unamaanisha huyu hapa:
666_567291426622030_80508972_n.jpg
 
bado unarusha ndoano!!!

Shemeji Nivea mbona hapo nimemjibu post yake tu...mimi ninamngojea mdogo wako halafu kama nahisi nishakutana naye ferry..si mnafanan hivi sema ye mrembo zaidi yakoee..ooopssss:twitch:
 
Last edited by a moderator:
he heee, rafiki hapo unatafuta ukichaaa.......
mutuwache tupumueeeeee.....
mbona sisi hatutafuti kuwa-understand?
Nilikuwa namaanisha kwamba wanawake hawatabiriki.sio rahisi kusoma kitabu hiki kama ilivyokuwa vigumu kuwajua wanawake.
 
nipo shosti......
namshauri mrembo hapa asikate tamaa.
warembo wenzie hapa tumeolewa na tunaishi na noa zetu kwa miaka mingi tu.
Ila sasa kuna tatizo moja, hajatufafanulia huo uzuri ana maana gani

Anachosema kinaweza kuwa cha ukweli ila ndo hao ndoa zao zinaongoza kuwa na nyumba ndogo i mean wame zao wamezidi kutoka nje ila ndoa za wanawake wazuri wanaume wanaogopa maswala ya kuwa roho juu a.k.a mapresha.
 
rafiki, wewe unawajua hao wanawake wazuri?
 
Wengi wao hawaolewi, wanatumiwa tu wanatemwa.
Wanavimba mibichwa sana kwakujiona wazuri, hapo ndi tatizo huanzia bila kujijua.
Mwanaume anaependa Ndoa anapenda Tabia njema sio uzuri na Tabia mbaya.

Nakuunga mkono;
Tatizo wanawake wazuri wana tabia mbaya sana tena sana .... ona kisa hiki ...
Kabla sijaoa nilikuwa na mchumba wangu mzuri kweli (Mnyankole), nilimwamini kwa kiwango kikubwa.
Sikuamini siku alipokutwa na m2 mwingine akishughulikiwa ufukweni, na waliomkuta ni jamaa zangu ambao walikuwa wanamfahamu kuwa ni mchumba wangu.
Mpaka sasa hivi ninapoandika maneno haya; hajaolewa, yuko na maisha yake mazuri tu, ameishia kuzalishwa na midume tofauti tofauti.
 
nipo shosti......
namshauri mrembo hapa asikate tamaa.
warembo wenzie hapa tumeolewa na tunaishi na noa zetu kwa miaka mingi tu.
Ila sasa kuna tatizo moja, hajatufafanulia huo uzuri ana maana gani
Hiyo bila shaka itakuwa Samurai maana ndiyo inadumu kwa miaka mingi.
 
mwangalie twin wangu FP hapo kwenye avata yake then vuta hisia
Baada ya hapo angalia "signature" ya Watunane/Watu08 utapata jibu la uzuri wenu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom