kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,703
- 11,294
Tuache malumbano yasio na matokeo chanya.Niliemtaja Mimi sio Yohana mbatizaji,ni Yohana ndugu yake Yakobo.Na huyu Yohana mwanzoni alikuwa mwanafunzi wa Yohana mbatizaji ila walipotambulishwa kwa Yesu,yeye na mwenzake Andrea ndio wakawa wanafunzi wakwanza kabisa wa Yesu
Jibu swali hili dogo.
AGANO JIPYA LIMEANDIKWA MWAKA GANI.?