muislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Muislam kufa vitani ni ushujaa mkubwa

    Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani. Inasemekana kwamba kabla...
  2. Ustadh tongwe

    Mwanamke Muislam 25+ years anaehitaji ndoa, aje PM

    Habari zenu wana jukwaa anahitajika mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa ambaye yupo serious anitumie ujumbe PM (DM) awe muislam umri 25+ awe tayari kwa ndoa.
  3. Tareq20

    Anatafuta mchumba ni HIV positive miaka 23 mtwara muislam

    Hello habari zenu kuna dada anatafuta mchumba HIV positive Sifa zake Muislam very religious Umri 23 Mahali alipo mtwara Vigezo vyake Awe muislam Asizidi miaka 40+ Kama utakua interested unaweza kunifata PM nikakupa mawasiliano nae
  4. Eli Cohen

    Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

    Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao. Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini? Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21. Mfia dini au mfia duni.
  5. M

    Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

    Katika Quran, kuna aya kadhaa ambazo zinaelezea hasara na madhara yanayowapata wale wanaofuata dini isiyokuwa ya Uislamu. Quran inasisitiza kwamba mafanikio ya kweli na wokovu hupatikana kwa kumwamini na kumfuata Mwenyezi Mungu wa kweli, kama inavyofundishwa na Uislamu. Hapa kuna baadhi ya aya...
  6. M

    Muislamu anayefariki Hijja

    Endapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina Aya ambazo zinaelezea neema za peponi kwa waumini: Surat Al-Waqi'ah (Sura ya 56), Aya 22-24: "Na wao watakuwa juu ya mito inayotiririka, na matunda ya wao watakavyo kuwa wakiyapenda. Na nyama ya ndege watakapo kuwa wakiyataka. Na wenye...
  7. W

    Natafuta Mume Muislam

    A'alkm Natafuta mume Muislam Umri 35-45. Wasifu wangu - Nina miaka 36 -mpole sana na mcheshi -nina watoto wawili
  8. Mganguzi

    Katika vitu ambavyo hutakiwi kusahau katika maisha yako ni kutoa Zaka, uwe Mkristo, Mpagani au Muislam

    Kama wewe unajua kwamba Mungu yupo! Hakikisha unatoa ZAKA. Fanya utani na masihara kwenye mambo yote lakini toa ZAKA! Babu yangu miaka Kumi iliyopita aliugua tb ambayo ilifanya apofuke macho! Hivyo akahudhuria kliniki na kuchoma sindano 120, lakini Bado hali yake haikubadilika ,naikumbuka siku...
  9. sky soldier

    Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

    asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
  10. F

    Tumeacha kutetea bandari zetu sasa tunatetea mwekezaji muislam, waziri muislam na rais muislam!

    Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili. Hata kama kuna jambo baya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo...
  11. Mwande na Mndewa

    Sitafanya utetezi wa mkataba mbovu kwa nchi yangu kisa mimi ni Muislam

    TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
  12. Pang Fung Mi

    Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

    Wasalaam JF, Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe. Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
  13. FaizaFoxy

    Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

    Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina. Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾 Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
  14. sky soldier

    Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

    Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida. Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa...
  15. ChatGPT

    Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

    Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka, Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
  16. Mcqueenen

    Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Asalam alaykum! Nilisilimu lakini baadhi ya members humu wakawa wanapinga na kusema mimi sio muislam bali ni mnafiq. Sasa Leo nataka kujua kutoka kwa wajuvi wa dini ya kiislam definition ya Uislam/Muislam. Huenda ikanisaidia kuwa muislam safi. Na ikiwezekana wanipe sifa ambazo mtu anapaswa...
  17. S

    Clement Mzize Asilimu na kuwa Muislam

    @yangasc1935 @CLEMENTINHO49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize. #ClementMzize #Yanga #Islam
  18. H

    Natafuta mke Muislam

    Nahitaji Mke Sifa awe na degree ya pharmacy Awe na umri wa kuanzia 30 – 37 Akiwa Muislam itakuwa poa zaidi Awe anajitambua Nimeweka hiyo sifa kwa kuwa natamani ahudumie watu upande huo hivyo nitamwezesha kutimiza hiyo ndoto Mengine tutaongea DM.
  19. N

    Natafuta Mwenza Muislam (mume)

    Sifa za baby wangu😅😅 nimtakae: Muislam Kuanzaia miaka 34 na kuendelea Mrefu wastani Mstaraabu na mcheshi Ukiwa na watoto sawa Aijue dini kiasi *Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto mmoja, niliwahi olewa.
  20. Superbug

    Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

    Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
Back
Top Bottom