Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,287
Jamani umri nao unakwenda , sasa atarudije kuwa kijana, uzee ndio unamnyemelea sasa, baada ya miaka 3 km bado Mungu amemjalia uhai atakuwa anatembelea fimbo. Maisha ya urais mtamu asikwambie mtu. Alafu tatizo jingine linalomtesa zaidi na kumudhoifisha ni mawazo, kinachofanywa na mrithi wake, hakutarajia anaendelea kumkatia mirija tu kila siku.