fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
Jamani kikwete ni mgonjwa wa kansa ya tezi ya uzazi,na hizi ni dalili zake kuwa inamla tarayibu na huwa haina dawaWana ukumbi salaam.
Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.
Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....
Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431