Ni ipi maana halisi ya kumkomboa Mwanamke?

Jambo lolote linaanzaga vizuri lakini hawakosekani watu wa kulitumia kwa maslahi yao.
Sasa kama nyie mnajikita kuangalia hao watu wanayoyatumia kwa maslahi yao na hamuoni wale wengine hilo ni tatizo la nani?
Kwa hiyo kitu kifutwe kwa sababu baadhi ya watu wanaenda kinyume na muongozo wa hizo harakati?
Chagueni watu sahihi wa kuwafuatilia. Wanufaikaji wa hizi harakati wengi hata smartphone hawana.
Endeleeni kudanganyana, ila ukweli ni kwamba hata uwe na mabilioni. Mwanaume atabaki kuwa wa pekee katika maisha yenu. Majority mnamuhitaji mwanaume awakamilishe muunde family.

Nakupa mfano tu, hakukuwa na mdangaji Nguli kama Aunt Ezekiel ila sasa kiko wapi, leo hii anakazwa na Kusah na anamlelea mtoto. Ni kitu ambacho hakuwahi fikiri 15 years ago.

Shilole, she is powerful kiuchumi ila still hawezi kuwa mwenyewe. Sio rahisi kwake sababu mwanaume ana nafasi ya pekee kwenye maisha ya mwanamke. Sahizi ana kajamaa anakaamkia kila asubuhi.

Resty, ni mpambanaj hakuna asiemjua ila still amefikia mahali ambapo alihitaji kuwa na familia. Pesa sio kitu akaungana na yule Marioo wake KWEKA😹!

Kwahio msidanganyane kuhusu ukombozi wa kushindana na wanaume. Ni ngumu sana na hao wana harakati ndio wale walioshindwa kwa ujinga wao huo huo wanataka wawalostishe wenzao. Nyie bila kujua mnajitutumua mnaharibu nyumba zenu na wao ndio furaha yao. You will end up being a sadist for no reason kama hutajistukia mapema.
 
Nyie mnatahiriwa sio?
Mbona sisi tunapinga kukeketwa kama dhumuni letu ni kufanana na nyie?
Safi kabisa, ukija kwa mtindo huu unaweza kunielewa. Lakini nahisi hujakisoma vyema nilichokiandika. Nimeandika ya kuwa wanatumia au kutumia matatizo fulani lengo la msingi kuja kushindana na sisi kisha nikasema hivi kukeketwa ni kambo baya na linajulikana wazi.

Faida chukua hii : Mwanamke naye anatahiriwa ila si lazima kwake, endapo kile kisimi kitakuwa kinampelekea kupata hamu ya mara kwa mara, na haya ndiyo tunayaita maslahi, ili asiingie katika madhambi ns kudhurika, kile kisimi hupunguzwa kidogo kwa kadiri ya kukidhi haja na hili ni maarufu sana. Maana yake kuna kukeketwa na kutahiriwa.
 
Endeleeni kudanganyana, ila ukweli ni kwamba hata uwe na mabilioni. Mwanaume atabaki kuwa wa pekee katika maisha yenu. Majority mnamuhitaji mwanaume awakamilishe muunde family.

Nakupa mfano tu, hakukuwa na mdangaji Nguli kama Aunt Ezekiel ila sasa kiko wapi, leo hii anakazwa na Kusah na anamlelea mtoto. Ni kitu ambacho hakuwahi fikiri 15 years ago.

Shilole, she is powerful kiuchumi ila still hawezi kuwa mwenyewe. Sio rahisi kwake sababu mwanaume ana nafasi ya pekee kwenye maisha ya mwanamke. Sahizi ana kajamaa anakaamkia kila asubuhi.

Resty, ni mpambanaj hakuna asiemjua ila still amefikia mahali ambapo alihitaji kuwa na familia. Pesa sio kitu akaungana na yule Marioo wake KWEKA😹!

Kwahio msidanganyane kuhusu ukombozi wa kushindana na wanaume. Ni ngumu sana na hao wana harakati ndio wale walioshindwa kwa ujinga wao huo huo wanataka wawalostishe wenzao. Nyie bila kujua mnajitutumua mnaharibu nyumba zenu na wao ndio furaha yao. You will end up being a sadist for no reason kama hutajistukia mapema.
Afu angalia background ya hao wanaharakati lazma ukute ana shida kwenye nyumba yake mf. Joyce Kiria n.k
 
Eeh yule sindio SI Unit ya wanaharakati na ndiye shamba darasa!
 
Asilimia kadhaa ya waliozaliwa wanaume wamefanya transition kuwa na mwonekano wa kike. Hawa wanaitwa Trans women. Ukikutana nao utadhani wanawake kabisa.

Lakni watu kama nyie mna lalamika ni sisi tunataka kujifananisha na nyie. Haya hamyaoni?
Bibie sijui huelewi wapi, hayo ni makosa na yanajulikana wazi na huku kwetu watu hawa wanauliwa.

Kadhalika tuna shughulika na nyinyi, sababu ukimtengeneza mwanamke vizuri basi jamii inanyooka na hayo unayoyasema hayatatokea.
 
Endeleeni kudanganyana, ila ukweli ni kwamba hata uwe na mabilioni. Mwanaume atabaki kuwa wa pekee katika maisha yenu. Majority mnamuhitaji mwanaume awakamilishe muunde family.

Nakupa mfano tu, hakukuwa na mdangaji Nguli kama Aunt Ezekiel ila sasa kiko wapi, leo hii anakazwa na Kusah na anamlelea mtoto. Ni kitu ambacho hakuwahi fikiri 15 years ago.

Shilole, she is powerful kiuchumi ila still hawezi kuwa mwenyewe. Sio rahisi kwake sababu mwanaume ana nafasi ya pekee kwenye maisha ya mwanamke. Sahizi ana kajamaa anakaamkia kila asubuhi.

Resty, ni mpambanaj hakuna asiemjua ila still amefikia mahali ambapo alihitaji kuwa na familia. Pesa sio kitu akaungana na yule Marioo wake KWEKA[emoji81]!

Kwahio msidanganyane kuhusu ukombozi wa kushindana na wanaume. Ni ngumu sana na hao wana harakati ndio wale walioshindwa kwa ujinga wao huo huo wanataka wawalostishe wenzao. Nyie bila kujua mnajitutumua mnaharibu nyumba zenu na wao ndio furaha yao. You will end up being a sadist for no reason kama hutajistukia mapema.

Nimechoka sasa maana sielewi references zanu zinatoka wapi.

Sasa wewe nani kakuambia mwanaume yeye haitaji mwanamke ili amkamilishe awe na familia?

Nani pia kasema sisi wanawake hatuhitaji wanaume ili tuwe na familia.

Na nani kakuambia kwamba hizi harakati zinashauri mwanamke asiwe na mwanaume?

Mwisho funga kazi ni hao uliowatolea mifano, duu sikutegemea aisee.

Sasa Aunt Ezekiel na huyo aliyezaa nae nani anaishi kwa mwenzake? Mwanaume anaishi kwa mwanamke kama ilivyokuwa kwa Iyobo. Yakimshinda mwanaume anatimuliwa tu.

Shilole kaoa mwanaume pia yakimshinda anaweka kando anavuta chombo kingine ndani kama alivyofanya kwa yule fundi gereji wake.

Sasa kama wewe hao umeona ni mfano wa kuonesha kwamba hata kama mwanamke yupoje anahitaji mwanaume kumkamilisha umefeli. Ungemtolea mfano Elizabeth Michael ningekuona umefikiri vyema maana kaolewa na kaenda kuishi kwa mume wake.

Wewe unatolea mfano hawa wanaowalelea wanaume yaani wanaoa wanavuta chombo ndani yakishindikana wanatimua, halafu unasema mwanamke anamtegemea mwanaume ukitagemea nikuelewe?
 
Bibie sijui huelewi wapi, hayo ni makosa na yanajulikana wazi na huku kwetu watu hawa wanauliwa.

Kadhalika tuna shughulika na nyinyi, sababu ukimtengeneza mwanamke vizuri basi jamii inanyooka na hayo unayoyasema hayatatokea.
Hata hao unaosema wanajilinganisha na wanaume ni makosa sio lengo la hizo harakati.
 
Nafikiri katika kufundishana hizo harakati mngefundishana na somo la hekima na busara ..Maana bila hivyo mtazidi kubomoa jamii kuliko kuijenga.

Focus imewekwa kwenye competition zaidi kuliko kupinga uonevu.
yaan mwanamke akipendwa na kusupotiwa mbona hiyo hekima na busara ni rahisi sanaaa. yaan mapenzi na especially ndoa ni two way. kwa kweli hamna mwanamke mwenye kiburi mbele ya mwanaume anayempenda na upendo upo kati yao kabisaaaa.
 
umejibu vyema lakini nadhani wengi wa kimjini mjini hawajui kuwa huko vijijini bado kuna wenzao wanakeketwa, wanaachishwa shule n.k , mfumo dume uliopo mijini na vijijini ni tofauti sana huko vijijini ni kama ukoloni kabisa, hizi harakati inabidi zielekeze nguvu ziadi huko vijijini ndani ndani
Unesema vyema, nakumbuka nilikwenda Shinyanga vijijini kwenye outreach fulani ilikua imeandaliwa na UNDP, na ilikua ni kipindi cha uchaguzi na lengo ilikua ni kutoa hamasa na awareness kwa wananchi ili wajue haki na wajibu wao wa kuopiga kura na kuchagua viongozi wanaowataka

Wanawake wengi walilalamika wakasema waume zao wameshikilia kadi zao za kura na hawaruhusiwi kwenda kupiga kura, na wakati mwingine wenyeviti wa vijiji wanakusanya kadi za kura za wanawake wote na wanapohoji wanaambiwa kwamba viongozi wanachaguliea na wanaume tu, kwa hiyo wanaume ndio wataamua hizo kadi zimpe nani kura, asilimia 90 ya wanawake walikua na lalamiko moja katika maeneo yote tuliyopita

Wengine walisema unapokua na itikadi tofauti na ya mume, basi ujue hutapata matunzo wala unyumba, tulipopata nafasi ya kuzungumza na wanaume, wengi wao walikua wabishi tena wasukuma ni wabishi balaa yani walituambia nyie wanawake hamna mamlaka ya kuzungumza na sisi, asimame mwanaume mwenzetu azungumze

Kwenye kijiji fulani, mwenyekiti wa kijiji alikua ni mwanamke, alitukaribisha vizuri na alitueleza changamoto nyingi lakini pia alitukutanisha na mwanamke mmoja mwenye watoto watatu wote wa kike, huyu mwanamke naweza sema umri wake ulikua kati ya miaka 19-21, mwanamke huyu alikua amejeruhiwa kila mahali na alikua amefika ofisi ya serikali ya kijiji kulalamika, watoto wake wote watatu walikua wametendewa ukatili na baba mdogo yaani mdogo wa mume, na hao watoto wote ni chini ta miaka mitano, mwanamke alitoa taatifa kituo cha polisi na baba mdogo alikamatwa ila mume wake alimpiga na kumjeruhi kwa kosa la kutoa taarifa kituo cha polisi na akaenda mbali zaidi akamfukuza nyumbani pamoja na watoto wenye majeraha ya kubakwa

Hii ni mifano michache ambayo inaumiza na ni dhahiri kwamba bado tunahitaji sana kuwasaidia wanawake especially kwenye maeneo ambayo bado wana mila kandamizi kwa wanawake na watoto wa kike
 
Nimechoka sasa maana sielewi references zanu zinatoka wapi.

Sasa wewe nani kakuambia mwanaume yeye haitaji mwanamke ili amkamilishe awe na familia?

Nani pia kasema sisi wanawake hatuhitaji wanaume ili tuwe na familia.

Na nani kakuambia kwamba hizi harakati zinashauri mwanamke asiwe na mwanaume?

Mwisho funga kazi ni hao uliowatolea mifano, duu sikutegemea aisee.

Sasa Aunt Ezekiel na huyo aliyezaa nae nani anaishi kwa mwenzake? Mwanaume anaishi kwa mwanamke kama ilivyokuwa kwa Iyobo. Yakimshinda mwanaume anatimuliwa tu.

Shilole kaoa mwanaume pia yakimshinda anaweka kando anavuta chombo kingine ndani kama alivyofanya kwa yule fundi gereji wake.

Sasa kama wewe hao umeona ni mfano wa kuonesha kwamba hata kama mwanamke yupoje anahitaji mwanaume kumkamilisha umefeli. Ungemtolea mfano Elizabeth Michael ningekuona umefikiri vyema maana kaolewa na kaenda kuishi kwa mume wake.

Wewe unatolea mfano hawa wanaowalelea wanaume yaani wanaoa wanavuta chombo ndani yakishindikana wanatimua, halafu unasema mwanamke anamtegemea mwanaume ukitagemea nikuelewe?
point za muhimu wanazijua sanaaaa, wanaume wenye upendo ni wa muhimu sana kwetu, hata mimi kuishi bila mume aisee ni ngumu sana ila awe mume mwenye upendo, ananisupport na mimi namtiii, tunashirikiana kwenye raha na shida nyumba yetu inakua paradiseeeeeeeee.
 
Unesema vyema, nakumbuka nilikwenda Shinyanga vijijini kwenye outreach fulani ilikua imeandaliwa na UNDP, na ilikua ni kipindi cha uchaguzi na lengo ilikua ni kutoa hamasa na awareness kwa wananchi ili wajue haki na wajibu wao wa kuopiga kura na kuchagua viongozi wanaowataka

Wanawake wengi walilalamika wakasema waume zao wameshikilia kadi zao za kura na hawaruhusiwi kwenda kupiga kura, na wakati mwingine wenyeviti wa vijiji wanakusanya kadi za kura za wanawake wote na wanapohoji wanaambiwa kwamba viongozi wanachaguliea na wanaume tu, kwa hiyo wanaume ndio wataamua hizo kadi zimpe nani kura, asilimia 90 ya wanawake walikua na lalamiko moja katika maeneo yote tuliyopita

Wengine walisema unapokua na itikadi tofauti na ya mume, basi ujue hutapata matunzo wala unyumba, tulipopata nafasi ya kuzungumza na wanaume, wengi wao walikua wabishi tena wasukuma ni wabishi balaa yani walituambia nyie wanawake hamna mamlaka ya kuzungumza na sisi, asimame mwanaume mwenzetu azungumze

Kwenye kijiji fulani, mwenyekiti wa kijiji alikua ni mwanamke, alitukaribisha vizuri na alitueleza changamoto nyingi lakini pia alitukutanisha na mwanamke mmoja mwenye watoto watatu wote wa kike, huyu mwanamke naweza sema umri wake ulikua kati ya miaka 19-21, mwanamke huyu alikua amejeruhiwa kila mahali na alikua amefika ofisi ya serikali ya kijiji kulalamika, watoto wake wote watatu walikua wametendewa ukatili na baba mdogo yaani mdogo wa mume, na hao watoto wote ni chini ta miaka mitano, mwanamke alitoa taatifa kituo cha polisi na baba mdogo alikamatwa ila mume wake alimpiga na kumjeruhi kwa kosa la kutoa taarifa kituo cha polisi na akaenda mbali zaidi akamfukuza nyumbani pamoja na watoto wenye majeraha ya kubakwa

Hii ni mifano michache ambayo inaumiza na ni dhahiri kwamba bado tunahitaji sana kuwasaidia wanawake especially kwenye maeneo ambayo bado wana mila kandamizi kwa wanawake na watoto wa kike
yaaan haya ndo mambo tunayopambana nayo jamani, hapo hawa wanawake hawana hata hela na wananyanyasika balaaaa.
 
Baadhi ya nchi zenye ndoa nyingi zaidi zilizosamaratika ni pamoja na hizi

1.Luxembourg
2.Ubelgiji
3.Hispania
4.Ufaransa
5.Urusi
6.USA
7.Maldives
8.Cuba
9.Denmark
10.Finland

Zote hizo ni nchi tajiri wa kutupwa na vinara wa mandeleo ya sayansi na teknolojia.
"Za kuambiwa changanya na za kwako"
Jamii inaanzia kwenye uimara wa ndoa , jamii iliyojaa ndoa zilizosambaratika zinazalisha tabaka ovu lenye mchango duni kwa jamii na taifa . Hata hapa Tanzania jamii za wahindi na waarabu na wapemba zenye kujali sana uimara wa ndoa hata kimaendeleo zipo mbele ya jamii za makabila mengine yote hapa Tz , kama unabisha itisha kongamano la wanawake wa kipemba , waarabu na wahindi halafu uwaletee huo upuuzi wa kumkomboa mwanamke ipo lugha hata Zanzibar sasa hivi inatumika na inaeleweka kauli mbiu kama usimnyanyase na kumzalilisha, kubaka mwanamke hata uarubuni wazungu waliopelekq mabadiriko huko wanatumia
Lugha nyepesi mfano sio vizuri kumkataza mwanamke kuendesha gari nk hutasikia etu uhuru wa mwanamke wa kumiliki . Uhuru ni kuleta ubinafsi , matengano mwishoe mifarakano isiyo na muafaka SEMENI MAENDELEO KWA MWANAMKE KWA FAIDA YA FAMILIA YAKE MUME WAKE NA WATOTO kwani mtapungikiwa nini ? Hata kama inatokea mwanamke ana kipato zaidi ya mwanaume kwa dunia ya sasa si amechuma akiwa akiwa ndani ya ndoa si inakuwa heri kwa mustakabali wao na watoto ? . Kuhusu manyanyaso , ulevi , uashareti ,matumizi ,
Mabaya ya vipato dawa sio mwanamke apate mali ili
Na yeye amnyanyase mwanaume ndio mafunzo ya yasiotakiwa hayo . HIVI EMAU MBONA WAKO KIMYA SANA SIKU HIZI EMAU YA AKINA MAMA KUNDYA ?;

E- Elimu
MA-Malezi
U- Umma

~Elimu ya malezi bora ya umma
 
Eeh yule sindio SI Unit ya wanaharakati na ndiye shamba darasa!
Eti sasa yule ndoa imemshinda sasa atamfunza nini mke wangu!? Watu kama Wema,Wolper au Uwoya makonkodi kwenye udangaji wote wameshindikana
 
Hili naungana na wewe. Bahati nzuri mimi natembea sana maeneo tofauti tofauti kutokana na shughuli zangu hivyo nimejionea kwa macho sio kusimuliwa.

Binafsi ni muumini wa haki sawa na sijawahi pata shida yoyote kwwnye familia yangu.
a really gentlemen, keep it up na afaida utaiona nzuri mnoooo, na utii utaupata wa kutosha
 
Hatukatai mwanamke kujituma lakini hizi motto zenu ni za kupeana vichwa na kiburi na kuona hakuna umuhimu wa wanaume kwenu. Ni hatari sana ukishakuwa na mawazo hayo ndani ya nyumba
yaan nyie ndo huwa mnajishuku laikin aisee hakuna mwanamke hapendi kuwa na mume ndani, weeee mume muhimu sanaaaa especially mwenye upendo sio mnyanyasaji hahahah
 
Sio kujishuku,tunaona kwa viongozi wa harakati zenu,hakuna anaejielewa anaefaa kuigwa
 
Wewe Umefanya nini?
mimi nina gentlemen anayejiamin balaa na namtiii kuliko chochote, akisema tu anasafiri nasikia kulia na hela ninayo ya kutosha. anahakikisha natimiza ndoto zangu na yeye namsuport basi maisha burudani. natamani wanawake wote wapate raha kama zanguuu. nakusihi sana na wewe uwe kama wangu believe me utaenjoy mnooooooo
 
maisha yapo tofauti sana, wengi tunaenjoy hao ni wachache tu na sio ajabu hujawaelewa tu. kwa maana hiyo tuseme wanaume wote ni wanynyasaji sababu ya wachache? sio kweli. usiishi kwa kufuata maisha ya watu. mifano mizuri mno ipo
 
Nimechoka sasa maana sielewi references zanu zinatoka wapi.

Sasa wewe nani kakuambia mwanaume yeye haitaji mwanamke ili amkamilishe awe na familia?

Nani pia kasema sisi wanawake hatuhitaji wanaume ili tuwe na familia.

Na nani kakuambia kwamba hizi harakati zinashauri mwanamke asiwe na mwanaume?

Mwisho funga kazi ni hao uliowatolea mifano, duu sikutegemea aisee.

Sasa Aunt Ezekiel na huyo aliyezaa nae nani anaishi kwa mwenzake? Mwanaume anaishi kwa mwanamke kama ilivyokuwa kwa Iyobo. Yakimshinda mwanaume anatimuliwa tu.

Shilole kaoa mwanaume pia yakimshinda anaweka kando anavuta chombo kingine ndani kama alivyofanya kwa yule fundi gereji wake.

Sasa kama wewe hao umeona ni mfano wa kuonesha kwamba hata kama mwanamke yupoje anahitaji mwanaume kumkamilisha umefeli. Ungemtolea mfano Elizabeth Michael ningekuona umefikiri vyema maana kaolewa na kaenda kuishi kwa mume wake.

Wewe unatolea mfano hawa wanaowalelea wanaume yaani wanaoa wanavuta chombo ndani yakishindikana wanatimua, halafu unasema mwanamke anamtegemea mwanaume ukitagemea nikuelewe?
Nimetolea mfano hao kwa sababu maalumu japo ilihitaji akili kung'amua ila naona umefeli peupe kabisa. Inaonesha kwako mwanaume ni subjective, yani lazma awe tajiri ndio umtafsiri kama mwanaume au awe na pesa za kuzidi ila walio chini kiuchumi sio wanaume!

When it comes to reality mwanaume ni anaemiliki penis inayoweza kutungisha mimba anytime.

Argument ya kusema hao wanawake wanaoa wanaume na kutimua sababu wana uchumi mzuri haina mashiko maana ishu ni discpline. Ikikosekana hata kama mume ni Jeff bezos anakupiga chini freshi tu.

Inshort kuna interdependence baina ya wanaume na wanawake kiasili ila nilichokuwa nawasilisha ni kwamba hizi harakati zenu zinalenga kuwapa empowerment ambayo in turn wengi wanaitumia kuwa wakaidi matokeo yake hamuongozeki.

KE unafundishwa haki zako ili usionewe na hili ndio lengo kuu ila inturn kuna emphasis on empowerment na equality. Unakuwa empowered kuwa na freedom ya maamuzi na uchumi ila baada ya kufikia peak kwenye curve ya mafanikio maamuzi wengi mnayochukua ni kuanza kumvimbia mume sababu unajua una ka uwezo ka kulipa bills zako mwenyewe.

Tunavunja miiko ya asili bila kujijua thus why nyumba nyingi mama akishakuwa na access kubwa ya kipato kuliko baba amani inatoweka. Inakuwa maisha yametawaliwa na ligi na ubishani! Mama hafati tena maagizo yote ya mume anaangalia ambayo anajiskia kufuata mengine hafuati. Hii ni shida.
 
Back
Top Bottom