Ni ipi maana halisi ya kumkomboa Mwanamke?

Ni ipi maana halisi ya kumkomboa Mwanamke?

amekombolewa toka wapi? Zamani wanawake walikua hawahesabiwi kwenye sense, walikua hawapigi au kupigiwa kura, walikua hawasomi,hawamiliki mali, hawaruhusiwi kutoa maoni yao.
Sasa bibie hayo ya mali, sensa,mali,kura,na elimu nimeshayagusia.

Nipo hapa kwenye kutoa mali, mwanamke ni mshauri mkubwa katika kustawisha jamii, na nafasi yake ni kubwa mno, ndiyo maana sisi huwa tunashauriana na wake zetu. Kwahiyo kumnyima nafasi ya kutoa maoni ni tatizo.

Swali linakuja katika hili la maoni, ni njia gani nzuri ya kutoa maoni ? Sharti maoni yasikike na yafike mbali au yafanyiwe kazi hata ukiyatoa ukiwa nyumbani unakuna nazi na kumlisha mtoto ?
 
Sasa yuko wapi? Sasa hivi mwanamke anahesabika ni mwananchi kama wananchi wengine, yuko huru kusoma kwa ngazi zote anazotaka na kusoma masomo yote anayoyataka, yuko huru kugombea nafasi yeyote ya uongozi, yuko huru kuchagua viongozi wake,yuko huru kufanya kazi zozote halali za kumuingizia kipato, yuko huru kumiliki mali zozote anazotaka,yuko huru kutoa maoni yake popote pale anapohitaji kutoa. Kwa kifupi mwanamke wa sasa ana haki zote za kibinadamu.
Safi kabisa, haya yote yamesaidia vipi kumjenga mwanamke kiakili, maarifa na kujenga jamii imara ? Au nyinyi mnaona mafanikio ni pesa, na kupigiws makofi ? Huku mkiendelea kudhalilishwa na heshima zenu kushuka ?
 
Huku wanakoenda hawa wamama wanaojiita wanaharakati wanachokitaka watakipata imeandikwa mwanamke atakuwa chini ya mwanamume sasa iweje wanaenda kinyume na maandiko ya mwenyezi mungu na ukijaribu kufuatilia hawa wamama wanaojiingiza kwenye hizi harakati sijui eti za ukombozi wengi wao ndoa zimewashinda
 
Hii si maana halisi ya kumkomboa Mwanamke. Maana halisi ya kumkomboa Mwanamke ni kumuweka mahala anapostahiki.

Hivi mwanamke hawezi kumiliki mali bila kutoka kwenda maofisini au kuchanganyika na mambo mengine ?

Kupiga kura si hoja ya msingi, sababu mnaweza kupiga kura na kisiwe chochote. Mfano mimi sijawahi kupiga kura na sitakuja kupiga kura mpaka nakufa,kadhalika Wake zangu hawapigagi kura wala hawajawahi kufanya hivyo na hii si haki, sababu upigaji kura si njia sahihi ya kuchagua kiongozi.

Umeongelea kuhusu elimu, hapa bila shaka unakusudia elimu ya shule, akishasoma lengo aekimike au atafute hela ? Je wenye hela wote wamesoma mpaka hapo walipo ?

Nukta nyingine dhaifu ni hii ya kuwa kiongozi, swali je ni lazima uwe kiongozi wewe ? Je usipokuwa kiongozi mambo hayataenda na yapi yataharibika pindi ukiwa kiongozi ? Mwanamke ni kiongozi wa nyumbani kwake na watoto wake na mali za mumewe, ila si kiongozi wa jamii na watu kwa ujumla, bali yeye ni tegemeo katika kutengeneza jamii bora akiwa yuko nyumbani.
Makubwa
Naomba niishie hapo nishaona na wake zangu kwahiyo huu mjadala ushaubadilisha maana umeupeleka kwenye mrengo wa kidini zaidi.

Ila ngoja nikuulize kwani wanawake wakifanya kazi ofisini kuna shida gani eti?

Ila uliuliza maswali vizuri sana bas anzisha mjadala mwingine wa kidini zaidi.
 
Hasara; Nadhani kuna sehemu mwanamke anasahau yale majukumu yake ya msingi aliyopewa kuanzia mwanzo hayo kwangu mimi nadhani hayana mjadala mwanamke ni mke na ni mama.
Ili uwe mama na ukiwa kiongozi wa serikali nafasi hii utaicheza ipasavyo na ukiwa mtu wa maofisini utaicheza vizuri ? Jibu bila kupepesa macho huwezi lazima utapoteza, na mnapoteza kweli.

Watoto wanataka malezi,mapenzi na si udhamini wa mama au baba.

Sasa ili haya yakae vizuri, hakuna njia nyingine zaidi ya mama kuwa na muda mwingi na watoto, kuwalea na kuwafundisha, mengine tunamuachia Mola muumba, ila sababu tunakuwa tumefanya na hatukuzembea.

Mama ni nani ? Hapa kutakuwa na ufinyu wa maarifa juu ya mama, wengine wanakuwa mama ilimradi tu wawe mama, ila umama hasa hawana.
 
Makubwa
Naomba niishie hapo nishaona na wake zangu kwahiyo huu mjadala ushaubadilisha maana umeupeleka kwenye mrengo wa kidini zaidi.

Ila ngoja nikuulize kwani wanawake wakifanya kazi ofisini kuna shida gani eti?

Ila uliuliza maswali vizuri sana bas anzisha mjadala mwingine wa kidini zaidi.
Kwahiyo ni dini tu ndiyo inaruhusu kuwa na wake wengi. Ningesema mke wangu, yasingekuwa kuwa makubwa ?

Pili, kwani hapa tunatafuta udini au ukweli na maslahi kwa Mwanamke ? Je ikiwa dini ndiyo ina majibu sahihi ya matatizo yetu tuachane na dini, tufate kura za veto na makongamano ?

Kama hujaona shida ya mwanamke kufanya kazi nyumbani, rudi nyumbani uone shida iko wapi.

Mimi kazi yangu nimemaliza bibie.
 
exactly na mkikaa vizuri mkashirikiana mtasogea mbele haraka mnoooo, wanawake wala hawezi kwenda kuhonga kirahisi kama mwanaume. lakini kumkatisha tamaa sio sawa au kumwambia aache kazi. kuna siku atamuambia asile sana atanenepa amshinde hahaha
wanaume mjiamini jaman sisi pia tunauwezo mkubwa sana, mke kuwa nazo nyingi ni faida kwa familia sana na sio kweli kuwa uwezo wa mwanamke unakuwa limited na uwezo wa mume wake.

Alimu rekebisha notes zako , wanaume wanajiamini hata mbele ya mwanamke mwenye uwezo . UK inaongozwa kifalme na malkia na malkia ana mume wake wanaishi miongo nq miongo watoto wajukuu na vitukuu wanaona . Timu za mpira kubwa kabisa zinakubalk kuongozwa na mwanamke . Kwa kuwa harakati za kumkomboa mwanamke zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa ni wajibu sasa mwanamke atimize wajibu wake vizuri kama mke , mama na mlezi na akina baba wanaoharibu taswira ya mwanaume kama kupiga wanawake , kubaka watoto , changamoto iliyopo ni jinsi ya kuimarisha familia kushirikiana na wake zetu kuleta tija kwa
Pamoja .
 
Ameeen, mifano ya Uk ingekua na bongo tungekua mbali Sana. Nakuapia tatizo la insecurity ndo issue kubwa bongo sasa hiv
 
Miongoni mwa hasara zinazotokana na hizi harakati zenu ni mwanamke kufanywa kama bidhaa, na kuonekaa si kolote si chochote zaidi ya kupata maslahi kuputia yeye, huku thamani na heshima yake ikishuka.

Kadhalika mwanamke anaona njia ys kupita iki afanikiwe ni mpaka ajilinginishe na sisi. Hapa tunasema amefanywa mjinga na kuminywa katika uwanda wa kufikiri na kutatua matatizo yake.

Tena hakufundishwa ya kuwa anapata faida moja kwa hasara mia moja, hajui kulea watoto na kuwakuza katika maadili mema.

Haya ndiyo matatizo ya kuwa na wakimu wenu vipofu. Hakuna mwanamke mwenye kujitambua akashindana na Mwanaume, sisi tumeoa na tunaishi na wake zetu wanajitambua hasa.

Sijawahi kuwaza kushindana na mwanamke, sababu najua majukumu yangu. Sishindani na kiumbe ambaye asili na sheria zinanitaka mimi nimsamie na nimuhudumie na kuhakikisha ya kuwa haki zake anazipata.

Lingine ni hili, kama mnaona kusoma na kuwa na mali mwaname hanyanyaswi huku ni kujiongopea sababu mapenzi si mali tu.

Nyinyi mmefanywa vipofu, wakimu wenu waongo na nyinyi pia mmekuwa waongo, na mpaka sasa mmeshindwa uwezo mpaka na wanyama, wanyama ambao hawako radhi kuona familia hasa watoto wao wanapotea kisa kutafuta chakula au mfano wake, tazama maisha ya nyuki na viumbe wengine katika Hayawani, kila mdudu na mnyama ana majukumu yake kukingana na maumbile na silika yake.

Mwanamke asili yake ni akae nyumbani ikitokea ametoka basi iwe dharura na dharura ikiondoka anarudi nyumbani. Kila mtu akae nafasi yake.

Madhara ya mwanamke kutoka nje ya nyumba yake ni makubwa kuliko mwanamke akikaa nyumbani, hii ni kwa wale wanao jitambua na kujua majukumu yao.

Hiyi sababu ya huyi mwanaume kuhofia kushindwa mshahara ni sababu mufkisi, Mwanaume timamu hamkatazi mke wake kufanya kazi kisa atamshinds kwa kadha, bali anamkataza asifanye kazi kwa sababu jukumu la kulea, kulisha,kuvisha,kusomesha ba kumtunza mke ni letu sisi, bali akae nyumbani alee watoto na kusimamia nyumba na mali za zetu sisi.

Sasa mnapofikia hatua mnashindwa utendaji mpaka na Hayawani mjue mna hali mbaya, yaani mpo gizani.
Sawa unayosema ola sio kea miaka hii, mke ni msaidizi wako yaan unatakiwa umjengee uwezo hata usipokuwepo au hata ukakosa kaz ghafla she can takeover majukumu yako.
Hiv wanaume wangap wanaachishwa kaz? Mbona sasa hiv wanawake wengi tu wanasaidia majukumu nyumban Tena ful na nyumba zina Aman had mume anapata Tena kaz.
Afu hayo unayotaka mke afanye ya kukaa nyumban mwanao wa kike ndo unamsomesha Ili aje akae nyumbani(mume amuachishe?)
Maisha ya sasa ni magumu Sana kusibiria kipato kimoja wakati mngeweza kushirikiana na baadhi ya kaz mkawa na msaidiz. Ndo maana ndoa za kipato kimoja Mara nyingi maendeleo ni slow na ful kisiran
 
Hii si maana halisi ya kumkomboa Mwanamke. Maana halisi ya kumkomboa Mwanamke ni kumuweka mahala anapostahiki.

Hivi mwanamke hawezi kumiliki mali bila kutoka kwenda maofisini au kuchanganyika na mambo mengine ?

Kupiga kura si hoja ya msingi, sababu mnaweza kupiga kura na kisiwe chochote. Mfano mimi sijawahi kupiga kura na sitakuja kupiga kura mpaka nakufa,kadhalika Wake zangu hawapigagi kura wala hawajawahi kufanya hivyo na hii si haki, sababu upigaji kura si njia sahihi ya kuchagua kiongozi.

Umeongelea kuhusu elimu, hapa bila shaka unakusudia elimu ya shule, akishasoma lengo aekimike au atafute hela ? Je wenye hela wote wamesoma mpaka hapo walipo ?

Nukta nyingine dhaifu ni hii ya kuwa kiongozi, swali je ni lazima uwe kiongozi wewe ? Je usipokuwa kiongozi mambo hayataenda na yapi yataharibika pindi ukiwa kiongozi ? Mwanamke ni kiongozi wa nyumbani kwake na watoto wake na mali za mumewe, ila si kiongozi wa jamii na watu kwa ujumla, bali yeye ni tegemeo katika kutengeneza jamii bora akiwa yuko nyumbani.
Hahaaaa kweli safari bado ndefuuuuuu, kama anaweza kuongoza familia huoni akiongoza jamii atakuwa perfect sanaaa??

We angalia jamiii nyingi maskin hata hapa Tanzania ni zile ambazo mwanamke anagandamizwa na kuonekana ni mtu wa chin hastahili kufanya chochote kwa jamii
 
Wanaume kuna mahali tumekwama au kuteleza kutimiza wajibu wetu kama viongozi wa hawa wanawake kwa mujibu wa maumbile ndio maana tumefikia hapa.....

Dunia haiwezi kubakia salama ikiwa msimamizi anataka kusimamiwa na msimamiwa.......
Upo vizuri, na familia yoyote ambayo baba amesimama kwenye nafasi yake akaenea haitakaa iwe na shida milele.
Ukiona kiwiliwili kinayumba jua kichwa kina tatizo kubwaaa
 
Ameeen, mifano ya Uk ingekua na bongo tungekua mbali Sana. Nakuapia tatizo la insecurity ndo issue kubwa bongo sasa hiv

usisahau wadhungu wana tamaduni , mila na desturi tofauti na za africa . Huku mwanamke anatolewa mahari wadhungu hawana cha mahari , huku vikao vinafanyika vya ukoo mchumba akubalike au akataliwe wadhungu hawana hiyo . Wadhungu wameshakuwa na ndoa za mikataba na wengine wameamua kutooa au kuolewa kabisa . Nyie wanaharakati mnapenyezewa rupees myalete haya kwa jamii zetu ndio maana tunawapinga sababu hatutaki jamii zetu ziharibike kama za hao wadhungu kama kuna makosa ya jamii zetu , tuyarekebishe kwa lengo la kuimarisha jamii sio kuibomoa penye kweli uongo utajitenga na tutapiganja haki inayoleta amani na kejenga sio mifarakano na kubomoa.
 
Upo vizuri, na familia yoyote ambayo baba amesimama kwenye nafasi yake akaenea haitakaa iwe na shida milele.
Ukiona kiwiliwili kinayumba jua kichwa kina tatizo kubwaaa
Imagine sasa hiv kulivyo na wimbi kubwa la mario jaman, kweli familia zitakuwaje? Wengine hela wanazo but hawatunzi familia wanaachia wanawake esp hata huko vijijin
 
Yaan kwa kifupi ni kwamba mwanamke pia alizaliwa kwa kusudi la Mungu na ana ndoto zake za kutimiza maishani, aachwe atomize ndoto zake hata ziwe kubwa vipi asiwekewe vikwazo kama vilivyopo sasa hiv kwenye jamii kwa ujumla
Heshima kwa mume mke anayo tuuu akiwa Hana chochote na zaidi anayo Sana akiwa ana mume anayesupport kutimiza ndoto zake.

Maisha yanakua matamu mnooo. Sio mume akiona mke anauwezo anapambana kumgandamiza kwa madai hatakiwi kuwa na uwezo ohh kisa wewe ni mwanaume, uwezo wa mke hauwi limited na uwezo wa mume.
We ndo Mama Terry wa TBC
 
usisahau wadhungu wana tamaduni , mila na desturi tofauti na za africa . Huku mwanamke anatolewa mahari wadhungu hawana cha mahari , huku vikao vinafanyika vya ukoo mchumba akubalike au akataliwe wadhungu hawana hiyo . Wadhungu wameshakuwa na ndoa za mikataba na wengine wameamua kutooa au kuolewa kabisa . Nyie wanaharakati mnapenyezewa rupees myalete haya kwa jamii zetu ndio maana tunawapinga sababu hatutaki jamii zetu ziharibike kama za hao wadhungu kama kuna makosa ya jamii zetu , tuyarekebishe kwa lengo la kuimarisha jamii sio kuibomoa penye kweli uongo utajitenga na tutapiganja haki inayoleta amani na kejenga sio mifarakano na kubomoa.

Mwanamke haolewi sababu hawezi kuendesha maisha yake mwanamke anaolewa ili kutengeneza familia . Mwanaume akitumja pesa na mali kama kigezo cha upendo ngoja hizo pesa na mali ziyeyuke na mwanamke akitumia pesa mali au cheo kama kigezo cha kutaka kuheshimika hatapata upendo wa dhati atawapata akima
mario mwanamme halisi atataka umuheshimu
Na ukubwa wa kipato chako hata kama unachangia zaidi kama ulijijua una kipato kikubwa kwa nini hukutafuta akina dangote wakuuoe ukaenda kwa mwanaume pangu pakavu ina maana ulifiata penzi ulifiata kuolewa sio kuoa sasa tulia uongozwe . Elimu inahitajika sana kwa wanawake sasa hivi baada ya wanawake kupata mabadiliko
tunachoshuhudia wanawake wengi wanashindwa kukaa kwenye nafasi mpya ya ukombozi . Nafasi ya mwanamke aliyekomboka katika mfumo wa jamii uliobadirika uliompa nafasi mwanamke ambayo hapo awali mwanamke alikuwa hana . Na wanaume inabidi kubadilika katika kuwaongoza wanawake wanaume wanahitajika kuongeza hekima , busara uwezo wa hali ya juu kiungozi katika kakabiliana na kuwa vichwa viongozi wa familia katika mfumo wa sasa unaompa nafasi mwanamke kufanya biashara , kupata vyeo , kuwa na mali na pesa nyingi , kuelimilq zaidi . Wanawake wa sasa ni tofauti na mama zetu ambao wengi hawakuwa na yote hayo.
 
H

Aisee kama kuna kitu nataman kwenye jamii yetu ni ndoa zenye furaha na Aman, sijawahi kupenda divorce kabisaaa

Mwisho wa yote tukiwa na upendo wa kweli dunia itakua sehemu salama Sana. Haya yote yanatokea sababu ya kukosekana upendo, watu kujihesabia haki na kupenda kutendea wenzao ambavyo yeye mwenyewe hapend
 
Mwanamke haolewi sababu hawezi kuendesha maisha yake mwanamke anaolewa ili kutengeneza familia . Mwanaume akitumja pesa na mali kama kigezo cha upendo ngoja hizo pesa na mali ziyeyuke na mwanamke akitumia pesa mali au cheo kama kigezo cha kutaka kuheshimika hatapata upendo wa dhati atawapata akima
mario mwanamme halisi atataka umuheshimu
Na ukubwa wa kipato chako hata kama unachangia zaidi kama ulijijua una kipato kikubwa kwa nini hukutafuta akina dangote wakuuoe ukaenda kwa mwanaume pangu pakavu ina maana ulifiata penzi ulifiata kuolewa sio kuoa sasa tulia uongozwe . Elimu inahitajika sana kwa wanawake sasa hivi baada ya wanawake kupata mabadiliko
tunachoshuhudia wanawake wengi wanashindwa kukaa kwenye nafasi mpya ya ukombozi . Nafasi ya mwanamke aliyekomboka katika mfumo wa jamii uliobadirika uliompa nafasi mwanamke ambayo hapo awali mwanamke alikuwa hana . Na wanaume inabidi kubadilika katika kuwaongoza wanawake wanaume wanahitajika kuongeza hekima , busara uwezo wa hali ya juu kiungozi katika kakabiliana na kuwa vichwa viongozi wa familia katika mfumo wa sasa unaompa nafasi mwanamke kufanya biashara , kupata vyeo , kuwa na mali na pesa nyingi , kuelimilq zaidi . Wanawake wa sasa ni tofauti na mama zetu ambao wengi hawakuwa na yote hayo.
You said it all, kweli nafasi mpya kea wote zinakuja na changamoto Cha maana tuwe flexible Sana na tukiongezea na upendo maisha yatakua mazuri sanaa
 
Back
Top Bottom