Steelomega
Senior Member
- Aug 22, 2020
- 125
- 144
You said it all, kweli nafasi mpya kea wote zinakuja na changamoto Cha maana tuwe flexible Sana na tukiongezea na upendo maisha yatakua mazuri sanaa
Kweli kabisa Mkuu
You said it all, kweli nafasi mpya kea wote zinakuja na changamoto Cha maana tuwe flexible Sana na tukiongezea na upendo maisha yatakua mazuri sanaa
Huyo Mola wako kudai wanaume ni viongozi wa wanawake ndio kampa hadhi na heshima? wewe kweli umechanganyikiwa aswa huko ni kumfanya mwanamke dhariri mbele ya mwanaume, au kusema kwenye mirathi mwanaume kupata zaidi ya mwanamke yaani wewe unaita ni heshima wewe kweli umechanganyikiwa ahahahaha watoto wote ni sawa haki Sawa kwa wote kwenye mgawanyo, mnazoofisha wanawake halafu mnaita hadhi na heshima, pole sanaaHili nishakujibu katika uzi mwingine, nashangaa unarudia rudia kuuliza mambo uliyo jibiwa.
Unajuaje haki fulani dhidi ya mwingine ?
Ipi nafasi ya faida na hasara katika kusimamia au haki ?
Uwezo tu si sababu ya kumfanya mtu afanye jambo fulani endapo kufanyika jambo hili kutaleta hasara kubwa kuliko faida. Namaanisha nini ? Leo hii tunajua uwezo wa kuiba watu wanao, uwezo wa kuzini watu wanao lakini kwanini hatutakiwi tuibe au tuzini ? Sababu mambo haya yana hasara kubwa mno kuliko faida. Hali iko hivyo hivyo Wanawake wenye uwezo wapo,walikuwepo na wataendelea kuwepo bali hata katika Qur'aan wapo wanawake waliobeba dhamiri ya kiume, lakini uwezo wa huo waliutumia katika yale yakiyozidi kuwapa heshima zaidi na katu hawakushindana na wanaume katika majukumu.
Sasa usihoji kitoto na kutumia kivuli cha uwezo wakati hili suala dogo sana na linajulikana tangu zamani, huko tulishatoka miaka na mikaka, tuko katika kuangalia faida na hasara kwa mwanamke, mwanamke, kizazi na jamii kwa ujumla. Ndiyo maana huwa nakuweka katika kundi la watu sio yafikiria mambo kiundani.
Mwanamke alishapewa hadhi na heshima kubwa na Mola wake na hakuna mwanadamu atakaye weza kumpa hadhi na heshima mwanamke kuzidi ile aliyopewa na Mola wake zaidi ya kumshusha na kumfanya bidhaa kama tuonavyo leo hii.
Wewe umeanza kupagawa unampangia mtu matumizi yake, watoto wote ni sawa wapate haki Sawa, matumizi yao wewe hayakuhusu, mwanaume anapewa kingi anakwendaaa kula unga na kuvuta mibangi, au anakwendaaa kulala na machangudoa, Acha akili chafu kuwawazia wanawake matumizi mabovu ya mali zao, watu kama wewe ni mzigo kwenye jamiiiiMwanaume akichukua kingi anapeleka kwa mke wake na watoto sasa tuambieni ukweli mwanamke akipata kingi anapeleka wapi zaidi ya mnafanya kampeni mwanamke akiwa na kingi akimbie na watoto akajitawale mmeingiwa na ushetani mliorithi kutoka kwa bibi Hawa , wanaume halisi tunajua babu yetu Adam alidanyika kutoka kwa mkewe Hawa , akina Adam wa sasa hasa wa Africa hatufanganyiki , tunawaona vituko tu tutawasapoti na mambo ya msingi tu kama mpate elimu nzuri zaidi muwe vizuri kiuchumi na kimaadili ili mjenge familia hayo mnayoyaka umiliki na mjitawale , mtangongaminika
Mpaka Yesu anarudi hamtafanikiwa, Mheshimiwa Mama Samia kawapa za uso kwamba mumuogope Mungu endeleenj na shingo ngumu zenu na ibada zenu za kifreemasons na ki mamons kamwe hamtafanikiwa mtajifariji na vijisenti vyenu na mahawara zenu mbaya zaidi mnaharibu jamii hasa kwa watoto wenu kukosa malezi ya baba na mama watoto wenu wengi wanaishia kulelewa na step parent kwa ubinafsi wenu mnaona sawa HAIKUBALIKI , eti mke nae arithi ardhi ili iweje kama
Sio uninafsi kwa nini msiseme mume na mke warithi kwa pamoja na siku hizi serikali
Inaruhusu hati za ardhi kumilikiwa
Kwa pamoja
Mme na mke ?
Wewe umeanza kupagawa unampangia mtu matumizi yake, watoto wote ni sawa wapate haki Sawa, matumizi yao wewe hayakuhusu, mwanaume anapewa kingi anakwendaaa kula unga na kuvuta mibangi, au anakwendaaa kulala na machangudoa, Acha akili chafu kuwawazia wanawake matumizi mabovu ya mali zao, watu kama wewe ni mzigo kwenye jamiiii
Kama unafikiri kutoa mahari ni jambo kubwa ata INDIA wanaume hutolewa mahari na wanawake, nimekwambia usimpangie mtu matumizi yake wape watoto wote mgao Sawa kila mtu atajua mwenyewe namna ya kutumia, labda nikuulize watoto wangapi wa kike wanasaidia baba au mama zao kuliko hao watoto wa kiume? serikali iongeze nguvu kwa watu kama wewe mbadilikeNakubaliana na wewe mtoto wa kike na kiume wana haki sawa mbele za Mungu , hakuna mzazi mwenye hekima anagawa mali kwa mla unga bangi wala mdangaji na changuduo awe wa kiume au wa kike .watoto wa kike wanaojielewa wamepatiwa utithi mwingi tu na wamaundeleza vizuri wapo labda ujifanye una leta habari za 50/50 huku africa mvulana
Ndiye anaendeleza ukoo msichana anaenda kuolewa na kwenda kuendeleza ukoo alikoolewa ndio maana inatolewa mahari
Mpaka za kimila kuagwa , jiulize kwa nini mvulana hatolewi mahari . Kwa taarifa yako
mimi nina watoto wa kiume na kike wanangu wote wapo vizuri na wote nimeshawaandalia mgao wao wewe je ?
Kama unafikiri kutoa mahari ni jambo kubwa ata INDIA wanaume hutolewa mahari na wanawake, nimekwambia usimpangie mtu matumizi yake wape watoto wote mgao Sawa kila mtu atajua mwenyewe namna ya kutumia, labda nikuulize watoto wangapi wa kike wanasaidia baba au mama zao kuliko hao watoto wa kiume? serikali iongeze nguvu kwa watu kama wewe mbadilike
Kama unafikiri kutoa mahari ni jambo kubwa ata INDIA wanaume hutolewa mahari na wanawake, nimekwambia usimpangie mtu matumizi yake wape watoto wote mgao Sawa kila mtu atajua mwenyewe namna ya kutumia, labda nikuulize watoto wangapi wa kike wanasaidia baba au mama zao kuliko hao watoto wa kiume? serikali iongeze nguvu kwa watu kama wewe mbadilike
Siyo "Dhariri" sahihi ni "Dhalili".Huyo Mola wako kudai wanaume ni viongozi wa wanawake ndio kampa hadhi na heshima? wewe kweli umechanganyikiwa aswa huko ni kumfanya mwanamke dhariri mbele ya mwanaume, au kusema kwenye mirathi mwanaume kupata zaidi ya mwanamke yaani wewe unaita ni heshima wewe kweli umechanganyikiwa ahahahaha watoto wote ni sawa haki Sawa kwa wote kwenye mgawanyo, mnazoofisha wanawake halafu mnaita hadhi na heshima, pole sanaa
Huyo Mola wako kudai wanaume ni viongozi wa wanawake ndio kampa hadhi na heshima? wewe kweli umechanganyikiwa aswa huko ni kumfanya mwanamke dhariri mbele ya mwanaume, au kusema kwenye mirathi mwanaume kupata zaidi ya mwanamke yaani wewe unaita ni heshima wewe kweli umechanganyikiwa ahahahaha watoto wote ni sawa haki Sawa kwa wote kwenye mgawanyo, mnazoofisha wanawake halafu mnaita hadhi na heshima, pole sanaa
Sasa kama mnahoja inakuwaje mna ithibati.Amelewa dini huyo, hawezi kufanya hata tafakuri nyepesi za kimantiki.