johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,033
Mkuu umenifanya nicheke tu na kuisikitia nchi yangu.Yaani Kama Magufuri ndo genius wa Tanzania sioni ni kwa sababu gani hatuingizwi kwenye maajabu ya dunia,Magufuli huyu huyu anayetekekeza budget zake kwa below average ndo afanye nini eti? Labda Kama tunafika huko kwa propogandaSimuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli.
Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi mkuu ujao.
Nitaanza mazungumzo na rafiki zangu Freeman Mbowe, Zitto Kabwe na Hashimu Rungwe......ninaamini watakuwa wazalendo na kuwashawishi wafuasi wao.
Maendeleo hayana vyama
cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Pascal Mayalla, Daudi Mchambuzi!
Mkuu umenifanya nicheke tu na kuisikitia nchi yangu.Yaani Kama Magufuri ndo genius wa Tanzania sioni ni kwa sababu gani hatuingizwi kwenye maajabu ya dunia,Magufuli huyu huyu anayetekekeza budget zake kwa below average ndo afanye nini eti? Labda Kama tunafika huko kwa propoganda
Napenda thinking yako brother.Naona kila mkikumbuka kilichomkuta JK vs Slaa uchaguzi wa 2010, kila mwanaccm akimuangalia Magufuli anajua lazima afungishe. Inafahamika akisimamishwa mpinzani atakayeweka data za ukweli, nje ya hizi wananchi wanazolishwa, Magufuli hana uwezo wa kupangua hoja. Mambo ya ajira yakiwekwa wazi na mishahara lazima mzee apanick. Ikizingumziwa Demokrasia na kundi la watu wasiojulikana, udhaifu wote wa mzee utakuwa wazi, na huenda hali hiyo ikamuacha na msongo wa mawazo ndani ya maisha yake yote hapa duniani. Hivyo wanaccm wanaomba usiku na mchana jamaa asifanye mtihani, maana wanajua fedheha itakayowakuta.
Nilikuambia huyo jamaa hawezi siasa za ushindani, ndio maana kila mwanaccm anajitahidi kutaka asiingie kwenye ushindani maana atachemsha. Ni hivi lazima ashindane. Huyo toka akiwa mbunge alikuwa anapita kwa fugisu. Yeye atumie tu madaraka yake kunajisi uchaguzi kama kawaida yake.
Maelezo yako yote hujataja chama chako hata Mara moja...Mfichieni madhaifu lkn kumbukeni ataondoka na aibu juu.Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli.
Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi mkuu ujao.
Nitaanza mazungumzo na rafiki zangu Freeman Mbowe, Zitto Kabwe na Hashimu Rungwe......ninaamini watakuwa wazalendo na kuwashawishi wafuasi wao.
Maendeleo hayana vyama
cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Pascal Mayalla, Daudi Mchambuzi!
Lijuakali ana maelezo tofauti ya nani anafanya figisu kwenye uchaguzi
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππLijuakali ana maelezo tofauti ya nani anafanya figisu kwenye uchaguzi
Acha Lijualikali, hata akisimama Mbowe na Mnyika sasa hivi waseme kuwa cdm huwa wanashinda kwa wizi, na ccm huwa inashinda kihalali, bado ukweli utabaki kama ulivyo. Ukweli kama ukweli hauhitaji nguvu kubwa kuutetea, maana ukweli unajisimamia.
Sawa ila fananisha kati ya ushahidi ulioelezwa na mwizi mwenyewe s ushahidi wa hisia.
Sasa kama huoni unataka tukuvalishe miwani? Hayo si ni matatizo yako mwenyewe?Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli.
Yaani mtu aseme ukweli kuwa yuko bungeni kwa wizi wa kura, na wala bunge lisichukue hatua kwa kuwa na mbunge aliye ndani ya bunge kwa wizi! Hapo inahitaji elimu ya chuo kikuu kweli kujua ni siasa maji taka ndani ya bunge kigoyo? Ni sawa na mke wako kusema huyo mtoto unayemlea sio wakwako, na ww unakenua eti mke wako katoa ukweli na sio hisia, bila kufanyia kazi kauli yake!
Sawa ila fananisha kati ya ushahidi ulioelezwa na mwizi mwenyewe s ushahidi wa hisia.
[/QUOTE
Lijualikali aliweka kila kitu hadharani