johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,754
- 139,562
Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli.
Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi mkuu ujao.
Nitaanza mazungumzo na rafiki zangu Freeman Mbowe, Zitto Kabwe na Hashimu Rungwe......ninaamini watakuwa wazalendo na kuwashawishi wafuasi wao.
Maendeleo hayana vyama
cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto, Pascal Mayalla, Daudi Mchambuzi!