adsense master
Senior Member
- Mar 12, 2019
- 107
- 171
hyo march to april
Nilitaka kuagiza ila naona kuna mtu kanipiga bao na 100+ GB hapo chini.We ndio mtu unaeongoza hadi sasa kwa matumiz ya data kwenye huu uzi..agiza pepsi kwa mangi nitalipa
Hatari sana mkuu...Nilitaka kuagiza ila naona kuna mtu kanipiga bao na 100+ GB hapo chini.
Aisee mkuu unajihusisha na mambo ya mtandaon sana inaonekana ( Uploading n downloading)hyo march to aprilView attachment 1494275
Aisee mkuu unajihusisha na mambo ya mtandaon sana inaonekana ( Uploading n downloading)
Mzee hiyo flud ni app gani? (kazi yake)