Ni GB za ngapi za Internet ushatumia kwa mwezi uliopita(June)? Share hapa

Aisee ina maana kwa siku unaweza tumia mb 200 hadi 300 tu..?
Ndiyo,,siangaliii video,streaming,halotel wanajitahidi kweli kifurushi cha gb 1 nikimalize ndani ya siku tatu,,nami wakinifanyia hivyo nawaweka lokapu mwezi,,,matokeo yake wameanza kunielewa,gb 1 natumia siku 5,,na nipo online muda mwingi tu
 
Kweli aisee ziko chin sana au we sio mpenz wa movies na streaming services?
Mfano mimi sioni logic ya kulipa netflix dola 10,,then tena nilazimike kutumia gb 50 kwa mwezi kwa kuangalia,,huo ufujaji wa hela,,hizo pesa kwa mwaka zinatosha kununua kiwanja cha kujenga dubai
 
Hayo hapo
Screenshot_20200701-120341_Settings.jpg
 
Tigo ndo kiboko bando linaenda kama vile umeunganisha kijiji

Back
Top Bottom