Akili ni kile kinachobakia baada ya kutoa vyote ambavyo umejifunza darasani, na hiki ndio huwa kinakuwa kipimo cha uwezo wa kufikiri.
Haishangazi sana kukuta mtu wa darasa la saba na prof likatokea jambo wote wakawaza sawa na kutoa suluhu moja maana yake akili ziko sawa ingawa mmoja ni prof anajua mambo mengiz
Africa tuna mali nyingi sana ila watu wenye akili ni wachache sana , Mabeberu na Mabara mengine wana akili ila hawana mali.
Mabeberu huja Africa kutafuta mali, sababu Africa watu wengi hawana akili ni rahisi tu kwa akili zao kuchukia Mali.
Tunachofanywa Africa sina uhakika tanzania ni watu wenye akili wanatumia udhaifu wetu huo kupata mali na kuendeleza nchi zao .
Leo tar 10/6/2023 hii tumeachia wageni bandari. Je katika sababu zilizotolewa kuna sababu yoyote ambayo watanzania tungeshindwa kuitatua mpaka tuite watu?
Jibu hapana ila wenye akili wanaendelea kututawala.
Je, Watanzania kweli hatuna akili na uwezo wa kuendesha miradi yetu au CCM wanatufanya wote tuonekane hatuna akili? Maana tuna maliasili nyingi lakini toka uhuru bado changamoto ni zile zile.