https://t.co/RwsXOp4EUQ
Majaliwa tangu atudanganye jiwe linatusalimu na ni lizima la afya kumbe limefia pale mzena BASI KUMUAMINI HAIWEZEKANI. Ccm imeuza nchi na kweli jiwe tunalikumbuka japo sasa ni fuvu pale chato. Ila jiwe liliua watu sana japo tunalikumbuka.

Nakubali kabisa Ngorongoro kwishnei, Wamasai wanohojiwa sio wamasai wa Loliondo, wale hawajui kiswahili lakini hao tunaowaona kwenye TV wana kiswahili safi kabisa, hawana lokaria waliojipaka, nywele za salon, hawana hereni wala shanga na hawana rasta hata moja yaani hawana urembo wowote wa Kimasai na masikio hawaja toboa. Mbona Malaigwanani hawaonekani wakihojiwa kwenye TV? Hembu serikali iitishe kikao na Wamasai na Malaigwanani wa pale Ngorongoro na irushwe Laivu kwenye luninga tuone ukweli uko wapi. Swali la kujiuliza kule Msomero, Handeni shule zilijengwa lini? Nyumba zilijengwa lini? umeme umepelekwa lini mana sehemu kubwa ya Handeni hawana umeme na nani aliyetoa pesa zote hizo mana hatujawahi sikia serikali au TANAPA ikisema tunatenga bajeti ya kutayarisha uhamisho wa Wamasai kwenda Msomero. MUNGU ibariki Tanzania kama sio Tanganyika, punde tutaona Mkataba wa kubinafsisha Ngorongoro. Kisingizio cha Wakenya kuchochea mgogoro haina mantiki kwani kazi ya jeshi si kulinda mipaka? Kama Wakenya wanaweza kuingia Tanzania bila kuzuiwa basi ni kuwa hatuna walinzi wa mipaka yetu.Deal done..!
Mark my words!
Hizi za sasa ni purukushani za muda tu na kelele za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji..!
Ngorongoro is no longer ours..and maybe be it will never be ours again ..! Nani anakumbuka ya Loliondo? Pamoja na kelele zote zile haikuwahi kurudi kwetu...!
Siku ile pm alipoenda Arusha na ile list ndefu ya Wamasai waliokubali kuhamia ugenini huko Handeni Tanga... Ndio ilikuwa hitimisho la kuiaga Ngorongoro..
Ule mkutano
Zile picha
Yale majina
Zile video
Vyote vimechukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kwamba kila kitu kilifanyika kwa kuzingatia haki za binadamu, matakwa ya kisheria nknk..
Hawa waliopelekewa moto leo wanahesabika kama wavamizi na ndio maana jeshi la polisi lilienda kule.. Na trust me kile kilichifanyika asubuhi ya leo ni salam tuu.. Ile ni kifungua kinywa tuu.. Full menu ya bufee itawaendea usiku kukiwa kuna kiza kinene. Hapo ndio shetani atasimamia ukucha...
Kesho yaweza kuwa siku ya kuokota mizoga, majeruhi vituo vya afya, watuhumiwa kwenye selo za polisi, na matukio ya watu kupotea huko Ngorongoro national park.
Kwa wiki chache zijazo safisha safisha itaendelea kuondoa masalia yote ya kitu kinachoitwa Wamasai wa Ngorongoro wavamizi.. Tutawekwa busy na unit za umeme kupaa, kesi za sabaya na drama zingine zote..!
Itakapofika 30/6 ndio itakuwa mwisho wa kuiona Ngorongoro uliyozoea kuiona japo kwa picha tangu ukiwa mdogo.. Kama una picha zake ama ulibahatika kufika kule na kupata kumbukumbu kadhaa..ZIHIFADHI VEMA..Hiyo bahati haipo tena!
Hakuna picha zake zitapatikana tena huko kwa uhuru na kujiachia, hakuna selfies tena za mbuga yetu ile urithi wetu...picha zitapigwa na watu maalum..! Na kwa sababu maalum...!
Na wazawa watakaoruhusiwa kuingia kule ama ni mamluki ama ni wafanyakazi wasio huru,.. Itakuwa ni kama watumwa katika nchi yao wenyewe!
Tusitaharuki zaidi, tusilie, bali tuanue tanga.. Msiba ulishaisha kwasasa tusubiri kusomwa historia ya marehemu..Tukipata wasaa tutawasimulia wana wetu picnic, na study tour za kishule wakati pale pakiwa kwetu..
![]()
Nakubali kabisa Ngorongoro kwishnei, Wamasai wanohojiwa sio wamasai wa Loliondo, wale hawajui kiswahili lakini hao tunaowaona kwenye TV wana kiswahili safi kabisa, hawana lokaria waliojipaka, nywele za salon, hawana hereni wala shanga na hawana rasta hata moja yaani hawana urembo wowote wa Kimasai na masikio hawaja toboa. Mbona Malaigwanani hawaonekani wakihojiwa kwenye TV? Hembu serikali iitishe kikao na Wamasai na Malaigwanani wa pale Ngorongoro na irushwe Laivu kwenye luninga tuone ukweli uko wapi. Swali la kujiuliza kule Msomero, Handeni shule zilijengwa lini? Nyumba zilijengwa lini? umeme umepelekwa lini mana sehemu kubwa ya Handeni hawana umeme na nani aliyetoa pesa zote hizo mana hatujawahi sikia serikali au TANAPA ikisema tunatenga bajeti ya kutayarisha uhamisho wa Wamasai kwenda Msomero. MUNGU ibariki Tanzania kama sio Tanganyika, punde tutaona Mkataba wa kubinafsisha Ngorongoro. Kisingizio cha Wakenya kuchochea mgogoro haina mantiki kwani kazi ya jeshi si kulinda mipaka? Kama Wakenya wanaweza kuingia Tanzania bila kuzuiwa basi ni kuwa hatuna walinzi wa mipaka yetu.

Ipo siku utatolewa hapo sebuleni unapolala sababu shemeji ako atakuwa na jambo na dada yako kwa maendeleo ya ukooHakuna picha kidogo kiichotokana na Risasi hapo hata kimoja, Inaonesha ni sime, na ni wao kwa wao. Hizi chuki za kijinga hazisaidii. Serikali iendelee kuhifadhi hiyo mbuga, na naunga mkono KICHAPO KWA HAO WALUGALUGA.
Hakuna mtu mwenye hatimiliki ya ardhi, serikali inataka kufanya jambo kwa manufaa ya umma na tuiache.
Tulilalamika sana wakati nyumba zinabomolewa kule Mbezi enzi za Magu lkn leo tunafurahia barabara nzuri na zenye uhakika.
Well done Serikali, ikiwezekana kichapo kiendane na kubomoa vibanda vyao.