Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

"TANZANIA INALINDA MAENEO YA KITALII YANAYOZIDI KUELEMEWA NA IDADI KUBWA YA WANANCHI NA KUKALIWA HIVYO KUTISHIA EXISTENCE YA HIFADHI ZETU"
Wakati mwingine kutumia nguvu kidogo ni muhimu serekali imewapenda mpaka inawajengea nyumba na handeni inamandhari nzuri sana hasa kwa mifugo yao serikali imeapenda sana lakini wamekuwa wakaidi huku chadomo wakijipatia #kiki katika suala hili.
#MASAI_MUST_MOVEOUT_PEACEFUL
#Mshana_jr Tujuze zaidi kwa mnunuaji umjuaye.....
Mnapata hela kirahisi nyie Hapa tayari una elfu 7 yako mkuu
 
Kama wamasai kuondoka hapo ni kwa maslahi ya nchi Basi watoke tu,sisi wasukuma tuliondolewa bhulyanhulu na baadhi tukauawa..Masai siyo special
Bulyankulu sio Ngorongoro lakini haya ni maeneo mawili tofauti kabisa kitabia na kijiografia
 
Kama wamasai kuondoka hapo ni kwa maslahi ya nchi Basi watoke tu,sisi wasukuma tuliondolewa bhulyanhulu na baadhi tukauawa..Masai siyo special
Bulyankulu sio Ngorongoro lakini haya ni maeneo mawili tofauti kabisa kitabia na kijiografia
 
Bulyankulu sio Ngorongoro lakini haya ni maeneo mawili tofauti kabisa kitabia na kijiografia
Haijalishi..watu wamebomolewa majumba ubungo-kimara kupisha barabara,Masai watoke..wao siyo watanzania maalum
 
Wamasai siyo wanyama wakae mbugani...point yangu ni kwamba panapo maslahi ya nchi raia watahama tu Kama inabidi hivyo
Mbugani hawaishi wanyama tu bali kuna viumbe hai wa aina nyingi wakiwemo wakazi asilia ambao ni Wamasai. Pale hakuna maslahi ya taifa bali kuna maslahi ya walafi wachache wasio na chembe ya uzalendo wala uchungu na hii nchi
 
Mbugani hawaishi wanyama tu bali kuna viumbe hai wa aina nyingi wakiwemo wakazi asilia ambao ni Wamasai. Pale hakuna maslahi ya taifa bali kuna maslahi ya walafi wachache wasio na chembe ya uzalendo wala uchungu na hii nchi
Hizo dhana tu..hakuna uhakika wowote
 
Maana ya neno dhana naijua vizuri,ni neno la kiswahili lililokopwa toka kiarabu...ni mzizi wa neno 'nadhani'
Hapana dhana sio nadhani.. Dhana ni jambo, dhana yaweza kuwa dhanifu (ya kufikirika) ama dhana yaweza kuwa (dhahiri) ya hakika
 
Soma sentence hii.. .. Dhana hiyo imedhirisha uwezo wa wanasiasa wetu kwenye kupanga vipaumbele vya taifa, ..
Sentensi ya Nani!!!?..unachong'ang'ana ni kuondoka maana ya Shana,huenda umetfsiri 'concept' kwenda dhana
 
Deal done..!
Mark my words!
Hizi za sasa ni purukushani za muda tu na kelele za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji..!
Ngorongoro is no longer ours..and maybe be it will never be ours again ..! Nani anakumbuka ya Loliondo? Pamoja na kelele zote zile haikuwahi kurudi kwetu...!

Siku ile pm alipoenda Arusha na ile list ndefu ya Wamasai waliokubali kuhamia ugenini huko Handeni Tanga... Ndio ilikuwa hitimisho la kuiaga Ngorongoro..

Ule mkutano
Zile picha
Yale majina
Zile video
Vyote vimechukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kwamba kila kitu kilifanyika kwa kuzingatia haki za binadamu, matakwa ya kisheria nknk..

Hawa waliopelekewa moto leo wanahesabika kama wavamizi na ndio maana jeshi la polisi lilienda kule.. Na trust me kile kilichifanyika asubuhi ya leo ni salam tuu.. Ile ni kifungua kinywa tuu.. Full menu ya bufee itawaendea usiku kukiwa kuna kiza kinene. Hapo ndio shetani atasimamia ukucha...

Kesho yaweza kuwa siku ya kuokota mizoga, majeruhi vituo vya afya, watuhumiwa kwenye selo za polisi, na matukio ya watu kupotea huko Ngorongoro national park.

Kwa wiki chache zijazo safisha safisha itaendelea kuondoa masalia yote ya kitu kinachoitwa Wamasai wa Ngorongoro wavamizi.. Tutawekwa busy na unit za umeme kupaa, kesi za sabaya na drama zingine zote..!

Itakapofika 30/6 ndio itakuwa mwisho wa kuiona Ngorongoro uliyozoea kuiona japo kwa picha tangu ukiwa mdogo.. Kama una picha zake ama ulibahatika kufika kule na kupata kumbukumbu kadhaa..ZIHIFADHI VEMA..Hiyo bahati haipo tena!

Hakuna picha zake zitapatikana tena huko kwa uhuru na kujiachia, hakuna selfies tena za mbuga yetu ile urithi wetu...picha zitapigwa na watu maalum..! Na kwa sababu maalum...!

Na wazawa watakaoruhusiwa kuingia kule ama ni mamluki ama ni wafanyakazi wasio huru,.. Itakuwa ni kama watumwa katika nchi yao wenyewe!

Tusitaharuki zaidi, tusilie, bali tuanue tanga.. Msiba ulishaisha kwasasa tusubiri kusomwa historia ya marehemu.. Tukipata wasaa tutawasimulia wana wetu picnic, na study tour za kishule wakati pale pakiwa kwetu..
Bado Kuna vitu lazima tumkubali jpm na tumkatae muoman wetu sana.
 
Sasa dhana ya kiswahili haimaanishi concept,tafute tafsiri

Dhana ya kiswahili Haina maana ya concept,tafuta tafsiri nyingine ya concept..kiswahili kichanga
Concept yaweza kuwa wazo (idea) ama dhana kutegemea unaitumiaje
 
Majaliwa tangu atudanganye jiwe linatusalimu na ni lizima la afya kumbe limefia pale mzena BASI KUMUAMINI HAIWEZEKANI. Ccm imeuza nchi na kweli jiwe tunalikumbuka japo sasa ni fuvu pale chato. Ila jiwe liliua watu sana japo tunalikumbuka.
Mbona hata VP wa wakati huo alisema hayahaya, mbona yeye anaaminika na anaupiga mwingi?
 
Marathon
Screenshot_20220708-123714.jpg
 
Back
Top Bottom