Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

sidhana kama kama kuna haja ya mtu kusumbua kichwa chake kufikiria alichosema ngawaiya,
huyu ni mmoja wa wale watu wanaoshughulikia matumbo yao tu.
 
Re: Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

quote_icon.png
Originally Posted by Kiranja

ni kuwa tangu majira ya saa moja jion leo polisi walipeleka barua kwa katibu wa cdm na kuwaeleza kuwa kutokana na sababu za kiintelijensia hawaruhusu marehemu kuagwa kesho uwanja wa saba saba kama walivyokubaliana jana.
ZIkawepo taarifa zilizovujishwa na polisi wadogo kuwa wanalazimishwa kwenda kuchukua maiti usiku huu mochwari ila hawajaambiwa wanazipeleka wapi ,ndipo wananchi na wakina lissu wakaamua kwenda kushirikiana kulinda marehemu wao.
Polisi kuona ivo wakakata umeme tangu saa moja usiku na ilipofika saa nne wakaenda kuwavamia na wamewapiga sana mabomu ili kuwatawanya na kuwakamata hata wazazi wa marehemu,na kuchukua miili .sasa ilipopelekwa hapajulikani mpaka sasa.
JAna Marando na CHAGONJA walikubaliana kuwa marehemu wataagwa kwa heshima za mwisho kutolewa uwanjani. sasa sijui hali itakuwaje.
na sasa watu wanapiga yowe ambalo ni ishara kuwa kila mwenye silaha atoke maana kuna jambo la hatari.
ntawajuza zaidi baadae.




Nina wasiwasi uwenda watawala wa hii nji wametekwa....na " nguvu kutoka nje",katika akili ya kawaida kwa utashi huru huwezi kufanya jambo hili(kulazimisha dola kutekeleza maagizo haya).Na hii "nguvu ya nje" imeona wananchi wa tanzania hawadanganyiki kirahisi kusaliti uhuru wao kama tunavyoona nchi za kiarabu, na sasa nadhani " nguvu hii kutoka nje" inataka kutumia kanuni kama inayoitumia YEMEN.
source:(post no.131)https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-huu;-kina-lissu-wakamatwa-7.html#post2009049

Nguvu kutoka nje ilimpa hela alipokuwa TLP atuvuruge wananchi tukakataa....Nashawishika kuamini nguvu hiyo ilimpeleka CCM...na nahisi nguvu hiyo imefanikiwa azma yake yakumtumia Ngawaiya kuwachanganya watanzania ......
 
Amekaririwa na ITV kwenye taarifa ya saa tano na robo usiku huu

Jina lake kamili ni Thomas Ngawaiya, aliwahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kwa tiketi ya TLP, baada ya kukorofishana na Mrema akajisalimisha ccm

Ameongea kwa kutumia wadhifa wake wa Mkiti wa wazazi wa ccm mkoa wa Kilimanjaro

Amesema yeye na MREMA waliwahi kupewa pesa na serikali ya marekani ili wachochee vurugu tz watu wauane ili nchi ionekane ni ya machafuko kama kenya. Amesema alikuja pesa na kuanzisha maandamano sana Dar

Amesema baadaye Mrema alimwambia kwamba hizi pesa wanazopewa kuanzisha vurugu kwenye nchi Yao wakati wamarekani wamekaa kwao kwa amani hazifai. Wakawakatalia wamarekani halafu mrija wa pesa ukakatwa.

Amesema ni staili hiyo wamarekani wametumia kuleta uasi huko afrika kaskazini. Kwamba Hapa tz wamewapatia Chadema hizo pesa ili wachochee uasi Kama ule wa afrika kaskazini. Kwamba ndo maana Chadema "wanachochea vurugu" kwa sababu wameshalipwa pesa.

Alikuwa anaongea kwa kujiamini huku akieonekana kama yuko kwenye group activity fulani, sikuina vizuri, labda walikuwa wanapanda miti.

Wanaotaka ushahidi mbona upo wazi kabisa , mwandishi wa habari mmarekani amekamatwa tarime na amekiri kuwa aliitwa na ametumwa na cdm
 
Wana JF, huyu ngawaiya kwisha kazi yake... amefilisika, baada ya kukosa kugombea ubungo Moshi mjini sasa anatakakujitengenezea njia kwa garama yoyote hata kama ni kuwadanganya wananchi... ila tunasema siku hizi porojo haziingii masikioni mwa umma teeennaaa!!!
Huko marekani si ndio JK anaenda kila kukicha? iweje leo wamfanyie fujo tena? ngawaiya kachoka hata hela ya kula hana tena... utakoma, rudi tena TLP mzee.
 
hii ni kweli. Kati ya chama chenye dalili ya kuiasi serilikali ni chadema. Na uasi huo wamepanga kuanzia arusha, ki
limanjaro na mwanza. Hela zote zipo kwa ndesamburo. Njia za kuasi serikali ni kushawishi vijana na wanavyuo kama ilivyo libya.
acha kuwa muoga kwenye nchi ya ko wewe, cha msingi fight ili nchi yako itoke mikononi mwa mafisadi..........YOU ARE TOO COWARD
 
Kwa nini Jakaya Kikwete amesitisha safari za kwenda kustarehe kwenye mahoteli ya kitalii Marekani? Uchakachuaji ndio unaomtia soni kutia mguu marekani alikokuwa anajifunia kuwa kiongozi wa kwanza mwafrika kutia mguu white house baada ya Obama kuchukua nchi? Wengine heshima ile aliyopata kikwete ingekuwa kichocheo tele cha kulinda heshima yake, kinyume chake ndio ameingia katika chati ya viongozi wababe na wabakaji wa demokrasi.

Leo vibaraka wake wanakuja na hilo la kwamba wamarekani wanaifadhili Chadema wakati mwanzoni mwa mwaka mlisema mataifa wahisani wa ulaya ndio wanaofadhili Chadema, mbona hamna msimamo? Mkindelea kuchafua wahisani watawakatia misaada hapo ulaji wetu utakapokoseakana mtaanza shikana mashati ciciem kwa ciciem zaidi ya mnavyofanya sasa.

Sofia Simba yuko Marekani sasa mwambieni awaambie hayo wamarekani na arudi na majibu kwa serikali ya CCM.
 
Wanaotaka ushahidi mbona upo wazi kabisa , mwandishi wa habari mmarekani amekamatwa tarime na amekiri kuwa aliitwa na ametumwa na cdm

we kenge upo wapi sisi tulio huku hatujasikia akikiri kuitwa na chama ningeweka mahojiano kama si maadili ya kazi hajakiri kutumwa sawa usiongee kishoga alafu mnatafuta umaruufu kwa kumchafua obama shauri lenu wakati ****** alienda kupiga cat walk pale whitehouse obama alipoapishwa mnatafuta sifa mmeharibu shoo ya mkuu wenu
 
Hiki kwa ukweli ni kichekesho cha karne. Ngawaiya atuambie haya:-
1. Mwaka 2011 dolla moja ilikuwa Tshs 950. Je, kuanguka kwa shilingi kumefadhiliwa na Marekani?
2. Bei ya mafuta na bidhaa nyingine muhimu hazikamatiki. Je, hali hii imeletwa na Marekani?
3. Umeme umekuwa ni kansa tangu 2006. je, Wamarekani ndiyo wamefadhili kukosekana kwa umeme?
4. Matokeo ya form four sote twayajua, Je wamarekani waliwatungia huo mtihani?
5. Makusanyo ya kodi wamedorora Je, wamarekani wametuzuiya kukusanya kodi?
6. Misamaha ya kodi ni Tsh 700Billion katika 2009/2010 misaada tulopata ni 1000 bilion hiyo nayo USA?
7. Serikali imekuwa kupeana daraka kwa kujuana na siyo uwezo wa mtu, Je hiyo nayo ni USA?
8. Watu hasa kanda ya ziwa wamesusa kulima mazao ya biashara kisa hakuna masoko je, hiyo nayo USA?
9. Polisi wanaua raia wasio na hatia halafu wanawaita majambazi [kesi ya zombe, tarime, bulyankuru, etc] je, hiyo nayo Marekani?
10. Wizi wa masiasili [wanyamapori pale KIA, magogo bandarini, UAE kule Roliondo, etc] hiyo nayo Marekani
11.
.
.
.
Its an endless list of fraud and corruption which has nothing to do with USA.
Kama USA imewapa dolla 700million na mkaacha kukusanya kodi hamuoni kuwa ninyi ndio mmepewa fedha ili muuwe uchumi wa nchi? kwa maana kwamba mtakapoacha kukusanya kodi watu watakuwa wavivu. Mwishoni watakapokata hiyo misaada tutaanza kupigina ili kukanga njaa!!
 
alikuwa wap huyo ngawaiya?hii ajabu no.1 ya 2011,njia ina hatar wewe kimya vifo vimetokea unaleta utoto!hebu wapimwe akil viongoz wote wa magamba tokana na kaul tata
 
Hivi chama cha magamba hakijafuta kitengo chake cha propaganda?
Maana propaganda zao ndizo zinazowafanya waandamizi wake kupopolewa mawe kila mara.
Huyu mamluki Ngawaiya atakuwa ametumwa na kina Nape na itakuwa ni mpango mahsusi waliopanga maana hata gezeti la habari leo lina picha ya Sabado akiwakabidhi makamanda wa kweli mchango wake kwa chama.
Sasa shiki chama cha magamba kwa kuwa kimewekeza kwenye ujinga, lengo lake ni kutaka kuwaaminisha vilaza wao kuwa huyu Sabado ndie mmarekani anaewapa chadema pesa.
Hatudanganyiki ng'oo!
Wala hatutakaa tupate maendeleo tunayoyahitaji kupitia propaganda mfu za karne ya 17 wanazoeneza ccm.
.
 
Uyu Jamaa anamatatizo sana kama kweli ameropoka kweye TV na akuna proof ajue amepote kabisa kwani izo zitakua siasa za uchochezi na zimevuka mipaka.
 
Haya ndio matokeo ya ccm kuwa na watu wenye mawazo mafupi. Sasa wajiandae kutoa ushahidi marekani watakapo uhitaji.
 
Kwani kama kuna institutions zozote au mtu binafsi mtanzania au foreigner anataka kutoa funds kwa Chadema ni kosa gani tena? ccm na kikwete msitusumbue na kuwadanganya watanzania. Anawapa pesa ccm ni nani? Si mnawaibia watanzania na kutumia tax payer money kwenda trips oversea, kujenga majumba, kununua magari ya kifahari ya serikali, trips za kwenda mikoani na ndege za kukodi...ALIEWAPA HII RUHUSA NI NANI?

ccm na jk donors na foreign institutions wanatoa funds za mikopo na wanategemea Tanzania na watanzania wanufaike na waache kurudi tena mwaka na mwaka. Hizi nchi nazo zina maskini na wanahitaji huduma, US kutoa mikopo Tanzania inafanya baadhi ya Wamarekani kukosa huduma fulani. Uzembe na elimu zenu za magamba zimejaa ujinga na kutaka kutawala Tanzania kwa mabavu. KWA TAARIFA YENU WANANCHI NA FOREIGN INSTITUTIONS NA PIA DONORS WAMEAMUA KUSAIDIA CHADEMA FOR ITS LEADERSHIP.

Unaona hawa Wamerekani maskini? Unafikiri hii mikopo hapa Tanzania unafikiri Balozi wa Marekani yeye ni mzembe kama jk? Balozi wa Marekani Dar anawakilisha nchi yake na pia anaripoti vyote na ufisadi wa kikwete IMF na WB, ni kosa kumwona jk incompetent na mwizi wa kura? Kaeni muumize kichwa cdm will never back down to usanii.

hurricane-katrina-victims-03.jpg


native-american-poverty.jpg


6a00d83451c73369e20120a60179cc970b-320wi


Screen-shot-2010-09-23-at-11.58.08-AM.png


Kikwete na ccm tuelezeni mnataka politicians na hasa Obama awaeleze nini wananchi wake wakati nyie mnapata misaada kwa migongo ya maskini wa marekani na tanzania? Kama kweli sio hamjachanganyikiwa bado? Kwani hamwoni Wamarekani na other foreigners wanawapa cdm funds kwa sababu nyie mkuwa wala rushwa kupindukia, Watanzania tunaunga mkono 100% hizi institutions
 
Alimuruhusu kikwete kununua hii gari ni nani? Watanzania walijadili hili swala wapi na kupigia kura? kama sio utawala wa mabavu nini?

Gongo-la-Mboto8.jpg


Nani aliamua kujenga na kutumia pesa za wingi kujenga hili banda?

Ikulu(1).jpg


Those trucks za kikwete singesaidia vitanda, magodolo, majengo, dawa na hata air condition kwa wazazi wanaojifungua mahospitali.

Upungufu+wa+vitanda+vya+kulala+hospitali+ya+Mwananyamala+7+Oktoba+2008.JPG


Next ccm mkitaka kurusha propagandas mkae chini na kujadili ipi itafanya kazi, just ushahuri kama mnasikia lolote lile
 
NGAWAIYA na CCM mmeishiwa ile mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaya, bidhaa yenu ya ufisadi mliyoiweka sokoni sasa haiuziki mkubwa. Mnabwabwaja tuuuuuuuuuu
 
Kama kweli maneno haya Ngawaiya kayasema inabidi huyu mtu akamatwe haraka sana na kutueleza jinsi gani yeye aliweza kupokea fedha za Marekani ili kuanzisha vurugu nchini. Maneno yake tayari yanamweka ktk nafasi mbaya sana yeye mwenyewe kuwa kati ya watu waliotaka kuipindua au kuleta machafuko nchini..

Na atakapokuwa mahakamani akijibu mashtaka dhidi yake na huyo Mrema ndipo watatueleza vizuri hili la Chadema!
 
Jamani kama kuna mtu anayo clip Ngaihwa akiongea na ITV sku hiyo naomba aibandike hapa, NAIHITAJI KWA KAZI MAALUM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom