Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

Amekaririwa na ITV kwenye taarifa ya saa tano na robo usiku huu

Jina lake kamili ni Thomas Ngawaiya, aliwahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kwa tiketi ya TLP, baada ya kukorofishana na Mrema akajisalimisha ccm

Ameongea kwa kutumia wadhifa wake wa Mkiti wa wazazi wa ccm mkoa wa Kilimanjaro

Amesema yeye na MREMA waliwahi kupewa pesa na serikali ya marekani ili wachochee vurugu tz watu wauane ili nchi ionekane ni ya machafuko kama kenya. Amesema alikuja pesa na kuanzisha maandamano sana Dar

Amesema baadaye Mrema alimwambia kwamba hizi pesa wanazopewa kuanzisha vurugu kwenye nchi Yao wakati wamarekani wamekaa kwao kwa amani hazifai. Wakawakatalia wamarekani halafu mrija wa pesa ukakatwa.

Amesema ni staili hiyo wamarekani wametumia kuleta uasi huko afrika kaskazini. Kwamba Hapa tz wamewapatia Chadema hizo pesa ili wachochee uasi Kama ule wa afrika kaskazini. Kwamba ndo maana Chadema "wanachochea vurugu" kwa sababu wameshalipwa pesa.

Alikuwa anaongea kwa kujiamini huku akieonekana kama yuko kwenye group activity fulani, sikuina vizuri, labda walikuwa wanapanda miti.

Hii taarifa Ngawaiya anayotoa sio mpya,he is comfirming what we already know.Wamarekani wakiwa kama vinara wa New Order establishment wanafanya hivyo katika harakati zao za ku-establish the New World Order(NWO).Wapo watu wa aina ya akina Ngawaiya ambao ni mawakala wa NWO katika Wizara zote ili kuharibu mifumo sahihi ya kiutendaji.And yes, they are being paid by the NWO establishment.Kupitia kwao elimu imeharibika kabisa,kilimo usiseme,afya basi tena watu wanakufa kama kuku.Yes hii ipo kwenye world depopulation agenda.Wanasema watu lazima wapunguzwe kwa kuwa resources of the world are limited(Global 2000 sustainable development notion) The list is long.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom