Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

Ngawaia apaswaakamatwe na vyombo vya usalama ahojiwe iliathibishe. Hii nituhumanzito kwa usalama taiga letu changa. Tunaenda wapi?




*
 
Mgawaiya Hana lolote ni lazima aongee hivyo kuwaridhisha mabwana zake.
 
acheni mjadala huu wasije wakamtimua rais wetu kama gaddafi wajumbe
 
wenye akili kama zake wanazidi kujazana kwenye hicho chama,huku CDM wapo watu makini,huwezi sikia kiongozi wao akiropoka hovyo hovyo kiasi hicho yeye alishapotea,yupo kwa mafisadi,kilichompeleka ni tamaa ya madaraka,amepauka na hasikiki tena si kwa Tanzania bali hata hapo Kilimanjaro ukiuliza watu watakushangaa asitafute umaarufu kwa kuropoka,atulie alishindwa kusoma alama za nyakati kwa heri meli ya siasa imekuacha
 
Itakuwa poa Ngawaiya awajibishwe kwasababu amekiri kwa kinywa chake, halafu serikali itafute ukweli kuhusu tuhuma hizo
 
Tanzania kuna sheria ya money laundering, hii inagusa hela zote chafu kuanzai zinazopatikana kwa rushwa, kwa kuuza madawa ya kulevya na zinazotolewa kwa malengo mazuri lakini mwiso wa siku zinafadhili uasi na ugaidi, kwa kuwa mgawaiya amekiri kwamba aliwahi kupokea hizo hela chafu nafikiri ni wakati muafaka kwa serkali kumkamata na kumshitaki kwa kuzingatia sheria hiyo, isipofanya hivyo tutajua ni sanaa ile ile ya ccm.
 
Wale watu wa Usalama na intelejensia wame muita kwa mahojiano au kwa kuwa anatoka CCM hawana haja?ni shutuma kali sana hiyo anatoa
 
Wale watu wa Usalama na intelejensia wame muita kwa mahojiano au kwa kuwa anatoka CCM hawana haja?ni shutuma kali sana hiyo anatoa

Ukiweza kutofautisha Inteligensia na fikra mgando za ccm nitakupa elufu moja!
 
Amekaririwa na ITV kwenye taarifa ya saa tano na robo usiku huu

Jina lake kamili ni Thomas Ngawaiya, aliwahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kwa tiketi ya TLP, baada ya kukorofishana na Mrema akajisalimisha ccm

Ameongea kwa kutumia wadhifa wake wa Mkiti wa wazazi wa ccm mkoa wa Kilimanjaro

Amesema yeye na MREMA waliwahi kupewa pesa na serikali ya marekani ili wachochee vurugu tz watu wauane ili nchi ionekane ni ya machafuko kama kenya. Amesema alikuja pesa na kuanzisha maandamano sana Dar

Amesema baadaye Mrema alimwambia kwamba hizi pesa wanazopewa kuanzisha vurugu kwenye nchi Yao wakati wamarekani wamekaa kwao kwa amani hazifai. Wakawakatalia wamarekani halafu mrija wa pesa ukakatwa.

Amesema ni staili hiyo wamarekani wametumia kuleta uasi huko afrika kaskazini. Kwamba Hapa tz wamewapatia Chadema hizo pesa ili wachochee uasi Kama ule wa afrika kaskazini. Kwamba ndo maana Chadema "wanachochea vurugu" kwa sababu wameshalipwa pesa.

Alikuwa anaongea kwa kujiamini huku akieonekana kama yuko kwenye group activity fulani, sikuina vizuri, labda walikuwa wanapanda miti.


Huu ni uongo!
Kwani wakati wao kulikuwa na machafuko kenya?

Kumbe yuko CCM ili kupata pesa baada ya kukosa za wamarekani? Akumbuke pesa za CCM ni zetu!

Bajeti ya nchi inategemea kwa asilimia kubwa ufadhili wa nchi zilizoendelea, sitashangaa wakiwasaidia wapinzani pia, kwani serikali pia inapewa hela na wao. Sasa mtu akiamua kuwapa wote fedha si ni hiari yake? Basi na serikali ya CCM pia iache kuchukua hela za wahisani kama wanaweza.

Kama CDM wanapewa hela hizo, wanazitumia vizuri kuwaelimisha wananchi, CCM wanazipeleka wapi wanazopewa na wafadhili? Wanazichukua za wafadhili na zetu kulipia madeni yaliyosababishwa na mafisadi?
Wepi bora?
 
kwa hiyo CCM wameamua kumchukua mtu aliyekubali kupokea hela ili kuanzisha fujo na kumfanya mwenyekiti wa wazazi?

Watu wa Kilimanjaro hili ni kama tusi, inamaana wazazi ni wezi na wapenda hela za kufanyia fujo? inakuwaje mnakubali kuwa na mwenyekiti wa namna hiyo?.....

Ila sishangai kuwa amepokelewa na CCM, ndio wanachama wao walivyo, bird of a feather
 
Kwa hiyo CHADEMA wanazitumiaje hizo pesa, wanawapa wananchi ili waandamane au inakuwaje?
 
Tunaitaka Marekani itoe maelezo kama kweli wamekuwa wanahujumu amani ya Tanzania basi tuvunje uhusiano nao maana watakuwa watu wa hatari sana hawa. Na bahati nzuri ushahidi sasa upo wazi toka kwa Bw Ngawaiya na Mrema. Hatuwezi kufanya mchezo ikiwa watu wanataka kuvuruga amani yetu. Nataka pia vyombo vya ulinzi vya nchi kulishupalia jambo hili tunataka action. Kama source (USA) wapo hakuna haja ya kuhangaika na Chadema. Kesho wataitumia CCm, au Cuf au makundi mengine. Tuishupalia Marekani sasa maadamu tuna ushahidi!!!!!
 
Amekaririwa na ITV kwenye taarifa ya saa tano na robo usiku huu

Jina lake kamili ni Thomas Ngawaiya, aliwahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kwa tiketi ya TLP, baada ya kukorofishana na Mrema akajisalimisha ccm

Ameongea kwa kutumia wadhifa wake wa Mkiti wa wazazi wa ccm mkoa wa Kilimanjaro

Amesema yeye na MREMA waliwahi kupewa pesa na serikali ya marekani ili wachochee vurugu tz watu wauane ili nchi ionekane ni ya machafuko kama kenya. Amesema alikuja pesa na kuanzisha maandamano sana Dar

Amesema baadaye Mrema alimwambia kwamba hizi pesa wanazopewa kuanzisha vurugu kwenye nchi Yao wakati wamarekani wamekaa kwao kwa amani hazifai. Wakawakatalia wamarekani halafu mrija wa pesa ukakatwa.

Amesema ni staili hiyo wamarekani wametumia kuleta uasi huko afrika kaskazini. Kwamba Hapa tz wamewapatia Chadema hizo pesa ili wachochee uasi Kama ule wa afrika kaskazini. Kwamba ndo maana Chadema "wanachochea vurugu" kwa sababu wameshalipwa pesa.

Alikuwa anaongea kwa kujiamini huku akieonekana kama yuko kwenye group activity fulani, sikuina vizuri, labda walikuwa wanapanda miti.

CRAP...,wale wale wachovu,hana lolote huyo.
 
Yule diwani wa CHADEMA mwanasheria yule si afungulie kesi ili aweze kuthibitisha kauli yake manake kutoa tuhuma kubwa kama hizo kwenye chombo kikubwa kama ITV watu wengi wataamini
 
Ngawaiya made a serious allegations.It can Tarnish our Image and it can cause even a Diplomatic Row.Sometimes we need to reason before we talk.Guys, this country is great and we needn't drag it in the mud.I know what it feels like to live in this country and I know that we are all just finding means to survive but we shouldn't do it at the detriment of our great nation. We are not saying this for today, It is because of our tomorrow, our future and the future of our own children. He who has ears, let him hear!

Ngawaiya lacks Diplomatic qualities,he cant be a leader. Hizi tuhuma ni nzito,ikithibitika ina Maana US wamekiuka sheria za kimataifa ikiwa Wanaotoa hizo hela wako linked na Serikali ya America.Kama Ngawaiya anafanya hivyo kujipatia umaarufu wa kisiasa basi inabidi hatua kali zichukuliwe.Yeye anafikiri anaichafua CHADEMA,sijui kwa nini watu ambao ni Ignorant kama hawa wapo kwenye political landscape
 
basi tulishajua kumbe ugomvi wao na Mrema ni miela kutoka US , siku zote hizi hakusema leo ndio anaona zile hela zishaingizwa kwa chadema, ni wivu wa kisiasa na inaonyesha ni kwa jinsi gani ameferi, yeye na Wassira ni viraza waliokosa welekeo, ona sasa anavyosalilisha nchi na usalama wa Taifa, hizo hela zinafika nchini kupitia Bank gani , je katika mkataba wa fedha chafu CDM hawamo, wanazipisha kwa magendo , kama ni kwa magendo je CAG wanaoditi nini maana hela hazina mwenyewe inaonekana mambo ya uchumi hayupo kabisa, kama marekani ina pesa za ovyo za kufadhili uozo huku wakiacha mambo muhimu sasa kuanzia leo JK na mAWAZIRI WAKE WOTE marufuku KWENDA mAREKANI
 
Kama hiyo ni kweli, mbona maandamano yao yapo peace? Huo ni uongo wa wazi, ngawaiya amejua lini hilo? Kwanini aseme leo?

Kimeo huyo
 
Back
Top Bottom