Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Negative!
I am an Ikungu representative!
You seem like kina Nshomile! Sorry lakini that is my opinion and opinions are not fact!
Negative!
I am an Ikungu representative!
Bro Fanyeni Udassa Bwana.Wewe nawe wa Wantashi kweli?
We tukutane UDASA tu...au hata Brajec ya Savei....

You seem like kina Nshomile!
Sorry lakini that is my opinion and opinions are not fact!
Nyamahanga ni kabila la Tanzania?Nshomile wee wasikie tu usiombe ukaishi nao hasa uwe mnyamahanga mbona utajutraaa! Waenda bwetwale hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Anaitwa Richard Mugizi, kina mugizi si unawafahamu? Usikute ni mlowezi toka jirani.You seem like kina Nshomile! Sorry lakini that is my opinion and opinions are not fact!
Anaitwa Richard Mugizi, kina mugizi si unawafahamu? Usikute ni mlowezi toka jirani.
I believe halfly.Do you actually believe that's my real name?
I believe halfly.
Mkuu huyu demu si ulishawahi leta threads yake kwamba umemuacha sijui anatishia kumuloga? Kulikoni leo? Au huyu ni demu mwingine wa cbe?Hivi videmu vya CBE bana...sijui huwa vinadhani kila mtu alipataga divisheni 4 na 5!
Sijawahi kuona videmu vipumbavu kama hivyo vya CBE na pale Magogoni.
Okay, sawa...tuliundamana. Hilo sikatai. Lakini ilikuwa ni mara moja tu.
Ingawa tulitumia kinga lakini ukweli wa mambo hizi kinga za mipira si jadidi kivile.
Nadhani wengi wenu mtakuwa mnalijua hilo. Nyakati zingine huwa zinapasuka na kuleta madhara ambayo hayakukusudiwa.
Hivi kweli mimba inaweza kuonekana baada ya siku 5? Mimba gani hiyo....ya bikira Maria?
Mtu hata haya hana anakuja anakuangalia machoni huku akijiliza eti 'Ngabu nina mimba yako'!
Ebo! Hivi mtu kama huyo unamweka kwenye kundi gani sasa?
Manake hiyo ni dharau kubwa sana ya upeo wangu. Ni kwamba umenipima ukaniona mimi ni zuzu wa kuweza kudanganyika kirahisi namna hiyo?
Nyambaaf kabisa..wajinga wajinga kama hao ni wa kuwatimua.
Unaniambia una mimba yangu halafu baada ya siku mbili tatu nakuona Wantashi unakunywa pombe! Mimba gani hiyo?
Eti mimba baada ya siku 5 halafu unaniletea na kicheti cha kufoji foji eti umeenda kwa daktari ukapima ukaonekana una mimba.
FOH!
Mkuu huyu demu si ulishawahi leta threads yake kwamba umemuacha sijui anatishia kumuloga? Kulikoni leo? Au huyu ni demu mwingine wa cbe?
Aiseee basi una bahati na vitoto vya cbe but nakumbuka ile siku ulikiponda sana hicho chuo.ukidai ni vilaza how comes umerudia tena kwa vilaza.hehehe au huwa hujifunzi kuweka akiba ya maneno?Huyu mwingine...
Ndomu za jero sio aise! Mi nikiona sina uhakika wa kupata angalau rough rider ntajikaza niache. bora we ni mimba! Kesho ukiambiwa pancha la maisha?
Ngabu wewe wewe? Ahahahahahahaa nimecheka sana.Hivi videmu vya CBE bana...sijui huwa vinadhani kila mtu alipataga divisheni 4 na 5!