Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
ila mzigo ulikuwa mtamu eeeeh? lolHuo uchuro sasa...
Hapo nimebambikiwa tu.
ila mzigo ulikuwa mtamu eeeeh? lolHuo uchuro sasa...
Hapo nimebambikiwa tu.
Botega.Siku unamkula ulikuwa umepiga unyunyu gani?. Ule wa Neiman Marcus wa $800?. Sasa hapo kwa nini asikubambikie, chezea mechi za one night stand wewe!.@Nyani Ngabu
Where is ikungu?Negative!
I am an Ikungu representative!
ila mzigo ulikuwa mtamu eeeeh? lol
Where is ikungu?
I know that mugizi represents people from kagera.Bariadi, Simiyu.
Botega.
I know that mugizi represents people from kagera.
pole ndugu amekuonà weẅe mbuz wa kuchunwaHivi videmu vya CBE bana...sijui huwa vinadhani kila mtu alipataga divisheni 4 na 5!
Sijawahi kuona videmu vipumbavu kama hivyo vya CBE na pale Magogoni.
Okay, sawa...tuliundamana. Hilo sikatai. Lakini ilikuwa ni mara moja tu.
Ingawa tulitumia kinga lakini ukweli wa mambo hizi kinga za mipira si jadidi kivile.
Nadhani wengi wenu mtakuwa mnalijua hilo. Nyakati zingine huwa zinapasuka na kuleta madhara ambayo hayakukusudiwa.
Hivi kweli mimba inaweza kuonekana baada ya siku 5? Mimba gani hiyo....ya bikira Maria?
Mtu hata haya hana anakuja anakuangalia machoni huku akijiliza eti 'Ngabu nina mimba yako'!
Ebo! Hivi mtu kama huyo unamweka kwenye kundi gani sasa?
Manake hiyo ni dharau kubwa sana ya upeo wangu. Ni kwamba umenipima ukaniona mimi ni zuzu wa kuweza kudanganyika kirahisi namna hiyo?
Nyambaaf kabisa..wajinga wajinga kama hao ni wa kuwatimua.
Unaniambia una mimba yangu halafu baada ya siku mbili tatu nakuona Wantashi unakunywa pombe! Mimba gani hiyo?
Eti mimba baada ya siku 5 halafu unaniletea na kicheti cha kufoji foji eti umeenda kwa daktari ukapima ukaonekana una mimba.
FOH!
Hivi yule wa JF wa kipindi kile hakuwahi kukuambia kuwa ana mimba yako mkuu??So there you have it!
I am not Richard Mugizi.
Demu anataka kuwa vice-president wa wabeba box huyo chezea US baby.
Siku unamkula ulikuwa umepiga unyunyu gani?. Ule wa Neiman Marcus wa $800?. Sasa hapo kwa nini asikubambikie, chezea mechi za one night stand wewe!.@Nyani Ngabu
hahhahahahahOh...tena taiti kinoma...
USA BABY!Hivi videmu vya CBE bana...sijui huwa vinadhani kila mtu alipataga divisheni 4 na 5!
Sijawahi kuona videmu vipumbavu kama hivyo vya CBE na pale Magogoni.
Okay, sawa...tuliundamana. Hilo sikatai. Lakini ilikuwa ni mara moja tu.
Ingawa tulitumia kinga lakini ukweli wa mambo hizi kinga za mipira si jadidi kivile.
Nadhani wengi wenu mtakuwa mnalijua hilo. Nyakati zingine huwa zinapasuka na kuleta madhara ambayo hayakukusudiwa.
Hivi kweli mimba inaweza kuonekana baada ya siku 5? Mimba gani hiyo....ya bikira Maria?
Mtu hata haya hana anakuja anakuangalia machoni huku akijiliza eti 'Ngabu nina mimba yako'!
Ebo! Hivi mtu kama huyo unamweka kwenye kundi gani sasa?
Manake hiyo ni dharau kubwa sana ya upeo wangu. Ni kwamba umenipima ukaniona mimi ni zuzu wa kuweza kudanganyika kirahisi namna hiyo?
Nyambaaf kabisa..wajinga wajinga kama hao ni wa kuwatimua.
Unaniambia una mimba yangu halafu baada ya siku mbili tatu nakuona Wantashi unakunywa pombe! Mimba gani hiyo?
Eti mimba baada ya siku 5 halafu unaniletea na kicheti cha kufoji foji eti umeenda kwa daktari ukapima ukaonekana una mimba.
FOH!
!Eid Mubarak BAKHongera Baba Mtarajiwa ndom ilipasuka kutokana na pace isiyo ya kawaida, jiandae kulea ila DNA inakuhusu wasije wakakubambikia bure si unawajua Wabongo!? USA baby!!!! 🙂🙂🙂
Kundi la wanaotaka watoto wao wawajue baba zao na wapate matunzo wanayostahili, USA Baby!!!
USA BABY!
!