'Ngabu nina mimba'

'Ngabu nina mimba'

Hivi videmu vya CBE bana...sijui huwa vinadhani kila mtu alipataga divisheni 4 na 5!

Sijawahi kuona videmu vipumbavu kama hivyo vya CBE na pale Magogoni.

Okay, sawa...tuliundamana. Hilo sikatai. Lakini ilikuwa ni mara moja tu.

Ingawa tulitumia kinga lakini ukweli wa mambo hizi kinga za mipira si jadidi kivile.

Nadhani wengi wenu mtakuwa mnalijua hilo. Nyakati zingine huwa zinapasuka na kuleta madhara ambayo hayakukusudiwa.

Hivi kweli mimba inaweza kuonekana baada ya siku 5? Mimba gani hiyo....ya bikira Maria?

Mtu hata haya hana anakuja anakuangalia machoni huku akijiliza eti 'Ngabu nina mimba yako'!

Ebo! Hivi mtu kama huyo unamweka kwenye kundi gani sasa?

Manake hiyo ni dharau kubwa sana ya upeo wangu. Ni kwamba umenipima ukaniona mimi ni zuzu wa kuweza kudanganyika kirahisi namna hiyo?

Nyambaaf kabisa..wajinga wajinga kama hao ni wa kuwatimua.

Unaniambia una mimba yangu halafu baada ya siku mbili tatu nakuona Wantashi unakunywa pombe! Mimba gani hiyo?

Eti mimba baada ya siku 5 halafu unaniletea na kicheti cha kufoji foji eti umeenda kwa daktari ukapima ukaonekana una mimba.

FOH!
nyani utoto utaacha lini
 
Hapo DNA testing inahusu kabisa.
DNA ya nini? Hiyo mimba ni yako na inawezekana kabisa minba kuonekana kwa siku hizo kama unabisha kanunue kipimo 1000 tu upime, ulipokuwa unapata utamu hukujua kama hana akili umempa mimba ndo umejua, ila hongera baba kijacho
 
  • Thanks
Reactions: BAK
DNA ya nini? Hiyo mimba ni yako na inawezekana kabisa minba kuonekana kwa siku hizo kama unabisha kanunue kipimo 1000 tu upime, ulipokuwa unapata utamu hukujua kama hana akili umempa mimba ndo umejua, ila hongera baba kijacho

Naah...DNA bado inahusu.
 
mimba ya mama tu baba anazawadiwa
kuna mademu wakipata mimba wanachagua mtu mwenye uhakika wa maisha kisha unasukumiziwa zigo
Lazima utafte wa kumshikisha maskio tu hapo na u force kulala naye ili umsingizie
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ha,haaaaaaa....Ngabu banaeee, hyo ni mimba yako we lea tu,ila dah nimecheka sana jmn
 
Ndomu za jero sio aise! Mi nikiona sina uhakika wa kupata angalau rough rider ntajikaza niache. bora we ni mimba! Kesho ukiambiwa pancha la maisha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom