'Ngabu nina mimba'

'Ngabu nina mimba'

Acha bangi kijana, mbona jina hilo linaonekana likijichanganya na ngabu kwenye baadhi ya thread hasa anaponukuu unakukuta jina la mugizi ila ukiangalia original post ni ngabu, au unadhani nimeambiwa?
Sasa keshasema si yeye.tukuamini wewe au yeye.? Sivuti bangi halaf mi babako mdogo si kijana.
 
Kwenye pesa ndio watoto wazuri wanatulia
Wewe lea tu hiyo mimba maana watoto ni baraka
 
Mama halisi baba anachaguliwa tu kwa mbinu.....amekuona zuzu upande mmoja na wa pili kaona kama utakubali kulea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom