Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Miundombinu waziri ni kawambwa,naibu wake chibulunje. Mawasiliano waziri ni msola, kilimo waziri ni wasira na tamisemi waziri ni celina kombani.
Sioni jipya
Ari mpya ...Nguvu mpya..Kasi mpya....!
GT, Msolla bora wamemuwahi kumtoa kabla watu hawajafa njaa!!! Bado tunaye hadi atoke kwenye hiyo cabinet
Wanajamvi samahani, katika post ya kwanza nilikosea kidogo. Mahanga anakuwa naibu waziri wa kazi na si mawasiliano. Pia mbunge wa siha MWANRI kawa naibu waziri(wizara yake imenitoka kidogo)
Msolla tena, huyu jamaa hawezi kabisaaaa, arudi tu SUA tu akafanye research. Kuwa prof sio kuweza kila kitu anajishusha tu hapo, anashindwa kumuomba muungwana amrelease kama walivyofanya kina mungai? duh kaazi kweli kweli. Tanzania hivi hakuna watu wengine wenye uwezo zaidi ya hawa?
Hiyo ndo list nzima ila nyongeza ni; Mahanga pia katolewa miundombinu kama naibu waziri na kupelekwa Mawasiliano. Naona jk, kaishiwa. Msolwa aliyeshindwa elimu ya juu last year kapewa mawasiliano na teknolojia.Tusitegemee lolote
taarifa ilikuwa fupi so details zaidi zaja!