News Alert:...... Uteuzi cabinet

nat867

Member
Feb 14, 2008
97
5
Miundombinu waziri ni kawambwa,naibu wake chibulunje. Mawasiliano waziri ni msola, kilimo waziri ni wasira na tamisemi waziri ni celina kombani.
Sioni jipya
 
Miundombinu waziri ni kawambwa,naibu wake chibulunje. Mawasiliano waziri ni msola, kilimo waziri ni wasira na tamisemi waziri ni celina kombani.
Sioni jipya

Hii ndio nchi yetu tukufu Tanzania / Tanganyika
 
Mahanga pia katolewa miundombinu kama naibu waziri na kupelekwa Mawasiliano. Naona jk, kaishiwa. Msolwa aliyeshindwa elimu ya juu last year kapewa mawasiliano na teknolojia.Tusitegemee lolote
 
Hiyo ndo list nzima ila nyongeza ni; Mahanga pia katolewa miundombinu kama naibu waziri na kupelekwa Mawasiliano. Naona jk, kaishiwa. Msolwa aliyeshindwa elimu ya juu last year kapewa mawasiliano na teknolojia.Tusitegemee lolote
taarifa ilikuwa fupi so details zaidi zaja!
 
Duh wazee mtanisamehe nimechelewa na mimi listi niliyonayo so far ni hii

DR SHUKURU KAWAMBWA -MIUNDOMBIU

DR STEPHEN WASIRA- KILIMO

DR MSOLA-MAWASILIANO

KOMBANE TAMISEMI

CHIBULUNJE NAIBU WAZIRI MAWASILIANO

MAHANGA -NAIBU WAZIRI WIZARA YA KAZI

Wanajamvi samahani, katika post ya kwanza nilikosea kidogo. Mahanga anakuwa naibu waziri wa kazi na si mawasiliano. Pia mbunge wa siha MWANRI kawa naibu waziri(wizara yake imenitoka kidogo)
 
Msimamo wangu uko pale pale.JK is on the brink kuwa the worst president tuliyewahi kuwa naye..hili lilijitokeza from day 1 alipoamua kuwa na MAWAZIRI 60 na MAKATIBU WAKUU 60

tusisahau kuwa huyu ndie rais pakee aliamua kurisk maisha ya wanajeshi wetu kwa kufanya foreign invasions ambazo hazina maslahi yoyote yale kwa Mtanzania kule vijijini
 
GT, Msolla bora wamemuwahi kumtoa kabla watu hawajafa njaa!!! Bado tunaye hadi atoke kwenye hiyo cabinet
 
GT, Msolla bora wamemuwahi kumtoa kabla watu hawajafa njaa!!! Bado tunaye hadi atoke kwenye hiyo cabinet

Nilipoona MSOLLA nikakukumbuka, sasa nadhani kuna umuhimu wa kuandaa DOSSIER KAMILI la kumuondoa

kuna namna mbili

ya kwanza ni kufanya PETITION online kisha tutalisambaza kwa kila Mtanzania mwenye e-mail

ya pili ni KUTAFUTA CD ziote zinanzomhusu kisha tutazilepleka kule WIKI LEAK,EU na kwingineko kisha tuangalie upepo unaendaje

ikishndikana tunaingia kule kwenye mambo yake Private...ndio huyu ni public figure hivyo hawezi kuwa immune na lazima atakuwa na skeletons in his closet

Msolla tena, huyu jamaa hawezi kabisaaaa, arudi tu SUA tu akafanye research. Kuwa prof sio kuweza kila kitu anajishusha tu hapo, anashindwa kumuomba muungwana amrelease kama walivyofanya kina mungai? duh kaazi kweli kweli. Tanzania hivi hakuna watu wengine wenye uwezo zaidi ya hawa?
 
Wanajamvi samahani, katika post ya kwanza nilikosea kidogo. Mahanga anakuwa naibu waziri wa kazi na si mawasiliano. Pia mbunge wa siha MWANRI kawa naibu waziri(wizara yake imenitoka kidogo)

Mkuu naona huyo Mwanri kawa Naibu waziri Miundombinu.
 
Msolla tena, huyu jamaa hawezi kabisaaaa, arudi tu SUA tu akafanye research. Kuwa prof sio kuweza kila kitu anajishusha tu hapo, anashindwa kumuomba muungwana amrelease kama walivyofanya kina mungai? duh kaazi kweli kweli. Tanzania hivi hakuna watu wengine wenye uwezo zaidi ya hawa?

kweli mama, hii sasa ni "Recycling" sio reshuffle!
 
Jk ninampongeza sana kwa kutoweza mara nyingi kusoma alama za nyakati na kuweza kufanya mabadiliko yanayoendana na mategemeo ya watu waliowengi.

Vile vile pongezi ziende kwetu sisi watanzania kwa kutoweza kuwa na meno ya kubadilisha viongozi wanaoshindwa kazi.

Hila kulingana na kasi ya JK na performance yake ningempongeza pia kama angeweza kuachia ngazi hili watanzania waweze kupata kiongozi atakaye watoa pale alipoifikisha Tanzania.

Tunajua anajitahidi sana, lakini mara nyingi mtu akijitahidi akaongeza nguvu zake zote akabadili kikosi chake mara tatu nne na akaona inashindikana, kilichopo ni kwamba kocha hawezi kusoma wachezaji wake.

Kinachotakiwa ni kuachia ngazi hili apatikane kocha mwingine. Tungemuomba kwa heshima na taadhima afikirie mara mbili mara tatu kama kweli nchi inasonga mbele au inarudi nyuma.

Kuna indicators nyingi za kuangalia kama kweli kipindi takribani miaka mitatu kama kuna maendeleo. Mimi nasita kusema sijaona strength yoyote.
 
Hiyo ndo list nzima ila nyongeza ni; Mahanga pia katolewa miundombinu kama naibu waziri na kupelekwa Mawasiliano. Naona jk, kaishiwa. Msolwa aliyeshindwa elimu ya juu last year kapewa mawasiliano na teknolojia.Tusitegemee lolote
taarifa ilikuwa fupi so details zaidi zaja!

Waheshimiwa mawasiliano ndio wizara rahisi kuliko zote kwa kuwa mambo mengi yanafanywa na Agency ya TCRA....

Mengine ya kufanya yapo... isipokuwa tu... watanzania hawawezi kuhoji... well, mawaziri ni wanasiasa tu!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom