News Alert:...... Uteuzi cabinet

Miundombinu waziri ni kawambwa,naibu wake chibulunje. Mawasiliano waziri ni msola, kilimo waziri ni wasira na tamisemi waziri ni celina kombani.
Sioni jipya

Hivi huyu Chibulunje ndiye yule anayependa kuitwa Mhandisi?
 
Duh wazee mtanisamehe nimechelewa na mimi listi niliyonayo so far ni hii

DR SHUKURU KAWAMBWA -MIUNDOMBIU

DR STEPHEN WASIRA- KILIMO

DR MSOLA-MAWASILIANO

KOMBANE TAMISEMI

CHIBULUNJE NAIBU WAZIRI MAWASILIANO

MAHANGA -NAIBU WAZIRI WIZARA YA KAZI

Kwa kifupi mabadiliko yako kwenye mawasiliano/ICT na Kilimo... kwa ajili ya kujaza nafasi iliyokuwa wazi ya mzee wa tuvijisenti vidogo tu!!!

Wasira - amerudi alipokuwa, kumbukeni aliwahi kuwa hapa.

Kawambwa- Amepelekwa kwenye uhandisi wake...

Mahanga -- kuna mabadiliko kwake yeye...

Celina Kombani- amepanda cheo!!! ( I support)

My take;

It is a reshuffle, hakuna mteule mpya!!!
 
1
. DR SHUKURU KAWAMBWA -MIUNDOMBIU

According to the dataz, huyu mkulu ni ndugu wa karibu wa muungwana, level ya ujomba, uwezo wake kikazi haufahamiki ila ni mstaarabu na ni mkimya huwa haongei kabisa! Sasa tutaaamua wenyewe kama anafaa, au?

2.
MAHANGA -NAIBU WAZIRI WIZARA YA KAZI

According to more dataz, huyu mkulu alikubali kutumiwa na Lowassa kutaka kuuvuruga mkutano wa NEC kule Butiama, akaomba kusema, na kuanza kudai kuwa kwa nini Lowassa hakupewa nafasi ya kujitetea, akaambiwa kwa lugha ya ukali sana na muungwana, kuwa akae chini na anyamaze, kwa hii ilikuwa ni kifuta jasho!
 
Hebu tupe sababu ya kusupport

Kwa maoni yangu hakuwa na haja ya kubadilisha sana mawaziri kiasi kwamba wachukue miezi sita mingine ya kujifunza wizara zao... Celina Kombani alikuwa pale pale Tamisemi na amefanya kazi na Waziri Mkuu huyu Pinda... Kazi yake inafahamika hata jinsi anavyojibu maswali Bungeni unajua kabisa kwamba anafahamu na anafuatilia mambo hakurupuki!!!

Pia kumrudisha Wasira Kilimo nadhani maana ilikuwa hiyo hiyo kutofanya mabadiliko ya kupeleka watu kusoma tena.

Kumweka Kawamba miundo mbinu... ni kumpeleka Mhandisi nyumbani kwake...

Msolwa ndio sijui kama mawasiliano kuna elimu za viumbe huko sijui PHD yake ya nini ningeangalia kwenye site ya Bunge www.parliament.go.tz lakini naona ina majibu mazuri kama haya

Network Error (tcp_error)

A communication error occurred: "Connection refused"
The Web Server may be down, too busy, or experiencing other problems preventing it from responding to requests. You may wish to try again at a later time.

For assistance, contact your network support team.
 
1

According to the dataz, huyu mkulu ni ndugu wa karibu wa muungwana, level ya ujomba, uwezo wake kikazi haufahamiki ila ni mstaarabu na ni mkimya huwa haongei kabisa! Sasa tutaaamua wenyewe kama anafaa, au?

Mkuu Field Marshall,

Hapana mkuu, mahusiano ya hawa wawili ni home boys; end of the history hawana undugu wa damu wala wa shemeji... Niamini hivyo mkuu wangu.

Kwa vyovyote wananchi wanahaki ya kuweka mawazo ya namna hiyo lakini miongoni wa mawaziri wanaoheshimu kwamba cheo ni dhamana,,, this is a typical example... hana makidai, mpole... lakini hapendi nonsense...

Waulize Wabunge wa Bunge la Jamhuri wanamfagilia sana huyu mheshimiwa kwa kazi yake Mkulu!
 
Dah inasikitisha sana... Ooh nchi yangu, lini tutapata nafasi kujihisi na sisi ni binaadamu wenye akili na tuna viongozi wenye busara..hivi ni nani ameturoga, na huyu alieturoga yuko hai au nae alishakufa?!
 
Waheshimiwa mawasiliano ndio wizara rahisi kuliko zote kwa kuwa mambo mengi yanafanywa na Agency ya TCRA....

Mengine ya kufanya yapo... isipokuwa tu... watanzania hawawezi kuhoji... well, mawaziri ni wanasiasa tu!!!

Mkuu,

Kama unaamini hivyo, ndio maana bado tunasua sua kwenye ICT. Hiyo wizara kwasasa ndio muhimu mno maana inatakiwa ije na innovations kibao ikiwemo e-governance.ambayo inaweza kuondoa matatizo chungu nzima ikiwa ni pamoja na corruptions na safari zisizo na maana kwenye mikutano isiyoisha.

Hiyo wizara kwa nchi kama za kwetu inatakiwa ishikwe na kichwa hasa ambaye anaweza kuziona opportunities mbalimbali. Kwa kumpeleka Msola hapo tayari tunabaki kule kule.

Matokeo yake yule director Kowello pale ICT atakuwa na nguvu mno na ataendelea kuiyumbisha hiyo wizara.
 
ndo unataka kusema muungwana hakuona watu wengine,hii recycle ya masela wenzie mpaka lini?

wajameni wenzangu embu nieleweshani vigezo gani vimetumika kwa mahanga kupelekwa mawasiliano?

IS HE SERIOUS??????????
 
Mkuu,

Kama unaamini hivyo, ndio maana bado tunasua sua kwenye ICT. Hiyo wizara kwasasa ndio muhimu mno maana inatakiwa ije na innovations kibao ikiwemo e-governance.ambayo inaweza kuondoa matatizo chungu nzima ikiwa ni pamoja na corruptions na safari zisizo na maana kwenye mikutano isiyoisha.

Hiyo wizara kwa nchi kama za kwetu inatakiwa ishikwe na kichwa hasa ambaye anaweza kuziona opportunities mbalimbali. Kwa kumpeleka Msola hapo tayari tunabaki kule kule.

Matokeo yake yule director Kowello pale ICT atakuwa na nguvu mno na ataendelea kuiyumbisha hiyo wizara.

Tupo pamoja mkuu....

Nina maanisha kwamba hakuna mambo mengi saana nyingi hata wewe ukipewa waweza kufanya mambo makubwa... kwa kuwa open to kwa kutengeneza policies etc... kuhusisha wadau wa ICT... then you are done... In fact watu wa ICT ukiwahusisha wanakufanyia kila kitu...

-Mambo ya Kufanya pale kwa haraka ni kuwa na sheria mpya ya ICT, Ku-update ICT policy ya 2003

-Kuhakikisha mkongo mpya wa mawasiliano unajengwa haraka,,, kwa serikali kuuza hisa zake zilizobaki pale TTCL kwa wananchi ili wapate mtaji wa kujenga Optical Fibre Network ya Taifa.

-Kuhakikisha tuna-adopt use of opensource vyuoni mashuleni na ofisi za Serikali.... Mtu akitaka kununua non-opensource software package has to get approval from pale kwa ofisi ta Raisi Utumishii..

Wizara ile ya mawasiliani haina tension kama Ya Miundo Mbinu, au ya Nishati... hizi wizara mbili ni vimeo...
 
Mkuu Kasheshe,

Huyu Kawambwa, mimi simjui isipokuwa ni baada ya kuwauliza wakulu huko ndani ndio wakanipa hizo dataz kwamba ni mbunge wa somewhere huko Bagamoyo, ambako pia aliwekwa na muungwana mwenyewe, na kwamba ni ndugu level ya ujomba, sasa kama you know tofauti siwezi kukubishia, isipokuwa ninawaaminia sana walionipa hizi dataz,

Na wengi wao huko ndani wameusifia uteuzi wa Kombane tu kuwa una-make a sense, hata yeye simjui vizuri kwa sina comments nyingi na huu uteuzi kwa sababu kwangu ninaona kuwa muungwana ana kazi kubwa sana ya kubadilisha kila wakati, maana ninajua kuwa kuna more ugly scandals zinakuja ambazo zitawatoa mawaziri wengi sana, kwa hiyo huu sio mwisho, na swali muhimu hapa ni je watafanya kazi saa ngapi? Kuanzia mawaziri na yeye muungwana, maana sasa hivi kazi ni kusikilizia kesho itakuwaje na habari mpya za ufisadi?
 
Ahsante mkuu!!!

Du kumbe amesoma MA... MA gani mkuu wangu,,, nisadie kidogo!!!

Wassira alisoma uchumi na administration. Nadhani hiyo MA alipata katika mambo ya
admin. ingawa sina hakika kwani ameondoka Marekani miaka mingi tu.
 
Mkuu Kasheshe,

Huyu Kawambwa, mimi siumjui isipokuwa ni baada ya kuwauliza wakulu huko ndani ndio wakanipa hizo dataz kwamba ni mbunge wa somewhere huko Bagamoyo, ambako pia aliwekwa na muungwana mwenyewe, na kwamba ni ndugu level ya ujomba, sasa kama you know tofauti siwezi kukubishia, isipokuwa ninawaaminia sana walionipa hizi dataz,

Hakuna shaka mkuu, well, hawakuwa mbali na ukweli kwa kuwa at least wana mahusiano, lakini za Kwangu ni za UHAKIKA zaidi, hakuna mahusiano ya DAMU Kabisa... but "home boy" yes...

Na wengi wao huko ndani wameusifia uteuzi wa Kombane tu kuwa una-make a sense, hata yeye simjui vizuri kwa sina comments nyingi na huu uteuzi kwa sababu kwangu ninaona kuwa muungwana ana kazi kubwa sana ya kubadilisha kila wakati, maana ninajua kuwa kuna more ugly scandals zinakuja ambazo zitawatoa mawaziri wengi sana, kwa hiyo huu sio mwisho, na swali muhimu hapa ni je watafanya kazi saa ngapi? Kuanzia mawaziri na yeye muungwana, maana sasa hivi kazi ni kusikilizia kesho itakuwaje na habari mpya za ufisadi?
Mimi mfuatiliaji wa Vipindi vya Bunge huyu mama, sina shaka naye...

Swali langu? Je sasa ofisi ya Waziri Mkuu, au Tamisemi haina Naibu, au News Alert haijakamilika?
 
Wassira alisoma uchumi na administration. Nadhani hiyo MA alipata katika mambo ya
admin. ingawa sina hakika kwani ameondoka Marekani miaka mingi tu.

Oooh pu! I thought you were talking about Msolwa... tuko pamoja mkuu!!!
 
Mkuu Kasheshe,

Huyu Kawambwa, mimi siumjui isipokuwa ni baada ya kuwauliza wakulu huko ndani ndio wakanipa hizo dataz kwamba ni mbunge wa somewhere huko Bagamoyo, ambako pia aliwekwa na muungwana mwenyewe, na kwamba ni ndugu level ya ujomba, sasa kama you know tofauti siwezi kukubishia, isipokuwa ninawaaminia sana walionipa hizi dataz,

?

Huyu si Mwanasiasa hila ni mtendaji, sina uhakika kama ni mjomba wake labda ni kutoka tu sehemu moja(Kijijini)
 
Wassira alisoma uchumi na administration. Nadhani hiyo MA alipata katika mambo ya
admin. ingawa sina hakika kwani ameondoka Marekani miaka mingi tu.

Mh. Wassira ana MA- Economics Development Policy (American University, Washington DC)
 
Back
Top Bottom