Mkeka wa Mawaziri Mizigo na Waliofanya Vizuri Kwenye Cabinet ya Samia Mwaka 2023.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,775
Ikiwa Leo ndio siku ya mwisho ya Kuuaga mwaka 2023 ambao umekuwa na mafanikio na Changamoto zake ikiwa ni kawaida kama miaka tuu mingine.

Kiujumla Kisiasa mambo yamemwendea vizuri Rais Samia tofauti na Mwaka 2022.Hata hivyo analysis ya cabinet yake imefanikiwa Kwa Asilimia kati ya 75-80% katika kutekeleza majukumu yake.

Kwa kuangalia Mawaziri mmja mmja ,wafuatao ndio Mawaziri 10 waliofanya vizuri zaidi katika kutekeleza majukumu Yao Kwa mwaka 2023.

1.Hussein Bashe-Kilimo
2.Jumaa Aweso-Maji
3.Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
4.Prof.Adolf Mkenda-Elimu
5.Mwigulu Nchemba-Fedha
6.Ummy Mwalimu-Afya
7.Biniface Simbachawene-Utumishi
8.Jenista Mhagama-Ofisi ya Waziri Mkuu
9.Innocent Bashungwa-Ujenzi
10.Dotto Biteko(Alipokuwa Madini).

Kama kawaida kwenye mbio wa mwisho Huwa hawakosekani.

Mawaziri waliofanya vibaya na kuvurunda(Mawaziri Mizigo) Kwa mwaka 2023 ni Wafuatao.

1.Mohamed Jaffo-Mazingira
2.Ashantu Kijaji-Biashara na Viwanda
3.Abdala Ulega-Mifugo
4.Damas Ndumbaro-Waziri wa Michezo
5.Pindi Chana-Waziri wa Katiba na Sheria.
6.Anjela Kairuki-Utalii.

My Take
Haya ni maoni yangu binafsi na Wala sio lazima yafanane na wengine.

Niwatakie Heri ya Mwaka Mpya 2024 na Kazi Iendelee.
 
Mtoe Gwajima kwenye hilo kundi la Pili.

Yule Mama amejitahidi sana
Amefanya kipi ikiwa idadi ya Watoto wazururaji inaongezeka,wazee hawapati matibabu,wagonjwa Sugu wanaandikiwa Makaratasi Kuzunguka kuomba omba Msaada na Maadili kuzidi kuharibika.
 
Mtoe Gwajima kwenye hilo kundi la Pili.

Yule Mama amejitahidi sana.

Hapo juu Wabaki #1, #2, #9 na #10.

Wengine hewa.

au labda kama umeandika ili upate challenge
Usipomuweka Mheshimiwa ummy mwalimu kwenye kundi la wachapa kazi ni ngumu sana kueleweka kwa watu nikiwepo mimi mwenyewe
Maana huyo mheshimiwa ni anachapa kazi ni haijapata kutokea. huwezi kujuta kupewa kwake uteuzi kututumikia watanzania .ndio maana anapendwa na kukubalika na watu wa vyama vyote.
 
Ikiwa Leo ndio siku ya mwisho ya Kuuaga mwaka 2023 ambao umekuwa na mafanikio na Changamoto zake ikiwa ni kawaida kama miaka tuu mingine.

Kiujumla Kisiasa mambo yamemwendea vizuri Rais Samia tofauti na Mwaka 2022.Hata hivyo analysis ya cabinet yake imefanikiwa Kwa Asilimia kati ya 75-80% katika kutekeleza majukumu yake.

Kwa kuangalia Mawaziri mmja mmja ,wafuatao ndio Mawaziri 10 waliofanya vizuri zaidi katika kutekeleza majukumu Yao Kwa mwaka 2023.

1.Hussein Bashe-Kilimo
2.Jumaa Aweso-Maji
3.Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
4.Prof.Adolf Mkenda-Elimu
5.Mwigulu Nchemba-Fedha
6.Ummy Mwalimu-Afya
7.Biniface Simbachawene-Utumishi
8.Jenista Mhagama-Ofisi ya Waziri Mkuu
9.Innocent Bashungwa-Ujenzi
10.Dotto Biteko(Alipokuwa Madini).

Kama kawaida kwenye mbio wa mwisho Huwa hawakosekani.

Mawaziri waliofanya vibaya na kuvurunda(Mawaziri Mizigo) Kwa mwaka 2023 ni Wafuatao.

1.Mohamed Jaffo-Mazingira
2.Ashantu Kijaji-Biashara na Viwanda
3.Abdala Ulega-Mifugo
4.Hamad Masauni-Mambo ya Ndani
5.Dorothy Gwajima-Makundi Maalumu.

My Take
Haya ni maoni yangu binafsi na Wala sio lazima yafanane na wengine.

Niwatakie Heri ya Mwaka Mpya 2024 na Kazi Iendelee.
Mwigulu? Umeongopa mchana kweupe
 
Baraza pamoja na Mwenyekiti wao,wote failures!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
No.9 ndio No.1
 
Ninaheshimu maoni yako ila tafadhali ondoa jina la Mama Gwajima kwenye mawaziri mizigo. Huyu mama amekuwa akifuatilia hadi matukio madogo yanayotokea. Huwa ni mtu wa kujishusha.
 
Mizigo /Mabumunda ya 2023

1.Nape

2. Masauni

3.Ummy

4. Mwigulu

5.January

6.Mchengerwa.

IMG-20231110-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom