Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
Halafu kila siku kuna watu wanakuja kutuambia kwamba Tanzania hatuna wataalam. Wataalam wapo sana, tatizo ni kwamba wana siasa wetu ndo wamegeuka kuwa watalaam na wao ndiyo wenye maamuzi ya mwisho. Matokeo yake maamuzi hayo ya mwisho wamekuwa wakiyatumia vibaya kwa kuwa wanajua kwamba hakuna chochote ambacho kitafanyika.
Ukifunua ma-file huko kwenye hizi ofisi za serikali unaweza kukuta madudu mengi sana na kuanza kujiuliza kwanini huyu mtu mpaka leo bado yuko huru wakati alisababisha madudu na hasara kubwa sana?
Inabidi usiwe na moyo wa EPA na usiwe unaangalia masilahi ya Taifa kama Zitto! Vinginevyo unapata BP