New Songs:Wakuu mnasemaje hapa?

Duuuuuhhhhh!!
Kweli Tanzania inapekechwa na ilipekechwa na iwapo mahakamani maigizo yatafanyika! basi itaendelea kupekechwa.

Nahisi dalili ya harufu ya baruti huko mbele ya safari iwapo sheria itapindisha mkondo wake. Sheria ikinyoosha mkondo naona Tanzania yenye afya stahiki huko mbele.

But one thing am confident is, JF would sleep aside a let the mess go on. Loooong live JF
 
Wana JF,
Mimi nimesikia kuwa hawa KAGODA Walichota hii mihela kwa ajili ya Kampeni ya Dr Kigoda kuwania kiti cha Urais mwaka 2005, hili likiwa ni chaguo la Mkapa, Sasa na baada ya Mkapa chaguo lake kushindwa wakaona hawa Wapinzani wakichukua hii Sirikali itakuwa mbaya zaidi in so speaking kwa kuwa mihela hii Rostam alikuwa na Access nayo basi akaimwagia katika Kampeni ya Swahiba wake Mzee JK.

Kitu kinachomshinda kwasasa JK kuchukua hatua ni baada ya kuja kuambiwa kuwa ile ile Mihela ya KAGODA ndiyo iliyotumika kumuweka yeye pale Plot NO 1 Magogoni ! Atawasaliti wote na kuwatosa wote lakini sio Rostam !

Wana JF kama kuna maoni zaidi ya haya,............Mwageni mambo hadharani !
 
Mkuu, haya uloandika ni TETESI ama? Binafsi sijaamini kama ni sahihi, kama waweza kuniondolea dukuduku hili itapendeza
 
...Kuna mzalendo ameuliza swali muhimu sana. Hivi kwa ushahidi wote huu unaomwaga hapa, kama waendesha mashitaka wetu na serikali wanajizungusha zungusha kuwapeleka wahusika kunanihii kwenye debe kwa sababu zinazojulika, hakuna kikundi cha watu kinachoweza kuendesha kesi hii ili hatimaye kuwatia hatiani vibaka na mavibaka hawa??? Vyama vya upinzani, wanasheria, NGO's, JamboForums etc...?? Kwa sababu mwisho wa siku tutajikuta hata sisi JF ni kelele nyiingi na madata meeengi lakini hakuna faida inayoonekana. just my two cents...!
 
Waungwana,

Kama mtakumbuka, Mkapa mgombea aliyekuwa anamtaka kuwa Rais ni Abdallah Kigoda. Hakumtaka kabisa Kikwete awe Rais, alidandia behewa baada ya ya kuona mgombea wake alikuwa hana popularity miongoni mwa wajumbe waliokuwa wanaruhusiwa kumchagua mgombea wa CCM. Pia Kigoda na Mkapa inasemekana walikuwa wana kampuni yao inayoitwa Wazawa, sijui kama iliwahi kusajiliwa Tanzania. Kigoda kuna wakati kama sikosei mwishoni mwa 1990s alikuwa akipita katika nchi nyingi za magharibi kutafuta wabia ili waingie mkataba na kampuni ya Wazawa ambayo inasemekana wamiliki wake walikuwa ni Mkapa na Kigoda katika uchimbaji wa dhahabu katika mgodi unaomilikiwa na hawa jamaa wawili. Mwanzoni nilipoisikia hadithi hii nikaichulia kama ni hadithi tu, lakini baada ya kuvuja habari kuhusu Mkapa na Yona kuwafisadi Watanzania mchana kweupe katika umiliki wa Kiwira nikabadilisha mawazo kwamba kuna uwezekano niliyoyasikia yana ukweli. Labda atatokea jasiri mmoja anaweza kuvujisha habari kuhusu kampuni hiyo ya Wazawa.
 
...Kuna mzalendo ameuliza swali muhimu sana. Hivi kwa ushahidi wote huu unaomwaga hapa, kama waendesha mashitaka wetu na serikali wanajizungusha zungusha kuwapeleka wahusika kunanihii kwenye debe kwa sababu zinazojulika, hakuna kikundi cha watu kinachoweza kuendesha kesi hii ili hatimaye kuwatia hatiani vibaka na mavibaka hawa??? Vyama vya upinzani, wanasheria, NGO's, JamboForums etc...?? Kwa sababu mwisho wa siku tutajikuta hata sisi JF ni kelele nyiingi na madata meeengi lakini hakuna faida inayoonekana. just my two cents...!
naona kama unawaswas, mapambano ndo kwanzaaaaaaaa yanaanza na bado hakujakucha vizuri, hakuna jiwe litakaloachwa .............laluta continua.
 
Madudu ya wafuasi wa Sultani CCM ni mengi sana , tatizo kwenye sheria wapo wao ,kwenye mahakama wapo wao kona zote wameweka vimelea ,yaani hata katiba inawalinda wao.

Kazi iliyoko mbele ni kuwaondoa kwa nguvu tu wakitaka wasitake.
oh ma frend, it sounds treasonous..........huna imani na demokrasia eee...!?
 
i251_FACTSCASEno.12001Page1.jpg

i252_FACTSCASEno.12001Page2.jpg

i253_FACTSCASEno.12001Page3.jpg

i254_FACTSCASEno.12001Page4.jpg

i255_FACTSCASEno.12001Page5.jpg

Naongeza Bonus hapa:

i256_Kagoda1.jpg

i257_Kagoda2.jpg

Mkuu mbona some sensitive parts intentionally erase so that we members should not get fully story????????
 
mkuu inv. Nimekukubali! Yaani maushaidi ya kumwaga bado serikali inajiuma kwenye ishu ya kagoda?!

principal satate attorney.
Wakuu hii ingawa ni typological error, ving'ang'anizi wanaweza ikataa hiyo wakidai hakuna cheo cha principal satate attorney!!

thanks invisible kwa kielelezo hiki cha kina,

hakika ni mwanzo mzuri wa kupata vielelezo lakini mapungufu hayo ya kisheria katika barua hii yanatosha kwa mamlaka ya mahakama kutamka kwamba barua hii ni batili kwani mahakama haitoi hukumu kwa ushahidi wa kufikirika bali usioacha mashaka (beyond reasonable doubt) katika hitimisho la hukumu
 
Hamna kitu hapa! Mtakuja na ushahidi mtafungua kesi za kila aina lakini mwisho wa siku ni kama Muvi za Kinaijeria ambazo hazikosi mganga,hospitali na mchungaji!! Mi naamini hatua zinazochokuliwa hamna chochote zaidi ya kupigana changa la macho katika harakati za kusafisha njia kuelekea 2010.Hapa hafungwi mtu wala nini ndio maana jamaa yangu mmoja anasmea piga ua garagaza ikitokea EPA nyingine hata kwa kutumia nini ni lazima na yeye awepo kwenye chain!!
 
... mwisho wa siku ni kama Muvi za Kinaijeria ambazo hazikosi mganga,hospitali na mchungaji!!

AmaniGK,

Halafu hazikosi vijana viwili vinachumbiana, Baba wa mmoja ni tajiri questionable biashara zake hazijulikani kila saa yuko busy ku address vi bifu vya familia, Mama wa mmoja anapinga ndoa, kidada kinataka kujiua, kijana kimetoka Marekani kinataka kurogwa, Mama yake anakitafutia dawa ya counter attack, that kinda muck!

E bana, huwa nikikuta that hocus pocus kwenye li flat screen sebuleni kwa mshkaji huwa najifanya nimesahau kufunga milango nyumbani, naondoka papo hapo.
 
Back
Top Bottom