Mnaoshangaa Rais Samia kutoa tsh 10m kwa kila Goli mjue Rais Nguema wa Equetorial Guinea ametoa bonus ya Euro million 1 kwa timu ya Taifa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,067
Wapo Watu Wanainua Taifa Stars kwa sababu tu Rais Samia pamoja na CCM wanaipa hela

Ndio nawajulisha Rais Nguema wa Equetorial Guinea ametoa bonus ya Euro million 1 ( Sawa na tsh bilioni 3) kwa timu ya Taifa lake baada ya kuibamiza Ivory Coast 4-0

Taifa Stars Oyeeeee 😂
 
Punguza ujinga unajua maana ya kufuzu kwenda 16 Bora na haya magori ya kipuuzi yasiyo na maana kwa Taifa!!. Bata Wewe...
 
Wapo Watu Wanainua Taifa Stars kwa sababu tu Rais Samia pamoja na CCM wanaipa hela

Ndio nawajulisha Rais Nguema wa Equetorial Guinea ametoa bonus ya Euro million 1 ( Sawa na tsh bilioni 3) kwa timu ya Taifa lake baada ya kuibamiza Ivory Coast 4-0

Taifa Stars Oyeeeee 😂
1. Madikiteita wote wanafanyaga hivyo to gain cheap popularity from their fool populations
2. Wana mafuta yanawapiga jeki
Equatorial Guinea is a Central African country comprising the Rio Muni mainland and 5 volcanic offshore islands. Capital Malabo, on Bioko Island, has Spanish colonial architecture and is a hub for the country’s prosperous oil industry
 
Wapo Watu Wanainua Taifa Stars kwa sababu tu Rais Samia pamoja na CCM wanaipa hela

Ndio nawajulisha Rais Nguema wa Equetorial Guinea ametoa bonus ya Euro million 1 ( Sawa na tsh bilioni 3) kwa timu ya Taifa lake baada ya kuibamiza Ivory Coast 4-0

Taifa Stars Oyeeeee 😂
Kwanza ni pesa za umma,
Maranyingi Marais wanaovizia kupenyeza pesa kwenye timu badala ya kuwekeza kwenye miundombinu huwa ni wezi wa mali za umma. Hutumia michezo kama kichaka cha kuficha maovu na kutafuta ushawishi wa kisiasa.
Wapo Watu Wanainua Taifa Stars kwa sababu tu Rais Samia pamoja na CCM wanaipa hela

Ndio nawajulisha Rais Nguema wa Equetorial Guinea ametoa bonus ya Euro million 1 ( Sawa na tsh bilioni 3) kwa timu ya Taifa lake baada ya kuibamiza Ivory Coast 4-0

Taifa Stars Oyeeeee 😂
Mata

Matapeli mengi na viongozi dhaifu hutumia mpira kama kichaka cha kutafuta umaarufu. Nguema toka mwaka 1979 mpaka sasa Bado Rais. Wewe unaona kuna kitu hapo? Nguema kama jimama tu wote lao moja
 
Back
Top Bottom