New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

Nimeona una sambaza bandiko hili sehem tofauti tofauti kwenye mitandao mingine ya kijamii, sijui lengo ni nini?

Hayo mambo yanatokea sana kwenye sector ya usafirishaji.
si kwa kiwango hicho...mbona ABC hawana upuuzi huo. New force ni wavuta bangi tu wale
 
Nimeona una sambaza bandiko hili sehem tofauti tofauti kwenye mitandao mingine ya kijamii, sijui lengo ni nini?

Hayo mambo yanatokea sana kwenye sector ya usafirishaji.
Lengo lake ni kutupa tahadhari ya sisi tunaotumia sekta ya usafiri tuchukue tahadhari.

Basi za Kilimanjaro wana uaminifu na huduma nzuri sana kwenye mizigo. Ni vile hawaendi nyanda za juu kusini ndo maana tunakosa huduma zao pande ile.
 
Wapo Mpk tunduma
 
Ukienda pale Manzese kwenye ofisi za ABC Bus Service unaweza dhani kuna malori yanakuja kupakia mizigo, maana ipo shazi. ABC hawana longolongo, bei zipo rafiki na mzigo hauna kudelay. ABC inakwenda Mbeya, tumeni mizigo huko, hawa kina New Force tutumie kwa kumpa konda au dereva ile kisela, ila kama ni official achana nao mpaka watakapojifunza customer care.

Thubutu

Mzigo nilituma kwa mteja kupitia ABC hapo Manzese walinizungusha mpaka nikakaribia kukata tamaa , ni vile mteja mwenyewe komando alienda kwenye ofisi zao akakaza mpaka mzigo ukapatikana
 
So unaamini hii kitu imemkuta yeye au huyu kaamua tu kuendelea kusambaza kitu ambacho kilishatatuliwa tena kilichomtokea mwanamke?

Groups zote za Facebook za biashara kuna hii taarifa na ina wiki sasa

Kwani Nazjaz ni mwanaume?
 
si kwa kiwango hicho...mbona ABC hawana upuuzi huo. New force ni wavuta bangi tu wale

Mnavyowatetea hao ABC sasa

Nshapiga chini bora Kimbinyiko au nimalizane na shambalai kiroho safi
 
Mnavyowatetea hao ABC sasa

Nshapiga chini bora Kimbinyiko au nimalizane na shambalai kiroho safi

Kila kampuni ina changamoto zake yaan, na siku zinatofautiana

Kampuni kama Newforce ina mabasi mengi sana na wafanya kazi wengi sana wenye tabia tofauti
 
Nimeona una sambaza bandiko hili sehem tofauti tofauti kwenye mitandao mingine ya kijamii, sijui lengo ni nini?

Hayo mambo yanatokea sana kwenye sector ya usafirishaji.
Kwa hiyo kama yanatokea yasifuatiliwe?
 
Mnavyowatetea hao ABC sasa

Nshapiga chini bora Kimbinyiko au nimalizane na shambalai kiroho safi
tunavyowatetea kivipi...hao wote ni businessmen, hao kimbinyiko wako nao ni wapuuzi kupitiliza labda una uhusiano nao wa damu.
 
Uliko hamna kampuni za malori ya transport?
Hao mabasi wamespecialize kwenye abiria,
Mabasi kwenye cargo mnawabebesha mizigo wasiostahili ndo maana wanasahau njiani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui Ni Mimi TU?
Sijawahi kua na imani na mabasi kwny parcels,labda bahasha TU.
Watu wa mabasi huwa wanaharaka za kijinga na kutojali mizigo ya wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ni hivi vimizigo vidogovidogo ndio tunapenda kutumia mabasi. Laptop 1, labda simu 1 au mpaka 3, bahasha nk

Mfano huyu mzigo wa biashara kwenda Mbeya anaweza kutumia Shirika la Posta, wana FUSO yao moja kazi yake ndio hiyo, kusafirisha mizigo, nimeshasafirisha mara kadhaa mchele kutoka Mbeya kuja Dar, tatizo ni kuwa haipo kila siku ya wiki, ni jumatano na jumamosi kama sikosei. Ila uhakika. Akiona miyeyusho aende kule kidongo chekundu, daily gari zinaamsha jioni kwenda nyanda za juu kusini na mizigo
 
Golden deer sijui New Force ni wababaishaji. Wanajiamini maana biashara ya nyanda za juu kusini wameishika kasoro Songea maana Superfeo anawapelekea moto balaa na G7 yake wana adabu kidogo, ila Mbeya, Tunduma na Sumbawanga jamaa wanaringa sana manina zao..
Hata huko songea huyo superfeo Ana kero zaidi ya huyo newforce...... kuhusu parcel feo ni 0.
 
Nimeona una sambaza bandiko hili sehem tofauti tofauti kwenye mitandao mingine ya kijamii, sijui lengo ni nini?

Hayo mambo yanatokea sana kwenye sector ya usafirishaji.
Hayapaswi kutokea sana, mleta uzi kufanya jambo jema ila wajirekebishe.
 
Mambo ya sweet afrika ofisi ya makete,jamaa wana watumishi wezi sana hasa vifaa vya kielektroniki.
 
Back
Top Bottom