Neno la leo: The Perfect Guy

Neno la leo: The Perfect Guy

hahaha sometimes umri unatulazimisha kuwa perfect guys. Enzi za ujana wake Dark City, there was no way angekuwa perfect guy kwa mujibu wa rasimu ya katiba ya Kaizer.

Cc: Kaizer, kwa taarifa tu kuwa kuna perfect guy wa kizazi kipya anatembelea nyota ya Kaiser

Uko sahihi kabisa...

Hakuna mtu anaweza kustaafu na miaka 20 au 30 bwana!!

Lazima uonje uonje shea yako kwanza!!
 
Mentor anauzungumzia uperfect upi wakati yeye bado ndio kwanza anakanyaga accelerator kuwahi na gari yake bado inakimbizwa speed 220 Asprin yeah nakubali umri unakufanya uwe perfect guy ila those times jua likiwa utosini hapa no one will dare to say that
 
Last edited by a moderator:
Hapana, mimi sio Simon Petro, na wewe sio Yuda, na ladyfurahia hajawahi kuwa Maria Magdalena.

hapo bold hapo... Asprin, hivi sitauona wema wa Bwana< Huyu Mentor amesema yeye ni perfect au maana sijamwelewa elewa
 
Last edited by a moderator:
hahaha Mr Rocky huyu Dark City unamjua vizuri sema yaliyotokea vitani yanabakia uwanja wa mapambano hayaletwi uraiani lol
Kabisa Kaizer and thats why we keep our mouth shut linapokuja suala la kukumbushia ujana wetu ulikuwaje ila unapokutana na mtu kama Dark City anakimbizana na mitaa kwa sasa tunahisi kuna tatizo
 
Last edited by a moderator:
Mentor anauzungumzia uperfect upi wakati yeye bado ndio kwanza anakanyaga accelerator kuwahi na gari yake bado inakimbizwa speed 220 Asprin yeah nakubali umri unakufanya uwe perfect guy ila those times jua likiwa utosini hapa no one will dare to say that

hahaha Mr Rocky huyu Dark City unamjua vizuri sema yaliyotokea vitani yanabakia uwanja wa mapambano hayaletwi uraiani lol

Lugha mnayoongea ndo yenyewe....

Kuna mtu alinichekesha sana enzi zile za ufulish age, ambapo ungeweza kupigana na mtu bila sababu na kumvunja taya...

Kwamba ukiamua kupigana basi usilalamike endapo utashikwa sehemu mbaya (nyeti)...Unaweza kufanywa kama yule dada aliyekuwa anatolewa pepo la ufuska kwa kushikwa kwenye kitumbua...lol!!

Kwa hiyo kwenye uwanja wa mapambano kulikuwa na mengi sana...sidhani kama tunaweza kuyasimulia yote.

Naamini hata mkubwa mwenzangu Fixed Point atakuwa shahidi wangu!!
 
Last edited by a moderator:
a very simple point ni kwamba, ukijua you are not perfect hutegemei wenzako wawe perfect
Fixed Point that is excellent, now, why on earth we have so much demand for the "perfect guy'?

Naipenda sana signature yako..... and I argue that its the moment that can be perfect, not the Person...
 
Last edited by a moderator:

Acha uongo Kaizer mimi hapa nina exist ................
 
Last edited by a moderator:
Kabisa Kaizer and thats why we keep our mouth shut linapokuja suala la kukumbushia ujana wetu ulikuwaje ila unapokutana na mtu kama Dark City anakimbizana na mitaa kwa sasa tunahisi kuna tatizo

Hapana bwana Mr Rocky....gari ya Babu haina reverse gear aisee!!

Unageuka nyuma kutafuta kitu gani kipya???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom