Mkalimani wa taifa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 753
- 1,290
mitano tena
atasema voice note inaleta uvivu watu hawafanyi kazi,muda wote wanarekod vinoteInasikitisha sana...
Kuna option ya voice note...
Umemaliza mkuu umeandika vizuri sana.Binafsi namuona huyu Waziri kama mshamba, kiherehere na Mwenye kujipendekeza tu. Hana msaada wowote wa kitaalam ktk Wizara.
Yy ni kudhibiti tu. Haongelei Kasi ya Internet, connection ya Mkonga wa Taifa wa mawasiliano ktk familia (kama Kenya), nk...
hawafikirii ni biashara ngapi zimefanikiwa kwa kurahisishwa mawasiliano kupitia whatsap!!Teknolojia hiyoooo imekua
Zamani kupiga international call ilikuwa
Ghali sana mpaka kufanya watu kuunganisha
Na kuwapigisha sim kutumia line za uwizi
Wateja
Teknolojia kukua imeondoa automatically hali hiyo
Ova
Hii wizara ilitakiwa akae kijana wa kisasa msomi mwenye exposure .....Huyo alitakiwa abaki kwenye afya, huko kwingine atapuyanga sana
Je ulifuatilia Action za Google na Fb baadae? Serikali yao ikawa inalialia tu tena!![]()
Australia yapitisha sheria inayotaka Google na Facebook kulipia habari
Australia imepitisha Sheria ya kwanza ulimwenguni inayolenga kuzifanya Google na Facebook kulipia maudhui ya habari yaliyomo kwenye majukwaa yao. Mamlaka zilishutumu kampuni hizo ambazo zinatawala mtandaoni kwa kuminya upatikanaji wa fedha kwa Mashirika ya Habari, huku wakitumia taarifa zao...www.jamiiforums.com
Mh hajiulizi kwanini gharama za kupiga simu Tz kutokan nje ni kubwa kuliko EAC na SADC kwa ujumla
Kwanini Watanzania wanendekeza roho za korosho kama hizi, yaani anaona kulipia bundle haitoshi lazima yawepo mapato mengine kwa maana gharama zaidi kwa watumiaji.
Mambo kama haya yanafanya kila taasisi, shirika au kampuni inayokuja EAC kuweka kambi Nairobi.
Tunakuwa vituko tuu duniani kila siku na kila nyanja
JokaKuu
Kuna watu hata kufikiri inakuwa shida mradi waropoke kinachotoka kinywani
Dunia inasonga mbele kwa kurahisisha mambo sisi wanataka tuendelee na jembe la mkono tu
Hahaha [emoji23] hii ndo tz,
Tutaona mengi ukiwa unaangalia nyeti za mkeo nayo sirikali inataka ione.
Google walikubali na wako kwenye mazungumzo (possibly wamemshakubaliana) na kampuni za habari Australia wawalipe. FB walitingisha kiberiti waka backoff.Je ulifuatilia Action za Google na Fb baadae? Serikali yao ikawa inalialia tu tena!