Ndugulile: WhatsApp call zimeathiri simu za nje

Ndugulile: WhatsApp call zimeathiri simu za nje

Hivi viumbe vya ajabu kweli kweli kamanda....duh!! walikosea sana kumchagua huyu ndugule, bora ya makonda.

Kuna watu hata kufikiri inakuwa shida mradi waropoke kinachotoka kinywani
Dunia inasonga mbele kwa kurahisisha mambo sisi wanataka tuendelee na jembe la mkono tu
 
Watu kama hawa ndo wakuwaombea korona iwabebe tuu maana ni hasara kwa taifa linalopambana kutoka katka umaskini

Yaani anataka kuturudisha Early Stone Age.

Disko limeingia Mmasai maaamaaaee
 
Hii nchi ina ombwe kubwa Sana la uongozi

Watu wengi walio kwenye nafasi za uongozi ni wapumbavu Sana
 
Watu wa kigamboni, lawama tunatupa kwenu, umbwa nyieeee
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Dkt. Faustine Ndugulile amesema ukiangalia simu zinazopigwa kwenda nje au kuingia kutoka nje zimepungua.

Amesema watu huzungumza na watu wa nje kupitia mitandao kama whatsapp, skype nk hivyo ni lazima serikali ichukue hatua kurekebisha hilo
Huyu ni hamnazo kabisa, hivi kweli msomi kiwango cha PhD hajui kwamba hiyo ni advancement katika technology!!!? Amekosa washauri wa kumwambia nini azungumze mbele ya hadhira?

Aaaaaah!!!

Jamani aibu, hata darasa la saba hana mawazo mgando kama hayo, mambo mengine jiongezeni viongozi!!!!

Dunia inakwenda mbele, mwanasayansi wa kitanzania anaivuta kurudi nyuma, eeeeh!!!! dunia simama niteremko!!!

Kama ndivyo waturudishe kwenye simu za mezani za kukoroga
 
kwa serikali ya ambayo imeshindwa kutengeneza au kuunda vitega uchumi vyake au kiwanda cha kufuma toilet paper na kutatua changamoto za maji na umeme kwa miaka 60....
Bora ata wewe umepata muda wa kuandika kwa busara kama ivo.. mi kila nkitaka comment yanakuja matusi tuu kichwan mwangu. Nimeona nikae tuu kimya, jamaa wanatuchukuria sisi mazuzu ile mbaya. So sad kwakwel
 
Hii inakuja kuwa wizara mbovu kuliko wizara zote na Ndugulile anakuja kupotea kwenye ramani ya watu waliodhaniwa wana akili ndani ya ccm.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Huyu ndiye alisifiwa na Polepole kuwa Kigamboni wamweweka jembe, jembele lenyewe butu namna hii!!!?
 
Nadhani mpaka hapo tumeshaelewana,

Lengo la Serikali ya wanyonge ni kuhakikisha inaongeza wanyonge zaidi, haitaki watu wapate urahisi sehemu yoyote,

Hakika siku ikisikia wanyonge wengi wameanza kula Milo mitatu kwa siku lazima ije na lake jambo hata kama ni kuleta nzige ili tu kuhakikisha wanyonge wa kugawiwa T-shirt na kuhudhuria mikutano yao wapo wa kutosha.
Leo ndiyo namwelewa aliyesema aliyesema jembe ni kwaajili ya kuchimba makaburi na nyundo kutengeneza majeneza
 
Binafsi namuona huyu Waziri kama mshamba, kiherehere na Mwenye kujipendekeza tu. Hana msaada wowote wa kitaalam ktk Wizara.
Yy ni kudhibiti tuu. Haongelei Kasi ya Internet, connection ya Mkonga wa Taifa wa mawasiliano ktk familia (kama Kenya), nk
Nilipoona wanamsifia wakati wa uteuzi, nikajua atahamasisha zaidi matumizi ya ICT kwenye uendeshaji wa serikali na kukuza biashara to cut down costs, leo anakuja kulaumu teknolojia!!!

Unategemea mtu kama huyu ataleta innovations kweli!!!?
 
Waziri Ndugulile amesema pia wanaangalia mfumo wa kuwawezesha kujua yanayozungumzwa katika mtandao ili kubaini matusi kejeli na utapeli unaoendelea kwa njia ya simu na meseji.
Nimemsikiliza mwanzo hadi mwisho, hivi watu wataachaje kukejeli kama mawazo yake yenyewe ndiyo hayo!!!!?

Mbunge Msukuma anaweza kuwa sahihi, aliosema kuna baadhi ya wasomi wanazidiwa akili na darasa la saba
 
3. Serikali isijaribu kushindana na teknolojia. Hakuna aliyewahi kushindana na teknolojia akashinda. Serikali ikitaka watu walipie kodi simu za Whatsapp, watu watatumia application zingine kupigia simu ndugu zao, kama vile Viber, Talkhome, Yola, Dingtone, TalkU etc. Na bado kila siku zinabuniwa nyingine mpya. Serikali haiwezi kutoza kodi zote.
Amejipambanua ati vijana wetu wanajaribu kuweka mfumo wa kufilter blablabla... huyu hajajua nguvu ya technology bado, hajajiuliza kwanini wakati wa uchaguzi still watu walitumia vpn baada ya serikali kuziba njia!!!?
 
Kuna mambo ya kitaifa ya msingi ya kujadili kama Kutafuta soko la mahindi wanajadili WhatsApp!!

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Na ni mengi mno, kuanzia elimu, afya, miundombinu ambayo bado tupo nyuma mno, ustawi wa jamii, ufanisi, kazi kwa vijana na bei za vifurushi...
Bado tunafeli sana sana...
 
Nimemsikiliza mwanzo hadi mwisho, hivi watu wataachaje kukejeli kama mawazo yake yenyewe ndiyo hayo!!!!?

Mbunge Msukuma anaweza kuwa sahihi, aliosema kuna baadhi ya wasomi wanazidiwa akili na darasa la saba
Sijui hata alimshindahe bashite kwenye Kura za maoni maana ni zaidi ya takataka...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom