Ndugulile: WhatsApp call zimeathiri simu za nje

Ndugulile: WhatsApp call zimeathiri simu za nje

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Dkt. Faustine Ndugulile amesema ukiangalia simu zinazopigwa kwenda nje au kuingia kutoka nje zimepungua.

Amesema watu huzungumza na watu wa nje kupitia mitandao kama whatsapp, sype nk hivyo ni lazima serikali ichukue hatua kurekebisha hilo.

Waziri Ndugulile amesema pia wanaangalia mfumo wa kuwawezesha kujua yanayozungumzwa katika mtandao ili kubaini matusi kejeli na utapeli unaoendelea kwa njia ya simu na meseji.

Aidha mifumo mingine ni ya kuchuja ili mtu akiweka neno tofauti inaweza kulizuia ili kama ni sms isimfikie mlengwa.

Hawa jamaa wamenogewa !!! Hv ukiachia mbali whatsapp nan yupo tayar kutia vocha ya 10000 apige simu nje kupiga simu nje ni gharama hatutaki
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Dkt. Faustine Ndugulile amesema ukiangalia simu zinazopigwa kwenda nje au kuingia kutoka nje zimepungua.

Amesema watu huzungumza na watu wa nje kupitia mitandao kama whatsapp, sype nk hivyo ni lazima serikali ichukue hatua kurekebisha hilo.

Waziri Ndugulile amesema pia wanaangalia mfumo wa kuwawezesha kujua yanayozungumzwa katika mtandao ili kubaini matusi kejeli na utapeli unaoendelea kwa njia ya simu na meseji.

Aidha mifumo mingine ni ya kuchuja ili mtu akiweka neno tofauti inaweza kulizuia ili kama ni sms isimfikie mlengwa.

Kwan nn shida wakiongea kupitia wosap nk?
Bando si wamenuna?
 
Whatsapp kwani huwaga wanapiga Bure???? Waziri huyu ni wazirii mwenye ufinyu wa kifikra kwa kudhani ili Kuongeza mapato lazima ufanye Wananchi waishi maisha magumu ya kutumia gharama kubwa... Aibu sana yani ni Waziri wa ovyoo mnooo yani ovyooo sanaa. Huyu hapaswi kuendelea kukaa kwenye hii wizara yani awe mbunge tu kichwani zero kabisa

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo ya kitaifa ya msingi ya kujadili kama Kutafuta soko la mahindi wanajadili WhatsApp!!

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hivi hili habari ya Mh Waziri inatouti na hii?
 
Back
Top Bottom